Search results

  1. MtuMmoja

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Ndoto za Mitume si sawa na za zetu mimi na wewe.
  2. MtuMmoja

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Aya zote yalikuwa maneno ambayo Malaika Jibril alikuwa akimwambia Mtume akiwa usingizini, mapangoni nk. Maneno hayo ndo yakakusanywa kuwekwa kwenye Kitabu ambacho ni Quran.
  3. MtuMmoja

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Quran haina editions, Quran ilishushwa na malaika, yalikuwa maneno kutoka kwa Allah(Mungu) aliyokuwa anamwambia Malaika wake Jibril ambaye alikuwa akimshushia Mtume yakaanza kuhifadhiwa kwenye vitabu kipindi hicho cha Mtume, Mitume walikuwa wakioteshwa au kujiwa na malaika na kuwapa maneno...
  4. MtuMmoja

    Computer science ni sahihi kweli?

    Computer Science ilikuwa deal sana kwenye miaka ya 2008 hadi 2013 huku tuendako watu wanaosoma Computer Science wanazidi kuongezeka na Vyuo vinavyotoa hiyo kozi vinaongezeka zaidi kila kukicha, Tanzania tuna wasomi wengi wa Computer Science lakini wenye utaalamu wa Computer Science ni wachache...
  5. MtuMmoja

    Kwa matokeo haya anaweza kwenda chuo gani kusoma certificate ya IT?

    Habari wana Jamvi. Nina mdogo wangu ana hizi marks kwenye matokeo yake ya FORM FOUR mwaka jana 2015. Biology D Chemistry D Kiswahili C Mengine yote ana F Huyu dogo anataka kusoma mambo ya IT yaani aanzie Cheti, Certificates kulingana na marks zake zilivyo, ila nimejaribu kuangalia vyuo kadhaa...
  6. MtuMmoja

    Graphics Designer Moshi Anahitajika

    Ushampata ? kama bado nicheki mie 0718990729
  7. MtuMmoja

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Chadema ni mandumilakuwili hawatakupa majibu hapa utaoga matusi tu........! Nilishakosa Imani nao kitambo tu.
  8. MtuMmoja

    Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Any Updates wanatoa lini majina ya waliochaguliwa?? Mfumo wa tcu mwaka huu sio kama ule wa mwaka jana ulikuwa unaingiza Index No na Password kisha unajua umechaguliwa wapi? Dogo angu nilimchaguliwa hicho chuo cha maji sasa amezidi kuwehuka vyuo vingine kibao wametoa ila hawa MAJI bado....!SO...
  9. MtuMmoja

    Naomba ushauri: Nilipata math D, physics D na Geography C, watanikubalia?

    Uwezo wako wa kusoma PGM au PCB ni mdogo,jaribu kombi nyingine brooo,tumepita hukoo!!!Msitu wa Physics ya Advance Si Mchezo
  10. MtuMmoja

    Uchanganuzi wa Matokeo ya ufaulu wa kwenda Chuo Kikuu

    Imetoka TCU guide book 2014/15..For the new grading system principal pass is between ‘A and D. D ni principle pass
  11. MtuMmoja

    siamini nilichosikia kuhusu boom semista ya 2 kwa wana udsm...!

    Poleni madogo zangu..ha ha ha tumetoka huko,najua ikifika muda huu tulikuwa tunawahi kudownload maji na mlo mmoja kwa siku!!poleni sana na changamoto!!!
  12. MtuMmoja

    Kazi za mtu mwenye bs of science degree in IT

    PIga Code (Programmer) au database na networking popote papo sawa,cha msingi ujue vitu usiwe mbabaishaji life is easy boy,Kuwa mtabe kwenye angle yako ndani ya IT,hakikisha uko sawa either programming,networking or database.....Tulianza na kikampuni kidogo tukaanza na 500,000 - 700,000/= per...
  13. MtuMmoja

    Nimempenda msichana mmoja tukiwa lecture sababu ya titi

    Mnakalia kushupalia uandishi tu na kumponda kisa chuo,asingetaja chuo nadhani msingeona huo uandishi wake mbovu,Tatizo ni nini Kumdharau Mlitaka aandike nini ili awe na hadhi yenu ?Watanzania tuna katabia kakijinga sana!!!
  14. MtuMmoja

    Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

    Kitu magnetism formula zaidi ya mia moja,hasa ile ac theory pale ndo ilikuwa mteremko!! Dah Magnetism baba
  15. MtuMmoja

    Wale tuliosoma advanced mathematics -pure- ni topic gani ilikutoa povu na ipi uliionea

    Mziki kwangu ilikuwa probability,mteremko ilikuwa linear programing
  16. MtuMmoja

    Oracle training course

    Thanks kaka! Pamoja
  17. MtuMmoja

    Oracle training course

    Habari zenu wanajamii forum, naomba msaada wa mwenye kujua wapi naweza kupata training ya ORACLE database hapa dar, Hatua technology nimeskia wanatoa hii course but ni training pekee bila Certificate(cheti cha kuhitimu),so nataka wenye kutoa training na cheti pia ada yake coz kuna mchongo flani...
  18. MtuMmoja

    Je Shuke yako ya Msingi Uliyosoma Imekuwa ya Ngapi Kitaifa Kati ya Shule 15656 Mwaka Huu 2013

    MWANGA-KILIMANJARO KILAWENI PRIMARY SCHOOL - P0704017 WALIOFANYA MTIHANI : 26 WASTANI WA SHULE : 144.8462 NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 13 kati ya 111 NAFASI YA SHULE KIMKOA : 74 kati ya 920 NAFASI YA SHULE KITAIFA : 967 kati ya 15656 HONGERA SANA MADOGO ZETU,GOOOOD
  19. MtuMmoja

    PCM vs PCB

    Wanasema PCB ngumu kwa kuwa kuna Biology ambayo iko tofauti kidogo ya chemistry na physics,biology inahitaji kusoma sana theory na kukrem,But PCM wanaiona rahisi kwa kuwa wengi wanaoisoma wanakuwa wana background nzuri ya maths na masomo yote ndani ya PCM yanaendana yaani yote hayahitaji kumeza...
  20. MtuMmoja

    Logo Design

    Kawaida watu kama nyiny lazma muwepo ili mambo yaende,sio kila mtu ana uelewa mkubwa kama wako
Back
Top Bottom