Search results

  1. M

    Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam.

    Asilimia 90 ya Wamarekani ni wahamiaji, wanatofaytiana miaka tu ya kuhamia!
  2. M

    Mataifa yaipuuza Israel kuhusu UNRWA

    Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70 iliyopita kuhudumia Wakimbizi iliyopita kufuatia Majeshi ya Israel kuvamia vijiji vya Wapalestina ambao...
  3. M

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    America's Young souls are rejecting Genocide in Gaza. May GOD bless these kids
  4. M

    Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

    They have a free will to do whatever they want. Religion is not supposed to be imposed on anyone!
  5. M

    Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

    Uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2019 ulijaa uhuni ambao haujawahi kutokea tangia uhuru wa mwaka 1961.
  6. M

    Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

    MK254 ambaye ana chuki kali dhidi ya Waislamu na waarabu hawezi kucoment kwenye huu uzi. Yuko busy na kuandika mada dhidi ya waarabu kumbe waarabu wenyewe wanaisaidia Israel.
  7. M

    Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

    Sina maneno mengi, video inajitosheleza https://www.youtube.com/watch?v=P3iuOjJ0yyY&ab_channel=DWNews
  8. M

    Kuitana 'babe' kwenye mahusiano ni utoto na mwanzo wa kukosa kuheshimika, hasa kwa mwanamme

    Ukimkataza mke wako kukuita baby, saikolojia yake itamtuma kutafuta mtu atakayekuwa anamuita baby!
  9. M

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Si apeleke hizo F-35 Iran?
  10. M

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Naam, sasa taarifa zinaanza kuenea, namna Wairan walivyotumia akili ya ziada kuwezesha operesheni yao ya kupiga kambi tatu za kijeshi huko Israel. Fuatilia hapa: https://www.youtube.com/watch?v=aB_zjqeTlsw&t=11s&ab_channel=TheElectronicIntifada
  11. M

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Tulidhani Israel angerusha ngumi, kaishia kupiga masingi
  12. M

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Wazayuni na Wamarekani wako busy kuzima taarifa za Marekani kutumia veto kuzuia uanzishwaji wa Taifa la Palestina. Unafiki wao wa kujifanya wanasapoti two state solution wakati huohuo wanaVETO uanzishwaji wa Taifa la Palestina umewekwa wazi. Kwa hiyo wako busy kujaribu kuspin headlines lama...
  13. M

    Israel yatoa tahadhari kwamba Iran ikiishambulia, itakuwa mwanzo wa vita

    Nahisi mwaka huu hawatofanya Sherehe za Mashoga pale Tel Aviv, maana Iran kawafanya kitu mbaya sana
  14. M

    Israel yatoa tahadhari kwamba Iran ikiishambulia, itakuwa mwanzo wa vita

    nasubiri Israel irushe hata chembe ya mchanga!
  15. M

    Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    nilijua tu, ni rahisi wao kuonea wapalestina badala ya mbabe Iran!
  16. M

    Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Iran imepiga base mbili huko Israel, nasubiri Israel irushe hata jiwe huko Tehran.
  17. M

    Iran ndani hakukaliki, hofu kote, serikali inatumia nguvu nyingi kuaminisha hali shwari

    Si warushe hata jiwe kwenda Tehran? Mbona maneno mengi
Back
Top Bottom