Search results

  1. S

    King'amuzi startimes kinauzwa

    Wakuu nauza king'amuzi changu aina star times ,,, Kina channel 7 za bure kama vile CLOUDS TV,EATV, ITV n.k Bei ni 55000/= Dar es salaam 0762693368
  2. S

    Flat Tv inch 32 kwa laki 2 na 20

    Wakuu nauza TV aina aborder kwa 220000/= Ina double glass yani vioo viwili Inamstari kidogo kwa chini Ina support kila kitu Dar es salaam 0762693368
  3. S

    Tv flat inch 32 kwa 230000

    Wakuu nauza TV aina aborder Ina double glass yani vioo viwili,,cha nje kikivunjika kinabaki cha ndani Ina msitari kidogo tu hapo chini Bei ni 230000 Dar es salaam 0762693368
  4. S

    Flat TV inch 32 kwa 230000

    Wakuu nauza TV aina aborder Ina double glass yani vioo viwili,,cha nje kikivunjika kinabaki cha ndani Ina msitari kidogo tu hapo chini Bei ni 230000 Dar es salaam 0762693368
  5. S

    Phone4Sale Tecno w5 Kwa laki na kumi

    Nauza tecno W5 nzima kila kitu haina tatizo lolote, battery linafanya kazi vizuri kabisa na haina crack Dar es salaam, Bei laki na elf 10. 0762693368
  6. S

    Wanunuzi wa mchele/mpunga karibuni

    Wakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora. Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000 Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku Nipo Nzega Tabora NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni mtamu na mzuri sana ingawa unaoamika zaidi ni wa Mbeya Call: 0762693368 Whatsap: 0762693368
  7. S

    Nitajenga kwa milion 1 na laki 5

    Habari za uzima wanaJF, Nilikuwa naomba ushauri wenu na mawazo yenu; nimesikia viwanja Mkuranga vipo vya laki 8, nikapata wazo kwanini nisijenge nami niwe na kwangu. Kuangalia mfukoni nina milion 1 na laki 5 nilojiwekeza miaka mitatu. Sasa hivi naishi chumba nalipa kodi elfu 60. Sasa nataka...
  8. S

    Mtaalamu wa mtandao

    Kama kichwa cha habari,nina ujuzi mkubwa wa na uelewa mwingi kwenye maswala ya platform. Yeyote mwenye shida ya kufanyiwa kazi yeyote kwa malipo madogo anitafte Mfano wa vitu navyoweza 1)Google android (google play console,adsense,account recovery n.k 2)Youtube,blogger(link to payment)...
  9. S

    King'amuzi na Vifaa vyake vyoooooote nauza

    Nauza king'amuzi changu na vifaa vyake vyote,,cjui antenna,remote,nyaya,,ukinunua ukifka kwako na kuangalia,,INA channel 7 bure za bongo,,Elf 50 tu 0762693368
Back
Top Bottom