Search results

  1. MKAKA HALISI

    Mkopo kwa dhamana ya nyumba/ kiwanja

    Kwanza uko wapi mkoa gani? Kuna Bank walikuwa na mkopo ambao una process kidogo lkn
  2. MKAKA HALISI

    Hatimaye naoa

    Mdogo wangu kumbuka kusimama kwenye nafasi yako kama moment kwani wewe ni kiongozi hata kama changamoto zitatokea wewe usiwe chanzo
  3. MKAKA HALISI

    Bei ya kitunguu ikoje mtaani kwako?

    Lkn tunapswa kujua hivi mnajua ghalama ya kuhudumia heka moja ya kitunguu? Heka moja sio chini ya 4.5 Millions maximum
  4. MKAKA HALISI

    Mashabiki wa Yanga SC walioenda Rwanda: Kutokujua kwetu Kiingereza kunatupa wakati mgumu hapa Kigali

    Kinacho furahisha ni kwamba Mashabiki wa Young Africa hawajui Kiingereza ila mashabiki Simba wanajua sana Kiingereza kwasababu hawatoki Tz
  5. MKAKA HALISI

    Dodoma: Spika Tulia aitaka Serikali ifanye tathimini kuhusu mfumo wa uagizaji mafuta

    Hii ndio shuda ya kuchanganya siasa na Biashara ktk wakati huu kuna wanao umia na wanao nufaika
  6. MKAKA HALISI

    Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

    Mwisho ndio huu hakuna mwisho mwingine
  7. MKAKA HALISI

    Dunia bila ya Ukiranja wa Marekani itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana

    Huu uwoga wa kuthubutu, kama ambavyo mnaaminishwa kuwa bila utwala wa sisiemo hakuna aman tena ktk nchii hii
  8. MKAKA HALISI

    Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

    Hivi jamani Gas ya Mtwara umetusaidia nini kama wazawa maana kupitisha ule Mkataba Bunge lilikaa mpaka saa Nnee usiku
  9. MKAKA HALISI

    UHAINI unatamkika lakini kuuthibitisha ni vigumu kama ilivyo UCHOCHEZI Mahakani

    Hii nchi kuna watu wanajiona kama ni mali yao Kodi zinaongezeka, rasilimali zinauzwa, deni la Taifa linaongezeka, unafuu wa maisha hakuna je nani ananufaika na hii nchi?
  10. MKAKA HALISI

    Simba tumeumizwa tena

    Kuna mtu anaenda kuaibika leo, pale nyuma akisimama Onyango sijui mpite juu
  11. MKAKA HALISI

    Wanaume nawaomba muoe na muache kutupiga sisi

    Penye miti hakuna wajenzi
  12. MKAKA HALISI

    Nishauri kuhusu Mkopo

    Nimejikuta nashindwa kukushauri baada ya kugundua ni mdada, nikawaza kuwa boyfriend wako au mumeo ameshindwaje kukushauri?
  13. MKAKA HALISI

    Saccos iliyoimara

    Kwanza uko mkoa gani?
  14. MKAKA HALISI

    Ileje ni moja ya Wilaya duni nchini ikiwa ni miaka 48 tangu kuundwa na ikiwa chini ya CCM

    Barabara ya Lami ipo ni almost 48 km kutoka Mpemba kimsingi hiyo wilaya inategemea zaidi kilimo hususani mazao ya chakula kama Mahindi, karanga nk
Back
Top Bottom