Search results

  1. M

    Dodoma: Mbunge wa Viti Maalum ashauri Uwanja wa Ndege wa Mbeya uitwe Tulia Ackson

    Mh Mbunge yupo sahihi kabisa,ni kweli uwanja wa mkoa wa Mbeya kuitwa Songwe Airport unaleta mkanganyiko usio na ulazima, kimsingi uwanja haupaswi kuitwa jina la mkoa mwingine, ni either uitwe jina la mkoa husika uwanja ulipo(Mbeya Int Airport) au jina lingine lolote kama majina ya viongozi...
  2. M

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Super Feo anatisha Nyanda ya juu kusini ipi hiyo tena? kule basi linalopendwa na kugombaniwa kwa sasa si SAULI pekeee Sent from my SM-C7010 using JamiiForums mobile app
  3. M

    Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

    Mimi nimetembea karibia mikoa yote ya Tz, Wakinga Kwanza ni makosa kufananisha Wachaga(Muunganiko wa kabila la Wamarangu,Warombo,Wamachame,Wakibosho nk) na Wakinga,Unawezaje kufananisha Muunganiko wa makabila na kabila moja tu? nimekaa maeneo mengi ya Uchagani lile sio kabila moja bali ni...
  4. M

    Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Kuja Tz sio lazima upitie Kenya au South Africa, unaweza kupitia Ethiopia,Rwanda,Zambia,Egypt,UAE,Qatar, Uholanzi,Uturuki,Msumbiji nk,na kwa taarifa yako abiria wengi zaidi waokuja Tanzania kutokea sehemu yeyote ya dunia hii wanakuja na Ethiopian airline kupitia Addis Ababa.
  5. M

    Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia Ackson achukua fomu ya Ubunge Mbeya Mjini kupitia CCM. Asindikizwa na mumewe

    Nani kakudanganya kwamba Idadi ya Wasafwa pale mjini ni kubwa kuliko Wanyakyusa?,Jimbo la Mbeya mjini limekuwa likiongozwa na wabunge wanyakyusa kabla na pia baada ya ujio wa vyama vingi mfano Mh Mwamfupe,Mh Mwaiseje nk, Then ndipo wakaja Mpesya na sasa Mh Sugu ambao ni makabila tofauti na...
  6. M

    Zahera Mwinyi awafanya TP Mazembe washukie Uwanja wa ndege wa Mbeya badala ya Dsm

    hiyo route ya Lubumbashi-Kinshasa-Nairobi-Dar umeitoa wapi?,Timu inatoka Lubumbashi kuja Dar inafuata nini tena Kinshasa?,kama hoja yako ili base kwenye usafiri wa ndege wa Kenya airways bado route itakuwa ni Lubumbashi-Nairobi-Dar es salaam ( kumbuka Kenya airways wana ndege ya kila siku kutoka...
  7. M

    Nini kimetokea kwa ndege yetu ya Bombardier kusukumwa?

    Umeeleweka vzr sana mkuu
  8. M

    Car4Sale Toyota carina TI inauzwa

    Karibu sana kaka
  9. M

    Car4Sale Toyota carina TI inauzwa

    Oh sorry, engine ni 5A-FE ina cc 1490, kama inavyoonyesha kwenye picha hapo chini, Nashukuru kwa kunisahihisha mkuu Nytemare
  10. M

    Car4Sale Toyota carina TI inauzwa

    Nashukuru kwa kuonyesha Interest mkuu, ongeza kidogo amount ifike 7M
  11. M

    Car4Sale Toyota carina TI inauzwa

    Nauza Gari aina ya Toyota Carina Ti; Details zingine za gari hiyo ni Name: Toyota Carina Ti Engine: 5A- FE Engine size: cc 1490 Transmission; Automatic Fuel: Petrol Color: Silver Mileage 118000 Km Location: Arusha. Addition info AC; ipo na Inafanya kazi vzr AIRBAG:YES zipo Jack ...
  12. M

    Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

    Kaka ATCL kabla ya kununuliwa hizi ndege sita mpya za Magufuli walikuwa na Bombardier mbili zenye namba za usajili 5H-MWG, na 5H- MWF, tofauti ya hizo ndege za zamani na hizi bombardier mpya za Magufuli ni model, hizi mpya ni Q400 na zina speed kubwa na capicity ya abiria ni kubwa kidogo kuliko...
  13. M

    Nyumba ya Kulala wageni Chakodi Geust House iliyopo Uyole Mbeya yateketea kwa moto

    Nani kakudanganya kwamba Uyole ipo Mbeya vijijini?, Kama hujui jambo ni vzr kuuliza ili upewe ufafanuzi.Uyole ni sehemu ya Jiji la Mbeya, Kifupi jiji la Mbeya linaishia Uyole- Igawilo kwa barabara ya Tukuyu na Uyole Nsalaga kwa barabara ya Iringa na pia Iwambi kwa upande wa barabara ya Tunduma.
  14. M

    Fahamu jinsi ya Kulink/ Kuregister Paypal account Tanzania

    Techintz, Habari, please mwenye uelewa anisaidie hili. Nina acc ya Tsh katika benk ya CRDB bank, je naweza kutuma USD kwenda Japan, kwa njia ya Paypal? Kama ndio kwa utaratibu upi?
  15. M

    Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

    mkuu hapo ni KIA,na hiyo ndege B744,ya QANTAS imetua leo
  16. M

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Dodoma na Moshi au Dodoma na Kilimanjaro? Note:Kuna tofauti kubwa katika hv vitu viwili Mji na Mkoa.Kilichopewa jiji jana ni mji wa Dodoma sio Mkoa wa dodoma.Hivyo kama ni kufananisha basi ni Mji wa Dodoma na Mji wa Moshi,ambao ukiweka siasa na mapenzi binafsi pembeni, Dodoma imeizidi Moshi kwa...
  17. M

    Wale mnaotaka magari used kwa bei nafuu karibuni sana

    Gari ipo wapi? na vp bei inapungua?
Back
Top Bottom