Search results

  1. S

    Njama za uhaini za kina Hans Poppe (Sehemu ya 2️⃣)

    Nikitoka kidogo humu Jf Hadi kuquote nishasahau nielekezeni waungwana
  2. S

    Njama za uhaini za kina Hans Poppe (Sehemu ya 2️⃣)

    Hanspope unayemzungumzia ni huyu wa juzi wa Clabu ya Simba? Coz mzee Hanspope mwenyewe akiwa na cheo Cha polisi Cha SACP alifariki vitani Uganda mwaka 1979. Bila shaka if am not mistaken mwili wake ulirudishwa mwaka 1981 ukazikwa Kwa Heshima.
  3. S

    Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

    Dah Roho inaniuma Kuona hili halifanyiki hapa nyumbani. Je tunafeli wapi wangu? Hizi gari ni nzuri sana. Mabasi je?
  4. S

    Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Dah Wydad wamekuwa na Anguko baya la haraka lisilo la kawaida. Hebu fikiria kutoka kucheza fainali ya klab bingwa waliopigwa na Ahly msimu juzi, kutoka fainali ya African super league mwaka Jana Hadi kutoshiriki kabisa ligi ya mabingwa. Ohh poleni wydad
  5. S

    Crown Prince wa Iran - Nchi ya Iran kwa sasa ingekuwa Japan ya Mashariki ya Kati

    Iran taifa la kibabe . Wababe wa kihistoria, wanafizikia, kemia, na utabibu. Baada ya kuchoka unyonyaji wa UK, na collective West wakaamua kurudi katika historia wakagundua wao ni wakubwa superior race Wala si waarabu kati kati ya mamilioni ya waarabu. Wao walikuwa superpower kipindi flani Cha...
  6. S

    Nchi hatari zaid kwa binadamu kuishi duniani! China, Iran & Saudi arabia

    Yaani maandamano Kwa nchi kama Iran ukionesha kuwa muumini wa mitizamo ya kimagharibi kama demokrasia Yao. Utaondoka. Ni kama Kwa nchi kama Israel uanze kuonesha misimamo ya kuiunga mkono Iran . Hutabaki salama. Ulizia kilichompata Yizhak Rabin alipojaribu normalization na Wapalestina. Pia...
  7. S

    Nchi hatari zaid kwa binadamu kuishi duniani! China, Iran & Saudi arabia

    Sasa kama we msaliti wa mother nation utaachwa? Yaani we unakua rafiki na adui wa taifa lako. We ndo wa kuunganisha assassination plot dhidi ya viongozi wa kijeshi, mabalozi na wanausalama wengine. Wewe ndo mhamasishaji wa maandamano hatari juu ya taifa lako Kwa jina la demokrasia. Nani...
  8. S

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukraine poleni sana coz ninyi ndio mliovamiwa
  9. S

    Labda anitekenye

    Ha ha utapigika vibaya na waliokufuma kosa joti
  10. S

    Labda anitekenye

    Dah mimi bwana Joti huwa hanichekeshi kabisa..
  11. S

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Rafki yangu mmoja wa Kibaha mkoani pwani alinieleza namna ambavyo mwaka 2011 dada ake mkubwa alikwenda sokoni na hakurudi mpaka Leo. Waliripoti polisi na redion lakini wapi.. Anasema babaeke amebaki mpweke akikumbuka jambo hili hulia na kuomboleza. Rafki yangu mwingine wa Mtwara anasema mwaka...
  12. S

    Satellite ya Kijasusi ya ya Urusi ya zoom Dallas,Texas

    Vyovyote but natamani nasi huku bongo tutest hii kitu
  13. S

    Uchambuzi....VAR ilikuwa msaada sahihi kwa mwamuzi kuamua lile ni goli?

    Like ni goli sema Nini malipo hapa hapa duniani. Mara kadhaa yanga wamelalamikiwa kubebwa na pointi wanachukua. Eg Geita gold 21/22 na juzi kati 23/24 na Kagera shugar. Dhambi lazima ilipwe
  14. S

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ni hatari asee Gunners Jana wameua tena Duh hawatuwezi. Nb. Mabingwa wa Ulaya msim juu ni gunners
  15. S

    Dkt. Sulle: Mwinyi kuitwa "Mzee Ruksa" ilitokana na vurugu bucha la nguruwe Tandale 1993

    Sule kwanza sio dokta. Then pia ana udhaifu flani hivi wa kuamini Kila alisemalo ndilo sahihi wakati Kwa namna flani huongea mitizamo tu. Sule huigiza kwamba ni msomi mbobevu katika sayansi nk but si kweli. Sule katika nasaha zake flani anasema huwezi kwenda peponi Kwa kutoka sadaka ya Tsh 3000...
Back
Top Bottom