Search results

  1. kacholicholi

    Bei ya matank ya kuhifadhia maji lt 2000 au 3000

    Nenda pale Simtank kiwandani mbozi road utapata kwa bei ya chee
  2. kacholicholi

    Bunge laukana Muswada wa Mafao wa 25% kwa 75%. Ladai waulizwe Serikali ndio walioleta kanuni

    Ni bora kumwabudu shetani unaweza kutubu na Mungu akakusamehe kuliko kuishabikia ccm hakika Mungu hawezi kukusamehe
  3. kacholicholi

    Hasara ya Fiesta....Dada anauza vifuatavyo kwa bei ya hasara mpigie simu kama unahitaji....

    Ndo umeongea nn sasa,..kibali kilishatolewa ndo wakaanza maandalizi,..siku moja kabla ya tamasha eti kinafutwa
  4. kacholicholi

    Clouds watangaza 29 watakaotumbuiza Fiesta, Nandy atoswa

    Ongeza young killer,Dully
  5. kacholicholi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Lini Umeme wa REA utafika ktk vijiji vya Kibamba na Sunguvuni wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani
  6. kacholicholi

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nenda mtaa wa Libya kituo cha basi barid kwa chini mtaa unaitwa Aggrey ile ya mnazi mmoja
  7. kacholicholi

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mtaa wa Pemba karibu na soko la kariakoo ukitokea Livingstone
  8. kacholicholi

    Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Kweny fridge hakuna kitu kinaitwa mtungi ila sema compressor, na gas kweny fridge huwa haiishi na ukiona imeisha jua ina leakage sehemu,.. Na pia fridge kutogandisha sio mpk iwe gas inawezekana ikawa tatizo lingine like compressor haitembei au relay au overload mbaya so ni vizuri muite fund...
  9. kacholicholi

    Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Kwa kifupi gas huwa haiishi kweny kifaa chochote kinachotumia gasi I mean Ac,.car Ac, refrigerator nk otherwise iwe ina leak na ukiona imeisha jua ina leak somewhere so lazima uzibe leak ndo u refill
  10. kacholicholi

    Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Hakuna material ya kuziba evaporator ikitoba,..utakutana na fundi njaa atakuzibia kwa kutumia super glue na unga but hatadumu muda mrefu coz pressure ya gas ni kali sana so lazima ivuje tena but km inaweza kutoka ndani ya fridge unaweza kuichoma kwa kutumia aluminium stick na ikawa poa
  11. kacholicholi

    Ni wakati sasa wasomi mkaingia kwenye fani za kawaida kama vile uigizaji, kuchoma mahindi kubrashi viatu na kadhalika

    Baada ya kumaliza chuo nikaona mambo hayasomeki nikaamua kurudi tena chuo lakini mara hii VETA nikawa napiga evening class ya Air conditioning,..nikapiga pale miezi sita darasani baada ya hapo nikamtafuta mshikaji mmoja alikuwa anafanya kazi Samsung akaniunganisha pale nikawa nafanya vitendo...
  12. kacholicholi

    Je, ni sahihi kwa majaji kuvaa mawigi ya kikoloni katika zama hizi?

    Aliyeanzisha technology ya mawasiliano ni mzungu hao wamekopi tu,.Nambie simu ya kwanza kuingia ilikuwa inaitwaje na ilitengenezwa wap
  13. kacholicholi

    Msaada wenu wana jamvi, nielekezeni jinsi ya kudownload vitu kwenye smart TV kwa kutumia WiFi ya simu

    Nimeshindwa kudownload vitu especially movie kweny TV yang,..pls naombeni msaada namna ya kufanya
Back
Top Bottom