Separation VS new relationship is it right?

bahati nzur nimechagua fungu lililo sahihi sana.......kunung'unika uzeeni sikutaka toka mwanzo....na bahati nzuri upande niliopo hauruhusu hilo kutokea for the rest of my life...kwako wewe hili hulikwepi ni doa halitafutika na hapa umeleta uzi huu ili usaidiwe ila kama ulitegemea ushauri in one dimension hapa jf utapata in three dimension!!!....

ulitarajia upewejibu la ndio uko huru kufanya?!!! im sorry....wengi humu hatuishi na wewe yaliyokukuta ni yako na hatujui kisa kizima cha talaka kama Eiyer alivyosema9anashindwa hata namna ya kukusaidiaa. jana Preta alileta uzi muri wa kufundana sijui kama uliusoma.... ukiniambia mimi kuwa unadai talaka kisa mmeo anakupiga bila kutaja sababu ya kupigwa haiji akilini.... you are in a state of captivitity of negativity and its killing you slowly!!!....you a captive of your own identity living in prison of your own creation....pole sana...we dai talaka kwanza kisha undelee na mambo yako na hao watoto uwambie usiwafiche wamjue huyo uncle wao.......

Asante EDSON nimekuelewa.....
 
Mamii nimemsoma Edson nimemwelewa hebu vuta kiti msome kwa kituo. Na ndipo ilipolalia point yangu ya kuwa kutengana kwa miezi nane ni muda mfupi sana kwa aliyetendwa na ampendaye akatendeka kuwa na mahusiano ya WAZI na mtu mwingine. Ingawa ninakuelewa uliposema kuwa ndoa yako ilikufa siku nyingi ndio maana nikauliza lile swali langu la kipuuzi ni muda gani umeishi na mumeo katika hali ya makasheshe? Kwa sababu kama alikutenda kwa muda mrefu, kwa nini umesubiri muda hadi mkatengana miezi nane iliyopita? Ulikuwa unavumilia nini?

hoping things will get better ndio jambo lililonifanya niendelee kubaki lakini haikuwa hivyo.
 
There is no where I said I want to go back to him, nimejiridhisha kabisa wapendwa yani kwa rohosafi, nilikuwa napenda tu kujua je inakuwaje kuhusu mtu kuanzisha uhusiano mpya? unajua unafiki kwamba eti nikae maisha yangu yote bila mahusiano sidhani kama ni mzuri ndio maana kuna watu wanakumbwa na matukio watu wote wanabaki mmhhh hawaamini, wakati ni watu walio huru na wanaweza kufuata taratibu za kawaida, kuficha utamficha nani? mungu na watu baadhi wanakuona! and why should I tesa my moyo at first place?? nadhani ni vema tuongee ukweli, nadhani principles za maisha ya kufikirika zinashindwaga kwa kiasi kikubwa watu wanabaki kuongea mdomoni kuwa wao ni wasafi, kumbe!

Mpenzi nadhani hapa kuna kupishana kidogo kwa ajili ya kutokuelewana. Hakuna anayekuzuia kuendelea na maisha yako, wewe ni binadamu tunaelewa wote kinachotuogopesha hapa ni namna unavyotaka kuendelea na hayo maisha. HALALISHA KIHALALI mama chukua hatua, seek and file for divirce kisha ishi kwa raha zako.

Humdanganyi MUNGU ndio but kwa maandiko yake mwenyewe hivyo pia utakuwa Unatenbda dhambi nyingine ya KUZINI.
 
hoping things will get better ndio jambo lililonifanya niendelee kubaki lakini haikuwa hivyo.
Nakuelewa mamii, pole sana kweli umejitahidi kuvumilia. Ingawa lengo lilikuwa kujaribu kutoa nafasi nyingine ili kama mambo yakienda sawa ubaki naye but deep inside ulikuwa unampenda mumeo. Amekutenda nachelea kusema kuwa ukiuweka wazi uhusiano wako wa sasa kwa muda huu, hukawii kugeuziwa kibao mpenzi kuwa wewe ndo chanzo cha ndoa kupanganyika kwa kuwa ulikuwa na affair nje, unless uwezethibitisha kuwa umeianza baada ya kutengana na mumeo. Na Kwa nini umpe ushindi wa bure bwana?
 
