Search results

  1. KAUDO

    Mwenyekiti Bukoba Vijijini atangaza kujiunga na CHADEMA

    Bwana Dauda Kateme ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini ametangaza rasmi kujiunga na Chadema. Amechukua hatua hiyo baada ya kutoridhika na utaratibu wa upigaji wa kura za maoni katika Kata ya Kaibanja.Aliyetangazwa kuwa mshindi ni Lwankomezi wakati tawi moja...
  2. KAUDO

    DC Missenye acheza rafu kwenye uchaguzi kama alivyoahidi

    Mkuu wa Wilaya ya Missenye.Mkoani Kagera Issa Njiku amemuweka rumande kwa siku ya pili leo mgombea wa Chadema katika kijiji cha Bubare Faustin Kabito,baada ya mgombea huyo katika mkutano kusema ardhi ya vijiji imeporwa na wawekezaji wa lanchi ya Missenye bila wananchi wa vijiji hivyo...
  3. KAUDO

    CHADEMA walivyowasha moto kwenye Jimbo la Pro.Tibaijuka

    Matukio tofauti katika mkutano wa Chadema ulioongozwa na Mbunge Conchester Rwamulaza kijiji cha Kiteme,Muleba
  4. KAUDO

    RC KAGERA asema Tanzania Daima linapotosha kwa kuandika udaku

    Rc wa Kagera Fabian Massawe amesema magazeti miongoni (Tanzania Daima) yanaandika udaku kupotosha ukweli wa mgogoro wa madiwani wa Bukoba kwa lengo la kulinda masirahi ya mtu wala sio wananchi.Muda mfupi uliopita kwenye kikao cha bodi ya barabara.
  5. KAUDO

    ajali Mbaya Nshambya Bukoba

    kuna taarifa za kutokea kwa ajali mbaya maeneo ya Nshambya nje kidogo ya Bukoba iliyosababisha vifo na majeruhi.Mlioko Bukoba tupia taarifa zaidi pls
  6. KAUDO

    Balozi Kagasheki, Dk Amani kuwekwa kitimoto NEC TAIFA Dodoma

    kufuatia sakata la kutimuliwa kwa Madiwani nane wa Bukoba Balozi Kagasheki, Meya wa Manispaa ya Bukoba Dk Amani, Mwenyekiti CCM Mkoa wa Kagera na Katibu wake, Mwenyekiti wa CCM Manispaa ya Bukoba na Katibu wake wameitwa Dodoma kuhojiwa. Nape Nnauye amewaeleza waandishi wa habari mjini hapa...
  7. KAUDO

    Balozi Kagasheki na Meya wa Bukoba wako ulingoni tena

    pambano linaongozwa na kituo cha Redio ya Kasibante inayomilikiwa na Kagasheki ambayo imeanzisha vipindi vya kuimba uzuri wa Kagasheki na kueleza upuuzi wa Dk Amani. Tayari kundi la madiwani tisa wanaompinga Meya wamealikwa na Kagasheki kwenda Dodoma(wameishafika) kumshitaki Meya kwa Waziri...
  8. KAUDO

    Picha.Diwani wa CCM anayetuhumiwa kwa mauaji ya vongozi wa TLP

    Diwani wa CCM Kata ya Mabila Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera Christian Songambele amesomewa mashitaka ya mauaji ya watu wawili ktk mahakama ya Wilaya ya Karagwe.Anadaiwa akiwa na wenzake wawili waliwaua Denis Damian(Mkt wa Kitongoji cha Nyakatete kupitia TLP na Katibu wake Johnbosco Damian.Nyuma...
  9. KAUDO

    Hali tete Bukoba,polisi wafunga barabara kuzuia maandamano

    Polisi mjini Bukoba wamelazimika kufunga barabara kuzuia kundi la waendesha pikipiki waliokuwa wakiandamana kuelekea kituo cha Polisi kupiga vitendo vya uonevu wanavyodai kufanyiwa na askali wa usalama barabarani.Askali waliojihami kwa silaha wametanda barabara ya kutoka Soko kuu na vijana...
  10. KAUDO

    Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    Rais Mstaafu Ben Mkapa amesema baada ya uongozi wake anashuhudia mambo mengi ya ajabu ikiwemo mitafaruku katika jamii. Kwamba anachojivunia katika uongozi wake ni kuwa hakuwahi kuambiwa anabagua. Amesema kizazi kipya cha uongozi kinatakiwa kurudi katika misingi aliyoacha Mwalimu Nyerere ambayo...
  11. KAUDO

