Search results

  1. U

    Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

    Ndugu wasomaji, Nimeamua sasa kuachana CRDB bank kutokana na makato yasiokuwa na Tija yoyote. Najiuliza, hivi ndio kusema kuweka fedha bank ni utajiti? Makato yao yanaumiza sana na hayana uhalali wa aina yoyote, haisadi sekta ya bank kukua, mitaji kukua, kukopesha nk. Nadhani ni wakati wa BoT...
  2. U

    Rais Magufuli yuko sahihi kuhusu COVID-19

    Namshukuru Mungu kwa nafasi hii. Napenda kushare kile nachojua kuhusu Corona na ushauri wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Magufuli. Nathani, Rais ameongea lugha ngumu kwa maneno rahisi. Raisi, alipaswa kutulia na kuongea na taifa kwa upole katika yale atakayofanya au anayofanya...
  3. U

    Rafiki yangu anahitaji Uraia wa Marekani naomba msaada

    Majamaa, Kuna msela wangu yuko mtoni ananiuliza kama aukane uraia wa Tanzania na kuchukua wa nje. Bongo hakuna dual citizenship. Mimi nimemwambia Bongo hakuna issue akae tu huko. Je, wadau mnasemaje?
  4. U

    Mikoa Tanzania inahitaji kuwa state huru

    Wanajamii, Nimekaa na kufikiria kuwa, kuna haja ya Tanzania yetu kubadilisha sheria na katiba ili kutoa nafasi na ufanisi zaidi katika ngazi zote za utawala na sheria. Mikoa yetu yote iwe sovereign states ziwe na sheria zao na serikali zao. Nathani itasaidia sana kufanya mikoa ijitegemee na...
Back
Top Bottom