Mamii nimemsoma Edson nimemwelewa hebu vuta kiti msome kwa kituo. Na ndipo ilipolalia point yangu ya kuwa kutengana kwa miezi nane ni muda mfupi sana kwa aliyetendwa na ampendaye akatendeka kuwa na mahusiano ya WAZI na mtu mwingine. Ingawa ninakuelewa uliposema kuwa ndoa yako ilikufa siku nyingi ndio maana nikauliza lile swali langu la kipuuzi ni muda gani umeishi na mumeo katika hali ya makasheshe? Kwa sababu kama alikutenda kwa muda mrefu, kwa nini umesubiri muda hadi mkatengana miezi nane iliyopita? Ulikuwa unavumilia nini?

....lol, MwanajamiiOne bana, hivi kweli hatuwezi fumbua hili bila kuulizia CV, DNA, na blood groups za wahusika? Tunapekua ya nini kwenye mivungu ya majumba ya watu ilhali mwenyewe hayupo tayari ku share?

Je? Kipindi gani ni muafaka wawe wameishi awali, kiasi kwamba kipindi alichotosheka na mumewe inakubalika baada ya miezi nane aombe msaada wa mawazo jf?

Acheni kumnyanyapaa bana....
 
Last edited by a moderator:
Nakuelewa mamii, pole sana kweli umejitahidi kuvumilia. Ingawa lengo lilikuwa kujaribu kutoa nafasi nyingine ili kama mambo yakienda sawa ubaki naye but deep inside ulikuwa unampenda mumeo. Amekutenda nachelea kusema kuwa ukiuweka wazi uhusiano wako wa sasa kwa muda huu, hukawii kugeuziwa kibao mpenzi kuwa wewe ndo chanzo cha ndoa kupanganyika kwa kuwa ulikuwa na affair nje, unless uwezethibitisha kuwa umeianza baada ya kutengana na mumeo. Na Kwa nini umpe ushindi wa bure bwana?

Asante sana Mwanajamii one! I think nimejua sasa nichague nini, jamii forum is a better measure of your image mbele za watu, and the best brain teaser, nawashukuru wote mliochangia, i think I now know what is best for me. Wish me luck! XX
 
Kongosho heri umeghusia hilo. Linapokuja suala la divorce watoto huwa hawafikiriwi kabisa. Kwa mfano kwa mleta mada amesema "Tuna watoto 2 naishi nao na kuwatunza kwa kila kitu they are fine and I dont have problem with that." Yupo confident hapo kuwa "they are fine" na hana "problem with that". It may sound OK lakini ame-take into account the likely impact of the intended new relationship kwa hao watoto? Halafu anaposema "new relationship" ana maana gani?

Devil give you hope where there is no hope. Tunaomba baada ya miezi 8 na huyo sweetheart mpya utupe ushuhuda, kama ulivyokuja na ushuhuda wa kumwacha mumeo after 8 months of separation.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Devil give you hope where there is no hope. Tunaomba baada ya miezi 8 na huyo sweetheart mpya utupe ushuhuda, kama ulivyokuja na ushuhuda wa kumwacha mumeo after 8 months of separation.

Heee mbona you are too personal! nadhani unatatizo within you! wake up kuwa open minded, kwa kuandika hivyo haimaanishi kuwa ww ni wa mungu! kama ndio hivyo unawajibu na watu wengine, im sure utakuwa na shida sana kwenye hii jamii. ustaarabu haukucost chochote, just try to be nice its good for your health
 
....lol, MwanajamiiOne bana, hivi kweli hatuwezi fumbua hili bila kuulizia CV, DNA, na blood groups za wahusika? Tunapekua ya nini kwenye mivungu ya majumba ya watu ilhali mwenyewe hayupo tayari ku share?

