Search results

  1. M

    Tanesco!1 Mbezi Marambamawili tusaidie na sie tupate Nishati ya Umeme

    loh wamesha weka nguzo na wameshaanza kutantaza nyaya njoo tu mkuu.adi Feb wataanza kuvuta majumbani.
  2. M

    Enzi zile bwana

    Watu nakumbuka enzi zilee mdogo wangu aliagizwa soda fanta 2 za wageni yeye akaleta moja.alafu akaifungua jikoni akaigawanya mara mbili akachanganya na maji akawaletea wageni mama kucheck hivi akaguna mmh hizi soda vipi hizi leo mbona imepauka rangi jamani kumbana vizuri akasema nimetia maji lol.
  3. M

    Natural hair Vs Fake Hair

    Natural ni zenyewe.ila jamani mie uwa zinaniuma kweli kuchana. Na kibaya zaidi hazina style nyingi.Ila nazipenda na nitaendela kuwa na natural hair.
  4. M

    Sipo tayari kulea mimba kabla ya ndoa

    Jichukulie wewe ndo hicho kichanga upo tumboni mwa mama yako.na baba yako anataka akuchinjie mbali Ungejisikiaje? Katubu dhambi ya kutaka kuuwa kiumbe ulichobarikiwa na Mungu Kuna watu wanakesha wanalilia watoto.Ya pili katumbu dhambi ya kuzini kabla ya ndoa. Huna Mamlaka ya kukatisha uhai wa...
  5. M

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ila FP hayoo makitu jamani mmh hatari.Yanasaidia kwa kiasi flani ila dah. Namuomba Mungu anisaidi kuyaacha.
  6. M

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Pole sana bidada.ila hili ni tatizo letu si wadada japo hatuliongelee kwa undani zaidi.ila hata mie uwa ni muhanga wa tatizo hili.linanitokea sana naweza kusahu kwa miazi adi miaka.alafu inajirudia tena naendelea na mchezo huu. Ila kuna tatizo japo sio kubwa sana kwa upande wangu.Ninapokuwa...
  7. M

    PPF yamfukuza kinara wa kuomba rushwa

    Teh teh teh teh Kagosaki utanigawia na mie kidogo pension yako :becky:
  8. M

    PPF yamfukuza kinara wa kuomba rushwa

    Ipo kweli na lidandasi limepita 50 out.ila yeye kaondolewa kabla ya lindandasi.mijihelaa ilimnogea jamani na barua ya kufukuzwa kazi alipelekewa home akagoma kupokea.wakamlazimisha na kusaini kupokea.ween unakataa kupokea barua yako mbona pesa za manuva unapokea.
  9. M

    PPF yamfukuza kinara wa kuomba rushwa

    Makubwa Kafukuzwa na Ijumaa kakamatwa na polisi.adi jana alikuwa anasota rumande jamani omba Mungu asikupe uroho na tamaa ya pesa.Maana huyoo mama alikuwa na kila kitu na mme wake ni mwanajeshi.ila safari hii PPF wamemkamata utamu.28Mls zimuponza.Watatajana vizuri pana chezea pesa za mafao ya watu.
  10. M

    Mwanzo mgumu lakini mvumilivu hula mbivu

    Ngosha hongera kakangu.yani adi nalitamani hilo shamba.Tufundishe na sie kilimo cha pilipili.
  11. M

    Soundtrack for the bedroom............ My top 20

    Yaani wewe kakangu Kikungu acha tu adi mama alikuwa anatukumbusha kuwafata watoto.It must have been love pana chezea na yule mama(Marie) aliutendea haki.Pia Sinéad O'Connor nothing compares to u huu nao naupenda. Ila siku hizi toka yule bushman (x) tutengane imebaki Rose Mhando nibebe nibebe...
  12. M

    Is sex addiction real?

    Lara 1 inategemea kuna wengine ni alcoholism na wanapenda mdododooo vile vile.Jirani yangu ni alcoholism na kila siku utasikia mikelele nyumbani kwake anagombana na mke wake kisa mpododoo jamaa kawa adicted na kudinyanaa.unaambiwa anaweza kufanya zaidi ya mara5 kwa siku kama kalewa. Nazani pia...
  13. M

    Housegirl

    Mmh Housegirl kwa style hii kweli?ukipata Mwizi? Housegirl ni kazi ya ziada mana unatakiwa kumjua kiundani.
  14. M

    Soundtrack for the bedroom............ My top 20

    Wewee Kakangu wewe mchokozi kweli. Unanikumbusha those days na X wangu.Watoto wote kwa bibi yao.tunabaki wenyewe. Kitu cha candlelight Dinner tunamalizia na correctiona yetu. careless Whisper George Akiss from Rose Seal Luv Divine seal Baby I luv u-R.kelly n Jlo all cried out allure No 1...
  15. M

    Mume wangu kakata mawasiliano ya 'Chakula cha Usiku' kwa miezi 8, Nifanyeje?

    Pole Shostito.Mtu ambae hayupo kwenye ndoa sio rahisi kutambua ugumu unaokupata.Na usipende kushitaki kwa wazazi mara kwa mara wala usiwape nafasi ya kujua wewe na mme hamlali chumba kimoja.Unaweza kukaa kimya na maisha yakaendeleaa mufanye kama Housemate wako kwa mda ukimsoma kama...
  16. M

    Dunia haina huruma

    Huyoo nae Bukuku mie nilishamtoa kwenye orodha ya waimba nyimbo za injili baada ya kusikia yeye na Mheshimiwa EL kijana ya Richmond wana mambo yaleeeee kwa sita kwa sita. nikajitoa kwenye kundi la masahabiki wake.
  17. M

    SOME BODY HELP: Mpenzi wangu anakoroma mno nsaidien jaman!

    Pole sana. mme wangu alikuwa anakoroma mtaa mzima ulikuwa unamtambua si mchana si usiku.mwenzangu adi nilinunua kifaa cha kuweka masikioni nisisikie sauti ili walau nilala na mie.Ndo nikapata ushauri nikamwelekeza adi leo ni mwaka wa pili sijamsikia kukoroma tena. Mkilala usiku mwambie awe...
  18. M

    Nimepoteza kadi ya gari

    Kwa uzembe kweli najutia.ndo nilikuwa nimetoka kununua ndugu yangu.
  19. M

    Nimepoteza kadi ya gari

    mmh sijakoma mwenzangu ikifika wakati nikitaka kuliuza ntaliuzaje best wangu?
  20. M

    Nimepoteza kadi ya gari

    Habari za leo wana Jamii. Naomba msaada wako wa kunielewesha. Gari langu lilipata ajali.kama unavojua ukipata ajali hapa Dar inakuwa dili kwa wenzetu vibaka. Wakachukua kadi la gari.hati ya udereva na vitu vingine vingi tu. Gari lilikuwa na hali mbaya sana ikabidi likatwe mbele na kunishauri...
Back
Top Bottom