    Tuhuma za ugaidi wa Lwakatare: Mwingine adakwa Bukoba

    Polisi mjini Bukoba wanamhoji Evodius Justinian kwa tuhuma za kushambulia na kudhuru mwili wakati wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga.RPC Kagera(Philip Kalangi)amesema mtuhumiwa atasafirishwa kwenda Tabora.Amesema maelezo zaidi aulizwe RPC wa Tabora.Bado haijajulikana kama kijana huyo ni...
  12. KAUDO

    Kutengeneza pombe ya'RUBISI'sio kazi rahisi

    Hatua ya kwanza ni kupata juisi'omulamba'na baadaye Rubisi.Hapa ni Wilaya ya Karagwe hivi karibun
  13. KAUDO

    Huyu ndiye Geooorge Marato wa ITViiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    Mawasiliano ni muhimu!
  14. KAUDO

    Vita ya Kagasheki na Amani, Nape atua Bukoba

    Katibu Mwenezi wa CCM Nape Nnauye anaendelea na kikao katika ofisi za chama hicho. Madiwani wanaotaka Meya ang'olewe wako nje wakisubiri kujua hatima yao. Ndani ya kikao pamoja na wengine yupo Mkuuwa Wilaya ya Bukoba Ziporah Pangani, Meya Dk Aman,Katibu wa CCM mkoa Averin Mushi na wengine...
  15. KAUDO

    Jeuri ya Kagasheki: Madiwani walipwa posho kususia bajeti ya Manispaa ya Bukoba!

    Kikao cha kujadili bajeti ya Manispaa ya Bukoba kimehairishwa baada ya idadi ya madiwani kutofikia nusu(wamefika 11 kati ya 24) Madiwani wote tisa wanaompinga Anatory Amani akiwemo Khamis Kagasheki wamesusia baraza hilo.Mwenyekiti wa Chadema Bukoba Mjini Victor Sherejei amesema madiwani wa...
  16. KAUDO

    Mwigulu Nchemba: Safari ya Zitto imefika mwisho

    5/Feb/2013 Naibu katibu Mkuu ccm Mwigulu amehutubia wananchi wa mjini Bukoba na kushambulia upinzani.Kwamba mwisho wa Dk Slaa ni 2015 wale wanaomuona akiapishwa Ikulu wanavuta ban...kuwa safari ya Zitto imeishafika mwisho na wamemwacha aende zake kwa kuwa hatoki kanda ya kasikazini,kwamba...
  17. KAUDO

    Madiwani wa Bukoba wamkana Kagasheki mbele ya Mangula

    Kikao cha halmashauri kuu CCM Wilaya ya Bukoba kinaendelea ukumbi wa St Francis. Makamu Mwenyekiti Taifa Philip Mangula ameuliza kama kuna diwani ambaye hajui kinachoendelea kuhusu mradi wa soko au hakuwahi kushirikishwa katika uamuzi wa miradi ya Manispaa ajitokeze. Madiwani wote wamebaki...
  18. KAUDO

    Orodha ya Madiwani waliomkataa Meya wa Bukoba na saini zao

    Miongoni mwa madiwani waliotia saini ya kutaka Meya wa Bukoba Dk Anatory Amani aenguliwe ni Mwenyekiti wa CCM Bukoba Mjini Yusuph Ngaiza na Mbunge wa Bukoba Mjini Balozi Hamis Kagasheki.Waliotia saini ni madiwani kumi na Baraza zima lina jumla ya Madiwani 24
  19. KAUDO

    Vita ya Kagasheki na Dk Aman ngoma nzito,madiwani waburuzwa Takukuru

    Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Bukoba wameingia matatani baada ya kuhojiwa na TAKUKURU kwa tuhuma za kupokea rushwa ili kusaini waraka wa kumng'oa Meya wa Manispaa hiyo Dk Anatory Amani.Tuhuma nyingine ni kuhongwa safari za matembezi nchini Uganda.Kamanda wa TAKUKURU amethibitisha kuhojiwa...
  20. KAUDO

    Kulikoni GPSAmakao makuu?

    Enyi vigogo wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini(GPSA)kumbuka mnavyofurahia maisha na familia zenu sisi wafanyakazi wa Mikoani kwa makusudi mmeendelea kututesa kwa kutucheleweshea mishahara mpaka leo,hata tumeshindwa kufurahia na familia zetu katika sikukuu zote za mwisho wa mwaka.Kumbuka...
Back
Top Bottom