Je? Kipindi gani ni muafaka wawe wameishi awali, kiasi kwamba kipindi alichotosheka na mumewe inakubalika baada ya miezi nane aombe msaada wa mawazo jf?

Acheni kumnyanyapaa bana....

Soulmate, ilikuwa tu kuhakikisha kuwa Mamiito hapa anapata msaada wa JF. Maswali yote tunayiomwuliza hapa ni wazi kutaka kuhakikisha kuwa harush kwenye mahusiano mengine ambayo yanaweza kumhurt zaidi na kumfanya ajione ana mkosi wa mapenzi. Hatumshauri kurudi kwa mumewe bali tunamuomba ahakikishe kuwa amemkung'utia huyo mumewe hadi vumbi la rohoni mwake.

You never know pengine ni hasira tu sasa tukimwomba asonge mbele bila kumjuza akifika huko akaazalinganisha na mumewe si hata sie tutalaumiwa?

Mpenzi Ndeonasiae mwaya kila la kheri kwenye maamuzi yako. Tunakushukuru kwa kuitrust JF na ucrap wake kujaribu kushare nasi.
 
Mleta mada.

Kwanza kumbuka kwamba umebeba vitu vizito viwili, namaanisha ndoa na watoto, siwezi kukulazimisha kubaki kwenye ndoa kwavile unajua wewe kilichokusibu lakini naweza kukushawishi tu kama unahisi kipindi cha kutengana kimemrekebisha mume wako basi at least for the sake of your kids kubali kusuluhisha na kuipa ndoa yako another go.

Separation imewekwa ili watu wajirudi, na kama wewe ni innocent (kwa maelezo yako) basi ni vyema ukapima upepo kwa mwenzio karekebishika vipi. Amini nakwambia aliyegundua kosa lake na akajutia ni bora kuliko huyo mume mpya unaemtafuta.

NAMALIZIA: Ndoa ambayo ishabarikiwa watoto inahitaji uvumilivu wa ziada ndio itolewe talaka. Kumbuka kwamba watoto wako wanakuhitaji wewe na baba yao ili na wao angalau wafurahie utoto wao.

Asanteni mabibi na mabwana
 
......................Lawyer!
 
Nahisi kuna baadhi wanaingiza emotions za maisha yao binafsi huku jamii forums! Hi EDSON im just saying!

On a serious note ni kweli post zako zinaficha kitu fulani. Lakini at the end of the day ni maisha yako na uamuzi ni wako
 
There is no where I said I want to go back to him, nimejiridhisha kabisa wapendwa yani kwa rohosafi, nilikuwa napenda tu kujua je inakuwaje kuhusu mtu kuanzisha uhusiano mpya? unajua unafiki kwamba eti nikae maisha yangu yote bila mahusiano sidhani kama ni mzuri ndio maana kuna watu wanakumbwa na matukio watu wote wanabaki mmhhh hawaamini, wakati ni watu walio huru na wanaweza kufuata taratibu za kawaida, kuficha utamficha nani? mungu na watu baadhi wanakuona! and why should I tesa my moyo at first place?? nadhani ni vema tuongee ukweli, nadhani principles za maisha ya kufikirika zinashindwaga kwa kiasi kikubwa watu wanabaki kuongea mdomoni kuwa wao ni wasafi, kumbe!

Hakuna anayesema kuwa ukae maisha yako yote bila kuwa na mahusiano. Nafikiri suala lipo zaidi kwenye kuanzisha mahusiano mapya wakati bado upo kwenye process za divorce. Yaani unalazimisha hata mtoto mdogo kutaka kuuliza kwa nini usioshe sahani kwanza kabla ya kuweka chakula kipya? It does not take that long to wash the plate. Hata kama ukiosha huo msosi mpya unaweza kuwa bado wa moto unless ulikuwa ni kiporo.

