Search results

  1. king joniva

    Kero: Tabia ya ajabu Mbeya kuchangisha pesa za misiba imezidi mno

    Mara ya kwanza kufika mbeya jambo lililonishangaza ni PA za msiba barabarani utadhani harusi yaani!
  2. king joniva

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Hatuna chuki na Manara ila tuna mapenzi na timu yetu, sababu yoyote ile inayoleta matokeo mabaya tutaisema!!! Moja wapo ni Kauli zisizo za kimpira za msemaji wetu zinazo tumiwa na wapinzani kuwapa morali wachezaji wao kuikamia SIMBA SC!!
  3. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    Fact, usemaji huu hauendani na level ya SIMBA SC ya sasa
  4. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    Wenzetu usemaji umebaki kwa manager wa timu ama viongozi wa juu tu nao usemaji wao unamipaka.
  5. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    Nimeona Leo pia katoa tamko la kuwa tuhum wachezaji et walicheza chini ya kiwango kasahau kuwa yeye ndiye aliye wapa overconfidence, nadhani anataka kuivuruga timu yetu kwa sasa!!
  6. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    Sijakataa kwamba Manara huwa analeta upambanaji kwa wachezaji, ila hilo hutokea hasa kwenye mashindano ya CCL au tunapo cheza na timu kubwa zaidi yetu but inapokuja tuna cheza na timu za kiwango kidogo zaidi yetu au ligi ya ndani manara hutoa kebehi na kejeli zinazo sababisha wapinzani wacheze...
  7. king joniva

    Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    #NIONAVYO MIMI: HAJI MANARA HAFAI KUWA MSEMAJI WA SIMBA SC. kwanza kabisa napenda kukiri wazi kuwa Mimi ni shabiki wa chama la wana SIMBA SC, pili nina muheshimu kaka yangu Haji Manara na nina heshim mchango wake kwa klabu yetu. Wakati wa kuanzishwa kwa klabu hii 1936, timu hii imepitia...
  8. king joniva

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    HAJI MANARA HAFAI KUWA MSEMAJI WA SIMBA SC. kwanza kabisa napenda kukiri wazi kuwa Mimi ni shabiki wa chama la wana SIMBA SC, pili nina muheshim kaka yangu Haji Manara na nina heshim mchango wake kwa klabu yetu. Wakati wa kuanzishwa kwa klabu hii 1936, timu imepitia vipindi kadha wa kadha...
  9. king joniva

    The Other Half (Simulizi)

    Mkuu
  10. king joniva

    Domo Kaya: Hukumu ni Kifo

    Ngoja nitulie kwanza!!!
  11. king joniva

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Hatufuti na hakuna unachoweza kutufanya
  12. king joniva

    Iringa Municipality: The Photo Gallery

    Tupicha kidogo[emoji3][emoji16]
  13. king joniva

    Mashabiki wa Plateau tumejitokeza kwa wingi airport kuipokea timu yetu

    Dah huyu binti anaonekana anajua kufinyia kwa ndani
  14. king joniva

    Simba Sc: Hatutaruhusu shabiki wa Yanga Sc kuingia uwanjani kushabikia wageni

    Kama wao walivyo chagua kuzia sisi mashabiki wa Simba sc kuangalia mechi live, basi na sisi Simba sc mabingwa wa ligi kuu tumechagua kuwazuia mashabiki wao hao plateau united!!!. Natunajua utopolo ndio wanaoteseka ila hatuna cha kuwasaidia, ndengelekiiiiiiii
  15. king joniva

    Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

    Tukikaza tusife kwa korona tutakufa njaa!!! Kuchagua ni kupanga
  16. king joniva

    Mtemi Mirambo VS Mtemi Mkwawa

    "This peoples know nothing than fighting " maneno ya askari manusura wa kijerumani wakati wa vita ya lugalo katika taarifa yao kwenda Berlin kuhusu wahehe.
  17. king joniva

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Moderator tubadilishieni hiyo logo ya Simba, au nyie hamtambui mabadiriko yetu sisi kama timu ya wenye nchi!!!!!?.
  18. king joniva

    Kwamba kuapishwa kwa wabunge 19 viti maalumu CHADEMA, chama hakijashiriki kufanya uteuzi sawasawa na sheria zinavyotaka. Nini maana yake hasa?

    CHADEMA siku zote hutafuta chaka la kufichia makosa yao wenyewe hasa kuilaumu serikali
  19. king joniva

    Upangaji wa matokeo

    Hujajibu maswari niliyo uliza!! 1. Kivip kufanya pre match party iwe sababu ya upangaji huo!? Una hakika gani match nyingine simba hakufanya party? 2. Je simba kushinda dhidi ya timu nyingine ni upangaji wamatokeo?, vip kufungwa haiwez kuwa upangaji wa matokeo pia? 3. Simba hatakiwi kushinda...
Back
Top Bottom