Search results

  1. B

    CCM,TBC,TANESCO, EWURA Mnaishi maisha ya nchi gani?

    Wapendwa salam, Shirika la utangazaji la Taifa TBC limekuwa likirusha vipindi maalumu kadhaa featuring makampuni na authorities kama TANESCO na EURA to name the few, katika vipindi hivi ambavyo mara nyingi huendeshwa na waandaaji na waandishi waliobobea wanatoa maelezo yaleyale ya miaka nenda...
  2. B

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    I hope alikuwa na maan ya to go to hell! Hawa jamaa wamerogwa sijui nini? huwezi amini kwa akili ya kawaida kila kitu hakiendi yeye anasema go! Go to where?
  3. B

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Wewe isitoshe ni mchawi,unapenda vipi matatizo??? CHADEMA siyo rebels, hawapo msituni wamo mjini humu humu, hawana silaha silaha mnazo ninyi CCM na CUF wakezenu! Serikali inaitambua kambi rasmi ya upinzani hebu sema kiongozi wake ni nani? wewe unatoka wapi, ni kweli kuuawa kwa Ghadafi siyo kitu...
  4. B

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Uelewa wako una utata, unahitaji uende shule upya ili uweze kuelewa, waasi na wapinzani ni vitu viwili ambavyo hata mwanao hawezi kuvichanganya! kwa hivi muulize atakufundisha, janga la taifa ni kitu ambacho kina muelekeo wa kuleta maafa, CHADEMA wana wabunge, madiwani na wanauongozi wa kambi...
  5. B

    Tamko la waislam wa Tanga

    Fanyeni kazi nyiye watu, msingojee kutaifisha taifisha, we hate communism, wavivu wengi hawawezi kuanzisha investments wasubiri kutaifisha, Azimio la Arusha limetutia umaskini! potelea mbali wewe na azimio la Tanga, you'll find out that unataifisha hata watu kama BAKWATA!
  6. B

    Tunawasubiri CHADEMA mje na sababu zenu Igunga!

    Unamaana ipi unaposema 'makini?' hivi ni hilohilo neno la kwenye kamusi! Sidhani kama unalielewa, kitu kimoja tu kitakacho kupa mwanga ktk umakini huo, niambie CCM mara ya mwisho kuhakiki mahesabu yenu ilikuwa lini? je pesa mlizowanunulia ndizi na mihogo waswekeni wa Igunga mnaweza kuzi-account?
  7. B

    Tunawasubiri CHADEMA mje na sababu zenu Igunga!

    Hii siyo sababu, mnashangilia kuchaguliwa na wananchi wa vijijini, wasio na upeo wowote wa kufikiria, wanao gawiwa pande za kanga na sukari, pilau etc, ambao haohao utawasikia hatan leo ukisikiliza kwenye media wakilalama na kuomba serikali iwasaidie shida hata za majumbani kwao, hawana hata...
  8. B

    On a Serious Note: Waziri wa Sheria anapokuwa hajui Katiba!

    It is a bizarre really! They always dwell on their fear which corrodes their minds, unfortunately it is a massive thought!
  9. B

    Sitta awasha moto mpya DOWANS

    Ajiuzulu! Wajua action speaks louder than words! akiweza kuonyesha huo mfano tutamtetea asiuawe na magamba, kwanza kesha kula sana yeye na mkewe aliyekamatwa akitoa rushwa na kuachiwa! Akijiuzulu na kuomba ulinzi against magamba atawaincourage wengine wote akina Ngereja wamfuate wanatamani...
  10. B

    Sitta awasha moto mpya DOWANS

    Pesa walizokopa kuendeshea uchaguzi wa 2005 kwa (DOWANS)-Mbunge Mstaafu wa Igunga kama wanavyomwita(Rostam) hazijarudi, sasa watanzania wote tunawajibika kulipa mikopo ya chama kimoja ambacho kimetuletea hasara ya kuendelea kwa miaka yote kilipokuwa madarakani tangu utaifishaji wa mali, vita vya...
  11. B

    Waziri mkuu mstaafu Warioba na TTCL

    Una maana gani sasa!??
  12. B

    Ukaguzi wa mahesabu ya chaguzi-Katiba mpya

    True that! They're extremely scared kwamba nchi itakapochagua viongozi wake kiuhakika madudu yao yatafichuka, magereza yatajaa au mafisadi wengi watakuwa asylum seekers! lakini wazo moja rahisi na lenye faida kwao, wakumbuke kwamba hata Rupia Banda hakutegemea kudondoshwa but he saw it coming...
  13. B

    On a Serious Note: Waziri wa Sheria anapokuwa hajui Katiba!

    Huyo hajui kitu! kwanza alikataa ati serikali haina pesa ya kubadili katiba akili yake inatia mgomo! Thamani ya mamilioni inapotea hauwezi kuilinganisha na uozo uliopo, katiba itabadilika kwa nguvu na gharama yoyote!
  14. B

    Hatma ya Katiba Mpya: Kikwete na Karata ya Kisiasa Kuangamiza Taifa 2011

    We nawe mpaka msukumwe kwa vidole vitano ndo mseme, sasa si utulie watu tujadili, you don't have a will at all, kwanza mnafikiria nafasi zenu za burebure mtazipata vipi! Huo ni UKOMA kiakili!
  15. B

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Unashukuru nini sasa, it seems hata wewe huelewi unachoambiwa! Moderator can you block guys like this! kwanza anachafua hali ya hewa tu!
  16. B

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Unapoteza muda, find some business to do upate japo pesa ya kula, umetumwa na BAKWATA, waislamu wa ukweli they aint enslaved like what you're thinking, kaa hivyo hivyo , huchoki tu kuwa-victimize, wamestuka tayari huoni haya!
  17. B

    Ukaguzi wa mahesabu ya chaguzi-Katiba mpya

    Kwa jinsi ya pekee, uchaguzi mdogo wa Igunga umefichua mengi mno kuhusiana na matumizi ya pesa kwa ujumla katika kipindi cha uchaguzi! Kwa uhakika inashangaza kuona viongozi wakubwa wa nchi kwa wingi wao walivamia na kuweka kambi pale Igunga. Swali la msingi ambalo ni la kawaida katika...
  18. B

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    I hope unaona statistics! otherwise, tutakapobadili katiba wapaga kura wenye akili tutakuwa wachache, oneni aibu kidogo kwa kuchaguliwa na tabaka la wasiojua kitu na ambao kila siku wanaomba misaada kwenye media ati serikali iwasaidie, wakati uwezo wa kutenda wanao! Mwisho ndo umefika kaka...
  19. B

    Binti Makamba, Lundenga, Miss Tanzania na roho zinazoelea!

    Yani ji sawa na mashabiki wa Arsenali wanakufa kwa kukosa ubingwa wakati wenyewe Arsene Wenger na wenzie vitita vinaingia tu, nambie serkali ya mavumbuzi imefanya kitu gani kama yanyewe mpaka sasa na taarifa bado hazijitoshelezi, waachieni hilo jambo jamani siyo jambo la muungano!
  20. B

    Ajali ya Meli: SUMATRA, lawama kwa viongozi na suala la muungano

    It is natural for Zanjs to act emotional, kwani wao kila kitu ni inshaalah tu, watafika salama hata kama vyombo vyao vya kusafiria ni vibovu, Munyaz Mungu wao huwasaidia, sasa kama waliwafukuza, what was to be expected of it if not tragedy!
Back
Top Bottom