Search results

  1. N

    Wenye ndoa zilizovunjika tupeane uzoefu tafadhali

    Sijuti hata kidogo na wala simchukii tena nimemsamehe kabisa, I hope na yeye atanisamehe one day. Uso wangu umejaa furaha na matumaini tele. Atleast nacheka nowdays. Ni mwaka wa tatu huu. Watoto naishi nao nawalea mie. Sio kila ndoa ni mpango wa mungu, na sio kila kuachana ni mpango wa shetani...
  2. N

    Natafuta mume wa mtu

    Mungu wako akusamehe... hautakaa uwe na amani kamwe! wewe ni chanzo kikubwa cha uharibifu wa familia, usifanye usichopenda kufanyiwa hata siku moja. Tafuta wako mtengeneze usingoje wa kutengenezewa.
  3. N

    miaka 3.5 haongei

    Hicho wameshamwangalia wataalamu, walimpima koo, masikio, wakacheki na ulimi hana tatizo kabisa.
  4. N

    miaka 3.5 haongei

    Naomba mungu aongee tu, ila la kuongeza mdogo wake:confused2:
  5. N

    miaka 3.5 haongei

    huyu ni wa pili mkuu
  6. N

    miaka 3.5 haongei

    Tabia zake zilikuwaje? huyu ana afya nzuri kabisa na ukuaji wake haukuwa na shida hata kidogo, ana dada yake wa miaka 6.5 ambaye alikuwa na shida kwenye ukuaji ila anafanya vizuri sana shuleni, anaongea sana japo ni mwembamba sana, huyu wa miaka 3.5 hapendi kucheza na watoto wenzie na ikibidi...
  7. N

    miaka 3.5 haongei

    Msaada wapendwa, Mwanangu wa miaka 3.5 haongei, alianza kutaja maneno kama dada na mama akiwa na umri wa miaka 2 lakini hajaimprove mara kadhaa nimemuona akiniita mama lakini ananiita kwa wiki then mwezi mzima haongei tena. hili ni tatizo gani? kusikia anasikia aunachomwambia anafanya ila...
  8. N

    Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    Sikushauri utafute suluhu eti uite vikao, wewe ndio muamuzi wa mwisho na ni maisha yako and at the end of the day you are the only person responsible for your actions,vikao havisaidii chochote trust me, utajidharaulisha wewe na yeye wewe toa taarifa tu kituo cha polisi na ndugu zako wa karibu...
  9. N

    Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    Dada muache tena kimbia fasta! You live only once na life is not a reharsal its a performance muulize mrisho mpoto ndio kasema hivyo! nimekuja kugundua kuwa sababu ya wanaume kuendelea kucheat ni sisi wanawake kuwasamehe, laiti kama tungekuwa tunawapiga chini fasta wakiharibu, bongo hii cheating...
  10. N

    Separation VS new relationship is it right?

    you are right likini thinking only will not give me a solution since i know for sure I will need someone, I think its better kumfahamu kwa muda wa kutosha, au unaonaje?
  11. N

    Separation VS new relationship is it right?

    Hi people asanteni kwa kuchangia, nawaombeni radhi kwa mnaonishauri nirudi, that chapter is closed na I will never go back to that one sababu mpaka nimefikia maamuzi hayo nilishafanya mengi mno ambayo haimake sense kuyaandika hapa, so nimeamua, wazazi wa pande zote mbili wameridhia na...
  12. N

    Separation VS new relationship is it right?

    Heee mbona you are too personal! nadhani unatatizo within you! wake up kuwa open minded, kwa kuandika hivyo haimaanishi kuwa ww ni wa mungu! kama ndio hivyo unawajibu na watu wengine, im sure utakuwa na shida sana kwenye hii jamii. ustaarabu haukucost chochote, just try to be nice its good for...
  13. N

    Separation VS new relationship is it right?

    Asante sana Mwanajamii one! I think nimejua sasa nichague nini, jamii forum is a better measure of your image mbele za watu, and the best brain teaser, nawashukuru wote mliochangia, i think I now know what is best for me. Wish me luck! XX
  14. N

    Separation VS new relationship is it right?

    hoping things will get better ndio jambo lililonifanya niendelee kubaki lakini haikuwa hivyo.
  15. N

    Separation VS new relationship is it right?

    Asante EDSON nimekuelewa.....
  16. N

    Separation VS new relationship is it right?

    There is no where I said I want to go back to him, nimejiridhisha kabisa wapendwa yani kwa rohosafi, nilikuwa napenda tu kujua je inakuwaje kuhusu mtu kuanzisha uhusiano mpya? unajua unafiki kwamba eti nikae maisha yangu yote bila mahusiano sidhani kama ni mzuri ndio maana kuna watu wanakumbwa...
  17. N

    Separation VS new relationship is it right?

    Nahisi kuna baadhi wanaingiza emotions za maisha yao binafsi huku jamii forums! Hi EDSON im just saying!
  18. N

    Separation VS new relationship is it right?

    You are right and free to comment anything. Asante kwa kuchangia:suspicious:
  19. N

    Separation VS new relationship is it right?

    Nahisi kama involvement ya watoto inahitaji umakini sana, tena ni vizuri wakiwa wakubwa kidogo.
Back
Top Bottom