Search results

  1. A

    MSAADA WA MAWAZO

    Me n mwanafunzi nimemaliza PCB mwaka nina 2 ya 12 ila nina CC na S ya phy sasa hawamu ya kwanza niliomba SUA UDSM na UDOM ila nimekosa ingawa nimeapply tena ila mama kankambia nitafute plan B yaani nifanye shukhuri yy ataniwezesha kamtaji sasa ahida yangu kubwa ni USHAURI kama wa chuo au hata wa...
  2. A

    NIMESHAKATA TAMAA NA HII SYSTEM YA TCU

    Mpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu jamani naombeni msaada nifanye nini me
  3. A

    MSAADA WA ADA KATIKA CHUO CHA KAMPALA UNIVERCITY (KIUT)

    Naomba kujua ada za chuo cha KIUT katika course hz hapa MD PHAMACY MEDICAL LABOUR
  4. A

    MSAADA KWA WA MAWAZO KIDOGO

    Hivi haya majina yana yo sambaa mitandaoni mbona kinachoandikwa ni tofauti na kichwa cha habari maana ukifungua link unaambiwa haya ndio majina ya walichaguliwa labla mfano SUA lakini ukifungua unakutana na majina wanatakiwa ku comfirm hadi sasa hivi wanasema vyuo vyote wamesha tangaza majina ya...
  5. A

    MSAADA KWA MNAUJUA SYSTEM YA MWAKA HUU YA VYUONI

    Jamani mwaka huu walikuwa wanachagua vyuo kwa vigezo gani kwa maana kuna watu kibao wenye Two na One wameachwa kwa mfano kuna dugu yangu ni PCB ana two ya 12 na mwingine TWO ya 11 watu wamekosa nafasi SUA na UDOM wakati kuna wenzao wenye three wamepata tena kwa maajabu wote walijaza course sawa...
  6. A

    Msaaada

    Nasikia SUA wamesha toa majina mbona cyaoni Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    MSAADA WAKUPATA VITABU VYA NGAIZA

    Jaman nina mdogo wangu yupo form 5 PCB anaitaji viatabu vya ngaiza sasa cjui na vipataje mwenyekujua na bei zake naombeni msaafa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    MSAADA

    Naomba msaada nitapata vipi vitabu vya NGAIZA kuna mdogo wangu yupo shule anataka Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    Naweza kutuma window installation files kupitia Whatsapp?

    Hv inawezekana mtu akakutumia window labla kwa kutumia whatsapp au kwanjia yeyote harafu ww ukaikopy kwenye flash na kuinstall kama inawezekana basi mwenyewe window 7 au 10 tuongee biashara Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    Jinsi ya kuinstall window

    Jaman msaada hivi naweza kuinstall window kwenye computer kwa kutumia simu yaani simu iwekama vile flash kwa kuconnect na USB au mna nisaidiaje kwasababu huku nilipo ni kijiji hatar na wameniambia eti kuistall window ni elfu 50 wakat najua me ni elfu kumi hadi 20 ila kibaya zaidi sina hiyoo hela...
  11. A

    Msaada wa PC yangu

    Laptop yangu sijui inatatzo gani yaani ukiwasha inawaka ila baasa ya neno window kumaliza kuloas tu haendelei tena hv tatzo lake nini Inaonyesha kama vile hizi picha Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    Msaada: Njia rahisi za kupunguza mwili

    Jamani me nina kilo 80 nahitaji kupunguza kwa haraka ninafanya mazoezi ya kukimbia huwa na zunguruka wanja mara 6 kwa siku ila ndani ya wiki mbili nipunguza kilo 1 tu hv hakuna njia za kupunguza mwili kwa haraka zaidi nimechoka na huu mwili
  13. A

    MSAADA WACOURSE KATIKA VYUO HIVI UDSM NA UDOM

    Me nimesoma PCB na matokeo yangu siyo maxuri saba ila asante mungu na asanteni sana kwa kunisadia kwenye post iliyopita nimesha apply SUA nimepata two ya 10 matokeo yangu ni CCD ktk chem bios na phy nimesha apply SUA MUHAS na BUGANDO sasa bado UDSM na UDOM je ni course gani nzuri ni apply katka...
  14. A

    MSAADA WA COURSE KATIKA VYUO VYA UDSM NA UDOM

    Me nimesoma PCB na matokeo yangu siyo maxuri saba ila asante mungu na asanteni sana kwa kunisadia kwenye post iliyopita nimesha apply SUA nimepata two ya 10 matokeo yangu ni CCD ktk chem bios na phy nimesha apply SUA MUHAS na BUGANDO sasa bado UDSM na UDOM je ni course gani nzuri ni apply katka...
  15. A

    MSAADA JAMANI NIMEPOTEZA REFFERENCE NO ZA CHUO CHA SUA

    Je kuna mtu yeyote anayeza kunisaidi chakufanya ili nizipate refference no maana bila ya hz siwez kuapply SUA maana hz znaitajika kwenye malipo au mwenye namba ya ugonzi wa SUA plz mnisaidie pengine wataweza kunishauri chakufanya
  16. A

    MSAADA JINSI YA KUAPPLY SUA

    Jamani naomba msaada wa kuapply SUA nimesha jisajiri sasa wamenitumia password kila nikiingiza naambia hazifanani wakati wamenipa wenye au ninakosea wap????
Back
Top Bottom