Naomba nikuulize swali. Watoto wako wanasemaje kuhusu wewe
kuingia kwenye mahusiano mapya baada ya kuachana na baba yao? Umeshawauliza kama ni sawa kwao for you to get into the relationship wakati uko kwenye process za kumwacha baba yao? Au unadhani watoto hawatakiwi kujua na kutoa maoni yao juu ya hili? Haliwahusu? Kama haliwahusu, are you going to introduce the new guy to the kids?

Huyo mdada anafikiri kuanza mahusino ni swala rahis na watoto wake wawili!! utachemsha, rudi kwa mumeo muishi kama zamani.

Ndeonasiae hii point ya Caroline in ujumbe mkubwa sana hasa linapokuja suala la yupi uwe naye ktk mahusiano mapya. Hope huyo mwanaume naye ana watoto, otherwise utachemsha asubuhi asubuhi!
 
klorokwini ukiamua unamwaga mapwenti....hahaha....ona sasa, unakaribia mrudisha shem wako kule kule....arrggh..
 
Last edited by a moderator:
EMT, Edson, MwanajamiiOne mleta mada hakuomba ushauri juu ya kuachana na mume na baba wa watoto wake; alishaamua. Hivyo sikuona umuhimu wa kumuuliza sababu za kuachana, kwani kwa mtazamo wangu she past that!

Ushauri alioomba ni uhalali wa kisheria na kimaadili wa kuanza mahusiano mapya; kudos kwa wote waliompa mitazamo yao bila kufuata curiosities za kujua what real happened.

Najua wengi wetu hupenda kutoa ushauri hata ambao hatujaombwa, lkn tungekuwa specific katika majibu yetu, malumbano yangepungua!

Hata kama ni too early kustart relationship bado tungeweza kumwambia bila kumuona ana kiburi kisa kasema anaweza kuwatunza watoto on her own.

Kwa mtazamo wangu (ambao sikuutoa) hili swala la kuintroduce mbaba mwingine kwa watoto linasumbua, na for the sake ya watoto ni lazima umjue huyo mwanamume kwa undani; usije ukaleta child molester. Ofcourse na furaha ya mama nayo ni muhimu kwani nayo hureflect kwa watoto!

So EMT umeshawasiliana na Erotica kuhusu trial session this weekend!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni miezi kama nane tumeseparate na my hubby, na with that time nimejithibitishia I dont want to go back kabisa. Divorce processes are on (nikimaanisha tumeanza kulizungumzia kama familia za pande mbili bado haijafika mahakamani) japo kuna mvutano mkubwa jamaa hataki kabisa kuvunja hii ndoa (ambayo mimi najua imevunjika ila bado mambo ya kisheria tu). Im in my early 30s, Tuna watoto 2 naishi nao na kuwatunza kwa kila kitu they are fine and I dont have problem with that.

Ushauri:
1.Nikiwa kama binadamu wa kawaida honestly najisikia kama kuingia kwenye mahusiano tena, naomba mnisaidie muongozo wanaJF, Is it right to get into the relationship during separation? if yes to what level, kisirisiri au hata public? je ni upi muda muafaka (eg mwaka 1 au 2 au never) hasa unaoshauriwa kwa walioachana kuwa na relationship nyingine?

Maybe ndio mana sitaki ndoa sababu naona it is a big deal na it is not for all. Just thinking out loud,
ealry 30s, mama wa watoto wawili na uko process ya divorce. Una haraka gani ya kuingia katika mahusiano mapya?
au ulikua unamsalitia na huyo mtu uko nae toka longi? yaani huna hata stress hio divosi inaathiri vipi watoto?
Angekua huyo mtu ni boyfie unasema kweli hata ukiachana nae mchana jioni kanyakue mwingine club.
sio mtaalam ila hii inatoa picha wewe ndio tatizo na sio hubby. Topics za namna hii sio kabisa. ngoja nikasome ya Ulimi...
 
