Mkuu naona hili jambo halijakubariki hata kidogo sawa pia na kwa wachangiaji wengi, niseme tu kwamba i do wish all the best for my kid na najaribu kufikiria njia iliyo sahihi ya yeye kuwa 'a strong lady in future' hivyo ninaona kukosa kwake elimu bora ktk hatua ya mwanzo inaweza pelekea asiwe...
Mkuu nina hisia kwamba kizazi kinachokuja baada ya kizazi chetu kitakuwa dominated na vijana wenye ufahamu mkubwa wa mambo, uwezo mzuri wa kujieleza na kujiamini, ambao wengi hawaandaliwi ktk shule zetu hizi.
Mkuu numbisa ni kweli nilikuwa na fikra flani lkn kuomba ushauri ni muhimu ili tuweze kupima maamuzi yetu kupitia uzoefu wa wengine. Ninachokifanya ni kuangalia mizania kati ya hasara ya kimalezi na faida kwa mtoto.
Mkuu hebu fikiria tatizo la kimazingira, wazazi ambao wanaishi mbali na huduma ya hizi shule tunazoamini zinatoa elimu bora, je watoto wao wasipate fursa kabisa ya kunufaika na elimu hiyo kwa sababu za kimalezi?
Lipi ni jema sasa mkuu, apate elimu hii ya jua kali ili kulinda ukaribu wa mzazi na mtoto na malezi bora au aende akapate elimu itakayonjenga vizuri kuyakabili mazingira yake.
Mkuu una hoja ya msingi nitaitafakari zaidi, kimsingi nikiangalia hata tabia za watoto wa hizi shule za umma ambao wanashinda na wazazi bado zinasikitisha kbs!
Mkuu hoja hii ndio inayonidhoofisha, lakini ni kweli kwamba shule hizo za boarding hazina watoto, na je wote wamekuwa na tabia mbaya ama kupoteza 'bond'na wazazi wao?
Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi...
Ni ukweli usiopingika kwamba mitandao ya kijamii kama huu wa JamiiForums, twiter, fb na ile inayojadili mambo ya kisiasa hutumiwa kwa kiasi kikubwa na wasomi. Ktk mijadala mbalimbali iliyoibuliwa kuhusu wagombea wawili wanaochuana vikali imeonyesha dhahiri upande wa ccm umeelemewa kwa hoja za...
Wapiga kura wengi bado hawajitambui, ndio maana wanampigia magoti yesu wa lugola wakisema "baba tunaomba utuletee maendeleo" nae anawapiga mkwara, msipomchagua flani siwaletei!!" hao ndio wale misukule ya fisiem ambao kwao maendeleo ni hisani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.