Search results

  1. L

    Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

    naomba mwenye kuifahamu hii familia ya shosee ilipo naomba anisaidie details ili nipeleke posa ya kumuoa shosee'natanguliza shukrani
  2. L

    Mount Meru Marathon 01.10.2017,Arusha

    Karibu sana.
  3. L

    Mount Meru Marathon

    Tunatangaza ili watu wajiandae kuja kushiriki tarehe 30 septemba 2017. Karibu sana waambie na wengine.Taarifa zaidi zitakuja baadae.
  4. L

    Mount Meru Marathon

  5. L

    Nauza Suzuki Swift namba B

    nime upload iyo moja inatosha
  6. L

    Nauza Suzuki Swift namba B

    Gari ni nzuri kabisa iko Arusha Mjini. kuwasiliana tuma sms 0620555777
  7. L

    Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    swali nje mada,wewe ndiye yule Jack Beur wetu wa zamani au ni mpya,ulichangamsha bongo zetu sana pia tulikumiss hoja zako sana kama vpi lete zingne mpya.watch out huku pia wanafuatilia
  8. L

    Mount Meru Marathon kufanyika tena 04.09.2016

    Mbio za kimataifa za riadha ambazo ni maarufu kama Mount Meru Marathon zinafanyika Arusha kila mwaka na huvutia washiriki 3000 na mashabiki 10000 mwaka huu zitafanyika mwezi wa Septemba 2016 zinaendelea vizuri na maandalizi ambapo mwaka huu waandaaji wameboresha zawadi na vitu vyote vya msingi...
  9. L

    TFF Kuna tatizo gani?

    Ni kweli huyu Rais wa Tff utendaji wake sio mzuri.Kwa sababu tangu aingie imekuwa hasara baada ya faida.Hili linaniuma sana Tanzania kufungwa goli 7 na Algeria sikuona sababu kabisa alitakiwa awajibike yeye kwa maamuzi yake yaliyotughaharimu. Sababu yangu ndio hiyo kwanini Rais wa Tff hafai kuwa...
  10. L

    Nyalandu ahusishwa na Kampuni Inayotuhumiwa Kwa Ujangili

    Hapana kuhusika kwa nyalandu hapo.sheria za tanzania zinaruhusu kuwinda ivo tgt aliruhusiwa kisheria kama mwekazaji kulinda iyo nyalandu alitembelea tu wawekezaji ndio ikapigwa picha.hilo gazeti la jamhuri haliko sawa hapo.nb.nafahamu utalii wa kiwindaji .ndege iliyotunguliwa ni ya patrol kama...
  11. L

    Tamasha la injili la X-mas, kiingilio 50,000/= Diamond Jubilee

    ibilisi, pole hilo jina lako pia ubadili sio zuri kwa imani na utashi ulioumbwa nao.fahamu kuwa tamasha hilo Clouds tv na radio HAWAHUSIKI kabisa.Kwanini, clouds hapo ni wadhamini muandaji ni msama promotions lawama peleka huko ila ufahamu pia msama anatumia gharama kuandaa kama vile kualika...
  12. L

    Radio 5 vs Tripple A-Fm

    Jaribu Sunrise kupitia kipindi chao cha arusha na matukio. wengine utasubiri
  13. L

    Wahudumu wa bank ya NMB tawi la Arusha Market ni zaidi ya kero

    Art,Napenda kukufahamisha malalamiko yako si kweli.Nimekuwa natumia benki zote za nmb hapa arusha mjini tawi la market linafanya excellent.daily natumia huduma zao kupitia hapo.we unakuja benki mara chache but kama ni daily utaelewa.umehukumu haraka fanya utafiti matawi mengine.ila pole kwa...
  14. L

    Mount Meru Marathon 04 October 2015

    Mbio zitafanyika tarehe 04.10.2015 badala ya tarehe 27.09.2015.Hii ni kutokana na mambo yaliyo nje ya uwezo wetu. tembelea www.mountmerumarathon.com au piga 0757555777
  15. L

    Mount Meru Marathon 04 October 2015

    Mbio zitafanyika tarehe 04.10.2015 badala ya tarehe 27.09.2015.Hii ni kutokana na mambo yaliyo nje ya uwezo wetu. tembelea www.mountmerumarathon.com au piga 0757555777
  16. L

    Mount Meru Marathon 2015

    Mbio za Mount Meru Half Marathon zitafanyika Arusha tarehe 27 September 2015 kuanzia The Arusha Hotel na kuishia Sheikh Amri Abeid Stadium. Kwa maelezo zaidi piga 0757555777, pia tunatafuta wadhamini na shareholders!
  17. L

    Gari carina ti inahitajika

    Mawasiliano whatsapp tu picha na bei yake 0757555777
  18. L

    Msaada wa kisimbuzi (king'amuzi) kinachofaa kijijini

    Hapo nunua dish la futi 6,utafurahi maana utapata zaidi ya emmanuel tv.dikoda za kwetu hazina ila digitek pekee na bado huko hawajafika na hawana dish.
Back
Top Bottom