Tunapozungumzia suala la Ngorongoro kwa hisia tukumbuke wapo wamasai walishaondoka kitambo na wanaishi maisha mazuri tu mjini. Hata mashuka walishaacha kuvaa. Wapo wengi ni walinzi na wasusi mjini. Wengine wapo kwenye fukwe za bahari wakitafuta wazungu.
Tujikumbushe kwamba hapo zamani mmasai...
Tafakuri huru
• Freeman Mbowe Mwenyekiti CHADEMA Taifa yupo kwenye nafasi hiyo kwa miaka 18
• James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Taifa yupo kwenye nafasi hiyo kwa miaka 22
• Prof Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa CUF Taifa yupo kwenye nafasi hiyo kwa miaka 23+
• Agustine Mrema Mwenyekiiti...
NA MWANDISHI WETU
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameziagiza mamlaka husika kuhakikisha mradi wa maji wa Nandete uliopo wilayani Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara unakamilika na kutoa huduma kwa wananchi.
Shaka ameeleza hayo baada ya kupata taarifa...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka wakuu wa mikoa kote nchini wenye wakulima wa korosho kuacha urasimu na kuharakisha usambazaji na ugawaji wa pembejeo kwa wakulima hao.
Komredi Shaka ametoa maagizo hayo baada ya kusikia malalamiko ya wananchi...
Kutoka Lindi Mjini Na Mchinga
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, leo amewasha mtambo wa maji na tone la kwanza la maji likatoka kwa wakazi wa eneo Mitwero mkoani Lindi .
Akizungumza baada ya kuwasha mtambo huo, Shaka alisema kukamilika kwa mradi...
Kutoka Lindi Mjini Na Mchinga
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, leo amewasha mtambo wa maji na tone la kwanza la maji likatoka kwa wakazi wa eneo Mitwero mkoani Lindi .
Akizungumza baada ya kuwasha mtambo huo, Shaka alisema kukamilika kwa mradi...
Shaka atinga kijiwe cha kahawa, vijana wamweleza Rais Samia anavyoupiga mwingi
Na Mwandishi Wetu, Tabora
Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uuenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea maskani iitwayo Lumbesa, inayoundwa na waendesha maguta na mikokoteni katika Barabara ya Ujiji Manispaa ya Tabora...
TAARIFA KWA UMMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano tarehe 18 Mei, 2022 ametembelea ofisi za Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora ambapo alipata nafasi ya kusaini vitabu vya wageni, kukutana na kufanya...
Na Mwandishi Wetu,
Kutoka Babati.
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uamuzi wa serikali kuwapanga vyema wafanyabiashara wadogo hauna lengo la kuwatia umasikini bali kuwajengea mazingira mazuri ya kujiongezea kipato.
Amesema kutokana...
Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu nchini (THRDC) umemtunuku Tuzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kutokana na mchango wake wa kulinda na kusimamia haki za binadamu na utawala wa Sheria katika kipindi chake cha mwaka mmoja tangu aingie madarakani...
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka kundi la vijana wadogo maarufu kama Panya Road wakijihusisha na uhalifu wa kuvunja nyumba za watu na kuiba vitu vya ndani kama radio, tv, pesa na vinginevyo. Aidha limekuwa likiwadhuru na kuwajeruhi watu kwa vitu vyenye ncha kali. Wakike kwa wakiume...
Tangu serikali ya CCM awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan iingie madarakani wengi walikuwa na hofu kuhusu miradi ya kimkakati. Sasa nakufahamisha Mama kaupiga mwingi sana.
Serikali anayoiongoza Rais Samia imeendelea kumwaga fedha kwa ajili ya miradi mikubwa. Ukichukua...
Amedhamiria kujenga nchi na taifa lenye umoja, mshikamano, ushirikiano, kuaminiana, uhuru wa maoni na furaha kwa kila mmoja.
Kufanikisha haya amesema anaongozwa na kujenga maridhiano na mazingira bora ya kisiasa nchini, kujenga uvumilivu na ustahimilivu, kufanya mageuzi ya kweli na kuendelea...
Na Mwandishi Wetu,
Arusha.
Makamu mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara komredi Abdulrahman Omar Kinana ameishauri na ameiomba serikali kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya wale wote waliotajwa kwenye ripoti ya mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa hesabu za serikali (CAG).
Akizungumza...
Na Mwandishi Wetu,
Arusha.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amesema uamuzi wa Mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan kufanya maridhiano ili kujenga umoja wa kitaifa ni mfano wa kuigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.