Mount Meru Marathon kufanyika tena 04.09.2016

langtan

Member
Aug 31, 2011
35
5
Mbio za kimataifa za riadha ambazo ni maarufu kama Mount Meru Marathon zinafanyika Arusha kila mwaka na huvutia washiriki 3000 na mashabiki 10000 mwaka huu zitafanyika mwezi wa Septemba 2016 zinaendelea vizuri na maandalizi ambapo mwaka huu waandaaji wameboresha zawadi na vitu vyote vya msingi vinaandaliwa kwa kiwango cha juu kabisa.Hivyo tunawaalika na kuwahamasisha wanariadha na wote wanaopenda riadha kujiandaa vema kwa ajili ya mbio hizo ambazo watanzania wote wanakaribishwa.Pia washiriki na watu wote wanaweza kupata habari zaidi na kujisajili bure kupitia tovuti ya www.mountmerumarathon.com ili kufanya maandalizi mazuri na ya uhakika.Zaidi sana tunawaomba wote wenye nia na uwezo wa kutusaidia wajitokeze ili kusaidia jamii yetu ya kitanzania kupata heshima ktk michezo hasa riadha.
 
Back
Top Bottom