Search results

  1. live on

    Serikali msizime mitambo ya kuzalisha umeme

    Inatakiwa wazime mitambo inayotumia mafuta na Gasi tu ibakie hiyo ya maji na bei ya umeme ishuke maana production cost itakuwa ndogo
  2. live on

    Mke anahitajika haraka

    Dahhh! Maisha haya Nina michepuko 3 inatamani ndoa balaa kumbe Kuna wengine wanatafuta wa wanawake wa kuwaoa sijui nikupe mmoja
  3. live on

    Mwanzo dunia na maisha ya viumbe vilivotangulia na kupotea

    Kama ungesubiri hizo tafiti za hao wanasayansi wako zifike mwisho alafu ndio utuambia ilikuwaje mpaka wakatokea wanyama na mimea hapa Duniani ingekuwa vizuri
  4. live on

    Wanaoifahamu Zanzibar, hii mvua imewahi kutokea lini??

    Chukua boti fasta kabla bahari hazijaungana
  5. live on

    KERO Walimu Sekondari JM Kikwete ya Tunduma waache kulazimisha Wanafunzi kununua karanga

    Acha unoko wewe kwani hao madogo wakimuungisha huyo mwalimu kununua hizo karanga za 100 au 200 Kuna shida gani
  6. live on

    Biashara ya mazao Oman

    Kuna siku niliwahi kufikiria Kwa Nini Bakhresa asinunue boti itakayoweza kutumiwa na wafanya biashara kupeleka matunda nchi za Kiarabu Unajua haya mambo ya ndege wengine wanaona shida
  7. live on

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Hamuwezi kuwa vibaraka wa Marekani na Uingereza alafu msiwe mashoga Ushahidi huo hapo kuwa serikali ya Israel Imeruhusu ushoga LGBThaki katika Israeli zinachukuliwa kuwa zilizostawi zaidi katika Mashariki ya Kati. Ingawa ngono ya watu wa jinsia moja ilihalalishwa mwaka wa 1988, sheria ya...
  8. live on

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Wewe upo Dunia gani ? Same-sex couples will be formally recognized by Israel’s Defense Ministry under the laws pertaining to families of fallen IDF soldiers, Defense Minister Yoav Gallant confirmed on Monday afternoon. The Defense Ministry interprets the laws of families of fallen soldiers as...
  9. live on

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Nchi kuwa na mashoga na nchi kusapoti ushoga ni vitu viwili tofauti Israel inasapoti Ushoga
  10. live on

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Kwa Nini naichukia Marekani 1) Nchi ambayo inataka kuimaintain super power yake Kwa kuyadhuru mataifa mengine Imeanzisha vita vya Ukraine na Urusi na Sasa inachochea vita vya Israel na Iran ikiamini kwamba mataifa yenye nguvu yakiingia vitani yatadhofika na yeye ataendelea kuwa super power 2)...
  11. live on

    Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Vipi na Israel wamepeleka Dora ngapi?
  12. live on

    Waziri Mkuu Majaliwa: TANESCO imezalisha umeme zaidi ya mahitaji

    Bwawa la Nyerere Lina mitambo nane umewashwa mtambo mmoja tu umeme tayari umekuwa mwingi Je ikiwashwa yote itakuwaje? Na huo umeme utakuwa unazalishwa under zero production cost R.I.P Magufuli Sisi wenye akili nyingi tulikuelewa sana
  13. live on

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Waje hotelini kwangu wataikuta hii nahisi itawafurahisha
  14. live on

    Jinsi ya kuokota pesa kirahisi

    Ni kweli ukiwa na tabia hizo utaokota pesa ila sio pesa za kutatua shida zako zako maana utaokota coin coin tu Tulipokuwa wadogo kipindi Cha maonyesho ya sabasaba ilikuwa tukitembea mle ndani Sabasaba Kila siku mwenzetu mmoja alikuwa anaokota sana pesa ikabidi tumuulize mwenzetu anasili gani...
  15. live on

    Kumbe ukinywa energy drinks huwezi sikia njaa

    Hicho kinywaji huwaga nakunywa nikiwa na kazi maalumu Kuna Fiesta Moja pale Taifa nilipewa majukumu na kampuni yangu nikajikuta nipo bize kutwa mzima nilipo maliza mida ya sa mbili usiku nikapiga Azam Energy Moja nikaingia Fiesta aisee!! Sijasinzia hata kidogo Hadi asubuhi Pia Kuna siku wife...
  16. live on

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Lugha ya kiswahili ilianzia Pwani hivyo basi lugha ya kiswahili imechanyika na Lugha za watu wa pwani Mtu wa pwani akiongea kiswahili humo humo Kuna kilugha chao Mpemba hana lugha nyingine zaidi ya Kiswahili Mzaramo asilimia 75 ya misamiati ya Lugha ya kizaramo imiingizwa katika kiswahili...
  17. live on

    Israel inalindwa sababu ni mtego wetu Waafrika

    Mi nimekuelewa Israel ni Taifa teule la Marekani na Uingereza
  18. live on

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Yaliyo husika hapo ni magaidi ya Israel na Marekani
  19. live on

    Kama Katiba Mpya haitakuwa na Sheria ya kunyonga mafisadi itakuwa haina faida yoyote Kwa watanzania

    Shida kubwa katika hi nchi ni ufisadi uliyokithiri Kwa watumishi wa umma Kama kweli tunataka Tanzania mpya kupitia katiba mpya basi lazima iwekwe Sheria ya kunyonga mafisadi Kila mwaka tutakuwa tunaangalia report ya CAG na kujua ni akina nani wanastahili kunyongwa mwaka huu Zaidi ya hapo hiyo...
  20. live on

    Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    Hayo maandiko Wala hayawahusu wakristo Hapo Yesu alipokuwa anaongea hayo kulikuwa hakuna mkristo hata mmoja Yesu amezaliwa amekuta Wana waisrael wanafunga tokea enzi na enzi na ndio anaoongea nao hapo Na kama hayo mandiko yanakuhu wewe mkristo tuambie wewe unafunga vipi ? Masaa 12 Masaa 24...
Back
Top Bottom