Ushauri alioomba ni uhalali wa kisheria na kimaadili wa kuanza mahusiano mapya; kudos kwa wote waliompa mitazamo yao bila kufuata curiosities za kujua what real happened.
Kaunga hata kama angeenda kwa mwanasheria yoyote kuomba ushauri lazima angeulizwa kwanini anataka kumwacha mume wake na kuanza mahusiano mapya. Najua kuna watu wanakuja na specific question kuomba ushauri but when you question them unakuta tatizo ni kubwa zaidi ya walivyokuwa wanafikiria. Unakuta they didn't even consider implications for the decision they were about to take.

Nakupa mfano. Unakuta mtu amekuja kuomba ushauri kuuza nyumba yake ili amlipe creditor deni lake. Kwa mshauri mzuri utataka kujua ni kwa nini anashisndwa kulipa deni mpaka afikie uamuzi wa kuuza nyumba yake (residential home)? Atakuzugazuga but when you look at him/her unaona kabisa, there is something more s/he doesn't want to tell you. So, using your interviewing and listening skills anaamua kukuambia kila kitu. Anakuambia amefukuzwa kazi or s/he has been made redundant so hana jinsi ya kulipa. Uki-dig in zaidi unakuta tena alifukuzwa kazi kinyume na sheria and s/he has compensation claim for unfair/wrongful dismissal. Au unakuta s/he was made redundant bila kupewa redundancy pay, which s/he is entitled.

Ukipiga marehebu ya hiyo compensation/redundancy pay kama akiipata inatosha kabisa kulipa deni na kubakia na change nyingi tuu na pia kubakia na nyumba yake. Lakini wala alikuwa hajui hilo. Now from there you will be in a better position ku-negotiate the creditor kuwa ana kesi na mwajiri wake na chances za kushinda ni 95% in which s/he will get all the money and pay them.

Inapokuja kwenye suala la divorce and starting new relationship, there are even serious implications. Ninachojaribu kusema ni kwamba kuna issues nyingine mwenye tatizo anaweza kuziona ni ndogo sana lakini implications zake ni kubwa. Kuna issues nyingine unakuta wala alikuwa hajui kabisa if they can happen.

Always make an informed decision. You will never regret it. Never make decisions emotionally. You will regret it later. Think with your brain, not your heart. Reason with your mind, not your heart, every decision you make. Ngumu sana kwa wanawake, but try it.

Kuna wengine tunamwuliza maswali mleta mada utadhani we don't sympathize with what might have happened to her. That is not the case. Tunajaribu kuona kama amelifikiria hili suala kwa mapana zaidi. Jana nilikuwa namsikiliza Kibonde Mkasi TV anasema: Kama unapata positive feedback kila wakati, then you are not doing it right. Kama unapata negative feedback kila wakati, you are not doing it right either. Lakini kama unapata both positive and negative feedback, then you are doing it right. Ni hivyo hivyo, alivyosema Edson: hapa JF ukitegemea maoni in one dimension utapata in three dimensions. Nafikiri hili ni zuri kwa sababu inakusaidia kutokuwa narrow minded na ku-assess the situation in every angle.

So EMT umeshawasiliana na Erotica kuhusu trial session this weekend!
Anayetakiwa ku-consent kuwa na trial na mie ni yeye au mie? BTW kwenye hii trial, are you thinking with your brain or your mind?
 
klorokwini ukiamua unamwaga mapwenti....hahaha....ona sasa, unakaribia mrudisha shem wako kule kule....arrggh..

hahaha Mbu bana usje ukasababisha shem akaninyima mwaliko wa besdei yake mpya.

bek to ze topik: Mimi bado nina wasiwasi na hii kesi, kinachonifanya nisiropokwe ni uamuzi wa mleta mada kwamba hataki ushauri anataka maelekezo tu ya uhusiano mpya.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom