Search results

  1. P

    Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Shame on you Nape, Acha kudanganya Umma wa Watanzania. Lakini Watz wengi wanakuelewa kuwa wewe ni mtu wa kuropoka tu huna lolote lile. Jipangeeeeeeeeeeeee
  2. P

    Wale wa Sua tufahamiane humu

    Kuna course ambazo wenyewe wamezigawa kwa upande wa Mazimbu na main campus.Mwanzoni mwa ile list ya waliochaguliwa utaona wamezigroup wenyewe.
  3. P

    Wale wa Sua tufahamiane humu

    Ok thanx Mkuu. 2takaribia huko :)
  4. P

    Wale wa Sua tufahamiane humu

    Bsc.in irrigation&water resources eng
  5. P

    Matokeo ya SUA yapo hewani

    dah! i thank God coz nami nimo
  6. P

    TCU selections are OUT!!

    naombeni mumuangalizie mdogo wangu username ni S0167/0057/2010 na password ni astelia me nimejaribu kuangalia inazingua
  7. P

    Msaada wa mawazo

    Nimesoma EGM na nimepata 3.13 yaani economics D geog E a.math D. Sasa wakuu naombeni ushauri wenu nisome coz gan nzuri kulingana na matokeo hayo.Asante.
  8. P

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Hapo ni Dr.Slaa tu, Zitto kuwa na subira mda ukifika 2takufikiria,huu ni mda wa kukijenga chama zaidi na c mda wa kutangaza nia ya kuwa Presidaa. Ushauri wangu wa bure kwa Zitto ni kuwa ashirikiane na viongozi wengine wa juu wa CDM ktk kuiendeleza M4C,Kuwaelimisha wananchi hasa wale wa vjijini...
  9. P

    Hakika sasa nimeamini alichosema Dr. Slaa kuhusu Kikwete

    Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili,Hapo ndipo akili za wabongo zipime na kugundua kuwa walifanya makosa kumchagua kikwete na CCM yake iunde serikali ya nchi hii.Maisha ni magumu kila kona wa2 wanalalamika,hili liwe fundisho kwe2 2sifanye makosa tena 2015 kwani kosa sio kosa bali kurudia kosa...
  10. P

    Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

    Sio kama ubunge hauna maslahi,ameshazisoma alama za nyakati,Wananjombe wameamka sasa. Hongera mama kwa kugundua hilo.
  11. P

    Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

    Kituo cha polisi ilomba,kimevunjwa, watuhumiwa wamekimbia,na kimechomwa moto. Ni kituo cha polisi cha pili kuchomwa,kingine ni cha uyole.Inasemekana watu wengine kutoka Mbalizi wameenda kuungana na wenzao kupambana na askari. Wananchi wanapiga simu redioni, wanasema hawamtaki Kandoro. Mbunge wa...
  12. P

    Je, unampa JK asilimia ngapi za uongozi bora?

    50% kwa kuwa kigeugeu kwenye maamuzi yake,50%kuchekacheka 2 hata ktk masuhala yacyoitaji kucheka.Hizo ndo % zangu kwake.
  13. P

    Ngo ngo ngo

    Tanx all.Pa 1 xana
  14. P

    Ngo ngo ngo

    Ok,thanx@Leonard
  15. P

    Ngo ngo ngo

    Hello wanaJF humu ndani.Mimi ni member mpya ndani ya jamii forum.Natarajia kupata mawazo na taarifa mbalimbali zenye kunijenga kutoka kwenu.Ok thanx jamani
Back
Top Bottom