Search results

  1. X

    Sijui kwanini nampenda sana japo amenisaliti na kuniumiza mara nyingi

    Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea
  2. X

    Hatimae madawa ya kulevya yaruhusiwa Tanzania

    ni kwa mujibu wa tangazo jipya linaloonyesha watumia madawa ya kulevya wakipinga uchangiaji wa sindano wanapojidunga madawa hayo,..tangazo hili linaonyesha kuunga mkono matumizi ya madawa hayo huku likipinga uchangiaji wa sindano.
  3. X

    Kitendawiliii

    Akizaa mara moja hufa?
  4. X

    Wakina dada na wamama mkwe wanatabia ya kuingilia ndoa za kaka zao

    Kuna tabia ya mawifi yani dada wa bwanaharusi na mama yao/ mama mkwe kupenda kuingilia maisha ya ndoa ya kaka yao/ mwanae mara wamsakame wifi kuwa mbaya, mchoyo nk. Ndo mana ndoa nyingi zinayumba. Najua wengi humu jf ni mawifi na mama wakwe hebu elezeni kwanini mnafanya hivi?
  5. X

    Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

    Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE...
  6. X

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au ufe au mtengane mgawane atafute dogodogo, alafu niwakorofi balaa hawafai aisee labda aolewe na...
  7. X

    Huyu jaji wa sibuka ni mkamerun??

    Dah! kila nikimwangalia ongea yake na vtendo vyake nikimweka group la wakaka hafananii, la wadada haelekei yani yuko kama gia 1 hakai 2 hakai 3 anafyetuka ndo mana nimeuliza naye anakameruniwa? Mwenye taarifa atujuze
  8. X

    I CAN'T LIVE WITHOUT U, I MISS YOU VERRY MUCH. i

    My love figga Fourgive me cause i never meant to hurt you, ni hasira na wivu ndo vilisababisha, nakuomba sana mpenzi wangu unisamehe kwani nimekumiss ile mbaya and it driving me crazy, i cant take this much longer, my love forgive me. I LOVE YOU VERRY MUCH.
  9. X

    I loved you a lot but i don't need you any more, i hate you

    I gave my heart my soul my body and my trust, i loved you more than everthing, sijawahi kukucheat hata siku 1. But now umeamua kunitenda unatongoza mwanamke JF bila kunihurumia, kwanini mpenzi wangu? Nimekukosea nini?. Naumia sana, sijawahi kuumia hivi. ,MY LOVE FIGGANIGGA REMEMBER THAT I LOVED...
Back
Top Bottom