Search results

  1. Rozanna Agro Africa

    The Undisputed Messi

    N Ndo ukweli huo. 6th ballon d'or
  2. Rozanna Agro Africa

    Natafuta ufuta mweupe au mweusi

    Habari, kama unahitaji mbegu ya ufuta mweupe, karibu sana Namba zetu #0717172947
  3. Rozanna Agro Africa

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ukienda songea wala huhitaj kukusanya, unayapakia tu, gunia moka 40,000 hata ukitaka gunia 1000
  4. Rozanna Agro Africa

    Ni umri upi sahihi kwa mwanaume kuoa?

    Kabisa kabisa naunga mkono hoja, furaha syo kuwa na pesa, unaweza kuwa na pesa na mali na bado ukawa na mistress kibao... maisha ya furaha hutegemea namna unavyoishi na watu... ktk maisha ya ndoa ni kumpata mtu mwenye utu na upendo wa kweli atakayekupenda na kukuthamini ktk hali yoyote na mwenye...
  5. Rozanna Agro Africa

    Ni umri upi sahihi kwa mwanaume kuoa?

    Ni pale utakapokuwa tayari ww mwemyewe
  6. Rozanna Agro Africa

    Wanawake mnavumilia sana Kudate Wanaume wa Kitanzania

    Ujumbe umefika ni mzuri, japo mifano ni ya uongo ila inaleta uhalisia[emoji1690]
  7. Rozanna Agro Africa

    CRDB muwe makini kwenye mikopo

    Ina maana mkopo alipewa bila mwajiri kuidhinisha
  8. Rozanna Agro Africa

    Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Hawa

    Wanaotumia iPhone wanajiona matajiri na wasomi
  9. Rozanna Agro Africa

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Karibuni
  10. Rozanna Agro Africa

    Tumuombee Faiza Ally, mzazi mwenza wa Sugu, ana maumivu makali sana

    Anaigiza[emoji2955][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  11. Rozanna Agro Africa

    Wataalamu fanyeni utafiti tupate dawa za kuzuia kuwapa mimba wanawake.

    Tumieni mipira, ina mana mnaogopa mimba kuliko STDs
  12. Rozanna Agro Africa

    Professor J na Frank Majani wana beef zito

    Majani amepanick pasipo ulazima
  13. Rozanna Agro Africa

    Harmonize atoa ngoma ya kwanza tokea ajiengue WASAFI. Ashindwa kufikisha views 100K ndani ya masaa 10

    Sisi watu wa mtwara tunampenda sana harmonize na atafikisha views hata milion 10
  14. Rozanna Agro Africa

    Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane, nifanyeje?

    Mrudie.. safari hii ikiwezekana zaa naye[emoji107][emoji107][emoji107]
  15. Rozanna Agro Africa

    Nimepokea Txts za kutisha sana, Sina raha msaada wenu wa mawazo...

    Huyo binti unayeishi naye jaribu kumwuliza kama mke wa mtu au mchumba wa mtu
Back
Top Bottom