Search results

  1. G

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Fellows! Kitu kinachonikumbusha Jeshi ni afande mmoja alikuwa anaitwa afande Kashandago kambi ya Msange Tabora alikuwa bonge la ---- huyu jamaa lakini duh! Alikuwa anatuenyesha kweli huyu jamaa na alivyo tu alikuwa anac hekesha. Good experience.
  2. G

    Milio ya Fataki Kawe/Lugalo

    I like JF so informative, I was asking myself what's goin on, ahahah..... We need peace.
  3. G

    Nyumba inapangishwa Mtoni Kijichi wef 1/05/2013

    Wana JF, napangisha nyumba maeneo ya Mtoni Kijichi itakuwa wazi kuanzia 1/5/2013, kama unaelekea Neruka Sec. Vyumba 2, sebule, valanda,bafu, jiko, choo na nafasi kubwa kwa nje - parking. Kodi ni tshs. 170,000/- na ni miezi 6, maelewano ruksa. Contacts. 0712 477976.
  4. G

    Nyumba inapangishwa,itakuwa wazi kuanzia tar.1/05/2013

    Wana JF, napangisha nyumba maeneo ya Mtoni Kijichi itakuwa wazi kuanzia 1/5/2013, kama unaelekea Neruka Sec. Vyumba 2, sebule, valanda,bafu, jiko, choo na nafasi kubwa kwa nje - parking. Kodi ni tshs. 170,000/- na ni miezi 6, maelewano ruksa. Contacts. 0712 477976.
  5. G

    MASHINE YA Dehydrator

    How soon unataka hii machine? Naweza kukuagizia.
  6. G

    Nyumba inapangishwa Mtoni Kijichi - jirani na CCM

    Parking kubwa tu Umeme wa kujitegemea na maji yanapatikana. Ntaweka picha.
  7. G

    Nyumba inapangishwa Mtoni Kijichi - jirani na CCM

    Wana Jamii wenzangu! Nyumba ya vyumba viwili, sebule, dinning jiko bafu na choo itapatikana kuanzia May 1 kwa mwana Jamii jiweke tayari if ur in need! Kodi ni Tshs. 170,000 na ni kwa miezi sita, nafasi ya kutosha. Nijuze via 0712 477976. Asanteni.
  8. G

    Utengenezaji wa Chakula Cha Kuku

    OMG Chasha! Ur genius, thanks for the lesson.
  9. G

    Nyumba ya kupanga Mtoni Kijichi

    Wana Jamii! Nyumba ya kupanga vyumba viwili vya kulala, Sebule, Dinning,Choo na bafu inapatikana, jirani na Mtoni Kijichi CCM parking ya kutosha kodi ni tshs.170,000 kwa mwezi na kodi ni miezi sita makubaliano yapo. Contact 0712 477976.
  10. G

    Nyumba Inapangishwa Mtoni Kijichi.

    Iko katika hali nzuri yeah, kujuana sija kuelewa first in first out principle,parking kubwa tu. Well, kama uko interest tunaweza panga appointment.
  11. G

    Nyumba Inapangishwa Mtoni Kijichi.

    Ni pale Mtoni Kijichi karibu na CCM, kodi ni shs. 170,000 kwa mwezi na ni kwa miezi 6. Mapatano yapo.
  12. G

    Nyumba Inapangishwa Mtoni Kijichi.

    Nyumba ya vyumba ya kupanga inapatikana, vyumba viwili vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo na bafu. Tuwasiliane kwa namba 0712 477976, ulizia geoffrey.
  13. G

    An Opportunity to work in a free entreprise

    Can we have your email please?
  14. G

    Operator wa Reach Truck na Counter Balance Truck

    Wadau, mimi ni operator wa hizo machine Reach/Counter balance trucks naomba mdau ambaye anafaham wapi naweza kupata nafasi ya kuzi operate anijuze tafadhali, namba yangu ni 0712 477976 Asanteni.
  15. G

    Gari inauzwa - VITARA

    Grand Vitara ya mwaka 2000 Silver in color, three door it is out there for sale. Contact No. 0712 477976
  16. G

    Gadgets on Sale

    Check this out! if you are interested please contact this no. 0712 477976, its bland new stuff still in boxes. Thanks fellows.
  17. G

    Nyumba inapangishwa.

    Hello Wadau! Nyumba inapangishwa maeneo ya Mbezi Beach jirani na New Bagamoyo Rd - 150 meters approx. 300 usd per month, 12 month rent upfront. A self contained one B/Hse. Contact 0712 477976.Thks.
  18. G

    Website hapa nchini Tanzania.

    Wadau nina shida ya kujua hatua za kufuata mpaka niweze kuwa na Website yangu kwa ajili ya kufanya au kutangaza biashara mbalimbali katika website hiyo. Mwenye kujua Please!
  19. G

    Africa's Female Political Power Players: Halima Mdee, Elsie Kanza ndani!

    Hi my MP Hon. Halima Mdee! Many congrats for the International Recognition, that's something and please keep the spirit up, tuko pamoja!!
Back
Top Bottom