Naweza kutuma window installation files kupitia Whatsapp?

Naweza kutuma window installation files kupitia Whatsapp?

Joined
Jul 14, 2018
Posts
36
Reaction score
7
Hv inawezekana mtu akakutumia window labla kwa kutumia whatsapp au kwanjia yeyote harafu ww ukaikopy kwenye flash na kuinstall kama inawezekana basi mwenyewe window 7 au 10 tuongee biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
telegram inawezekana ila utahitaji rufus kutengeneza bootable usb nacho kina kb kadhaa siyo kikubwa nipe namba nikutumie lakini ya telegram
 
Hv inawezekana mtu akakutumia window labla kwa kutumia whatsapp au kwanjia yeyote harafu ww ukaikopy kwenye flash na kuinstall kama inawezekana basi mwenyewe window 7 au 10 tuongee biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
kama cm yako inasupport flash OTG
itawezekana simple tuu
na sio mpaka mtu akutumie maana hapo itakuwa changamoto mtu akutumie image yenye GB 3+
 
Kwa whatsapp haiwezekani tafuta telegram app ndo utaweza tumiwa maana Window image inaweza kuwa na gb 2+ hapo utatafuta na power os kwaajili ya kufanya boot kwenye flash
 
Hakuna haja ya mtu apoteze bando lake akutumie windows..na wewe tena upoteze bando lako ku download hyo windows...

Chakufanya omba link ya windows unayotaka upakue mwenyew

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom