Search results

  1. C

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nimekuwa nasoma taratibu nyuzi mbalimbali, vitabu na kufungua demo account ya FXTM broker kwenye account ya cent na kuanza na cent 3,000 (hii nimeiweka ili niweze kuona real profit ambayo naweza ipata kwa siku kulingana na capital yangu ninayoipangilia). Si haba nimekuwa napata dola 3-5. Juzi na...
  2. C

    Leo Jumapili mume amerudi hii asubuhi ni haki nimpe chai na nisimuulize anatoka wapi?

    Kwanza tuanzie hapa.. huwa anachelewaga hivyo au leo ndio kaanza? Post sent using JamiiForums mobile app
  3. C

    Ipi receiver nzuri ya Powervu kwa sasa?

    Aisee mlete mwl RTC atusaidie... ptv sports imepotea.. Mimi uefa wamarekani wa AFN walikuwa wanaonesha west side HD ya kufa mtu. Sijui kama wataonesha wakati huu. Hope Sony nao watatupa laliga.. epl ndio kizungumkuti.. japo tv1 wataonesha zile za kwese ila ni za kuotea sana Post sent using...
  4. C

    Blackberry Classic (Q20) inauzwa.

    Na whatsup ndio mwisho.. dah Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
  5. C

    Ipi receiver nzuri ya Powervu kwa sasa?

    Itajileta yenyewe... Ngoja tu Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
  6. C

    Ipi receiver nzuri ya Powervu kwa sasa?

    Du.. kuwa manually si kazi sana. Dah Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
  7. C

    Ipi receiver nzuri ya Powervu kwa sasa?

    Hii strong str4922 si in autorol wakuu? Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
  8. C

    Ipi receiver nzuri ya Powervu kwa sasa?

    Nawashukuru sana.. naenda kwa strong str4922 Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
  9. C

    Blackberry Classic (Q20) inauzwa.

    Inakaa na charge siku nzima ukiwa unaitumia mda mrefu na bila kutoa 4g Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
  10. C

    IPTV, BISS,IKS,POWERVU, Tandberg(satstar)

    Habari wakuu wa nyumba. Mimi ni mpenzi na mtumiaji wa free to air channels kwenye madishi makubwa. Kwasasa natumia tiger T245+ pro ambayo nataka kuupdate kupanda kidogo kwani hii nataka kuihamisha. Sasa naomba mawazo ni ipi receiver Bora na ya kisasa kwa sasa. Asante Sent from my HUAWEI VNS-L21...
  11. C

    Ipi receiver nzuri ya Powervu kwa sasa?

    Habari wakuu wa nyumba. Mimi ni mpenzi na mtumiaji wa free to air channels kwenye madishi makubwa. Kwasasa natumia tiger T245+ pro ambayo nataka kuupdate kupanda kidogo kwani hii nataka kuihamisha. Sasa naomba mawazo ni ipi receiver Bora na ya kisasa kwa sasa. Asante Sent from my HUAWEI VNS-L21...
  12. C

    Bajaj for sale

    Imefika Bei gani
  13. C

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Babiii nimekupenda na ninakupa kamoyooo... Porokocho ndooo... Tuuu
  14. C

    Mochwari: Chimbo muhimu la wachawi na waganga

    Hivi wanalala mule mule vile? Dah hatari hii. Nasikia kuna wengine akikustukia muoga na una mkono wa birika anakuzungusha rum nzima akivuta tu kabati 'ni huyu?' hadi uharo upande kichwani kwako
  15. C

    What you see is what you get!

    What is kissing? Ni kujaribu kuneutralize hisia na temperature ya mwenzako kuwa in a neutral point na ya kwako. Just to find ule mwanzo wa safari ambayo unakuwa huijui inaenda wapi au itaendaje.... so basi the mtu unayeona anapanga kabla ya kuamua, anakusikiliza ndio anakoment, anakupa uhuru wa...
  16. C

    Zombe aachiwa huru, Mshirika wake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    zombe hakutiwa hatiani kwani mawasiliano yake na christopher hayakuweza kupatikana. vodacom na Celtel huwa wanafuta kumbukumbu za simu ikipita miezi 6. hivyo walishafuta mawasiliano hayo. hamna sehemu iliyoweza kumtia Zombe hatiani
Back
Top Bottom