Search results

  1. Jonas hemed

    Dkt. Ndugulile: Tutafuta tozo zote kandamizi katika Tehama

    hivi bado tu hizo tozo hazijaondolewa? maana umaskini na wizi hautapungua kwa style hii #serekalituangalie .
  2. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    ahsantee #maana ni miongoni mwa moja kati ya hatua za kimafanikio.
  3. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    hii ni sa Mahusiano hayana formula sawa na kuingia mjini kwa mara ya kwanza #
  4. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    hapo kaka ni kutulia tuu kwanza make hata mimi yalinikuta mambo nikiwa chuo mwaka wa pili. mahusiano yangu ya kwanza sikuwahi penda before tulidumu minimal mwaka mmoja, alipoanza chuo mambo yalibadilika ghafla simu zika pungua ,txt zikapungua , nikimtafuta ananambia yupo group disc akitoka...
  5. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    hapa shughuli ipo , unaweza kukua kiakili lakini kimahusiano ukafeli parefuu.
  6. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    hapa bro umenipa point kubwa sana ila itakuwaje kama tutafanana elimu pamoja na mshahara
  7. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    hapa bro umenipa point kubwa sana ila itakuwaje kama tutafanana elimu pamoja na fainance?
  8. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    huwa najiuliza changamoto pengine ni aina ya kazi ninayoifanya .
  9. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    hapa ulifanyaje fanyaje coz ni kama mchezo umeumaliza kilain vile daaaah.!
  10. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    nikiacha mapenzi nitayakuta mbele hata iweje nibora kukomaa hivyo hivyo kaka,.
  11. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    kumbe kufunguka huwa kunasaidia make ningeteseka kivyanguvyangu aseeh # sasa naanza kuelewa kwenye upande wa mahusiano
  12. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    Hahahahahah ayah bhana kama kutekwa ni kama movie za kihind vle🤣🤣🤣🤣🤣
  13. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    apa nakupata hapa nakupata viizur Mkuu coz kuanzia sasa nitakuwa makini kweli.
  14. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    Tumetofautiana moyo mkuu #
  15. Jonas hemed

    Maumivu ya kutendwa yanaweza mfanya mtu asipende tena?

    FIRST BREAKUP IN RELATIONSHIP MAKES FOREVER PAIN
  16. Jonas hemed

    Nafasi za kazi kwa madereva hizi hapa

    Daaah aseeh Brother excuse make nliliface tu tangazo nikapost coz mtu akiingia tyu lazma atalitizama .
  17. Jonas hemed

    Nacte huchukua muda gani kutoa Academic transcripts

    Kwajinsi navyo elewa kulongana na taarifa zao Ni Massa 70 na mawili
Back
Top Bottom