Hatua gani stahiki za kuwakabili Panya Road?

Dawa yao ni kuua tu.. ukishaua 5 watasambaratika wote kwa woga,

ila ukikamata uwapeke polisi kisha wanatoka kwa dhamana hapo utapambana nao kwa miaka na miaka

Violence inadhibitiwa kwa violence sio sheria
Siyo rahisi kilivyo sheria bado zipo na inafanya kazi. Kumbuka case ya christopher bageni
 
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka kundi la vijana wadogo maarufu kama Panya Road wakijihusisha na uhalifu wa kuvunja nyumba za watu na kuiba vitu vya ndani kama radio, tv, pesa na vinginevyo. Aidha limekuwa likiwadhuru na kuwajeruhi watu kwa vitu vyenye ncha kali. Wakike kwa wakiume wamekumbana na kadhia hii.

Kundi limezua hofu na mashaka makubwa kwa raia wema hususani wanaorejea majumbani nyakati za usiku wakitoka makazini mwao pamoja na wale wanaokwenda makazini nyakati za mchana huku nyumba zikiwa hazina uzio wala walinzi.

Dar es Salaam kama mji wa kibiashara ni lazima suala la uhakika wa ulinzi na usalama likawa kipaumbele cha kwanza. Hili linawezekana kwa sisi raia au jamii kutoa ushirikiano wa kutosha kwa vyombo vya dola hususani jeshi la polisi kupitia kwa viongozi wa mitaa katika maeneo yetu, wajumbe/mabalozi na vikundi vya ulinzi shirikishi.

Ukitazama wahusika katika kundi hili la Panya Road ni vijana/watoto jambo linalotoa ujumbe mpana kuwa wazazi/walezi/viongozi wa dini/jamii hatukutimiza wajibu wetu wa malezi kwao kikamilifu. Vile vile ni kiashiria kuwa serikali inapaswa kujenga mazingira rafiki na wezeshi kwa makundi mbalimbali katika jamii yaweze kujitafutia kipato kwa njia halali kwa maana ya kurahisisha mazingira ya ufanyaji shughuli za kiuchumi.

Swali ni kuwa kundi hili lipo na linaendelea kufanya uhalifu kwenye jamii toka eneo moja kwenda jingine. Ikiashiria kusambaa kwake, Je jamii na jeshi la polisi tunashindwa kulidhibiti na kurejesha hali kuwa shwari?? Unashauri nini mwana jukwaa kama njia ya kusaidia mawazo ya kukabiliana na kundi hili baya kwa mustakabali wa usalama hapa Dar es Salaam!

Karibu sana.

#DarUsalamaKwanza #PanyaRoadSasaBasi
Uanze msako wa nyumba kwa nyumba. Watakaohisiwa kuwa na viashiria vya panya road, wakapewe mafunzo ya ukakamavu huko JKT.
 
..
SHOOT TO KILL ndiyo jawabu,na wala wasiuawe in the long range,kamata kwanza,peleka nyumbani kwao,funga kamba barazani kwao,ita wananchi washuhudie jinsi unavyouwa kwa risasi.
Kule NBO yule Reserve Police akiitwa Shaw aliwa kill hao panyaroad saana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Crime.
 
Dawa yao ni kuua tu.. ukishaua 5 watasambaratika wote kwa woga,

ila ukikamata uwapeke polisi kisha wanatoka kwa dhamana hapo utapambana nao kwa miaka na miaka

Violence inadhibitiwa kwa violence sio sheria
Unaua kwa sheria ipi? Kuua ni jambo kubwa sana. Tuache sheria ifuate mkondo wake.
 
Kwanza kabisa ijulikane panya road hawajaanza leo, walikuwepo, wanakuja na kupoa, japo sijui kama ni walewale au huwa wanaibuka wapya.

Nini Kifanyike: Jeshi la Polisi lina kila dhana na uwezo wa kupambana na yeyote, litumie dhana hizo kuwasaka, kuwakamata na kuwapoteza, namaanisha kuwapoteza mazima, hawa madogo hawana ujuzi wowote ule wa kijasusi zaidi ya kuvuta bangi, so sioni kwanini iwe shida kwa vijana wa Sirro kuwapata hawa pabya road kirahisi mpaka wawe gumzo mitaani.
Ushauri wako nini kifanyike?
 
Panya road ni washirika wa polisi... ni kama machangudoa tu.
Haiwezekani polisi washindwe kuweka doria kuwazuia panya road... tena kundi la vibaka wanaotumia silaha za jadi.
Mbona hao hao polisi mchana barabarani wanahakikisha wanasimamisha magari mengi kadri wawezavyo?
Kwanini usiku wanalala na wakipewa taarifa za mtonyo hawatokei kwa wakati? Why?

Kwanini taarifa za maandamano ya CDM wanajizatiti kwa silaha, mavazi na magari ya kutisha??
Why washindwe kwa panya road? Kama si washirika wao na wamewashindwa waseme wananchi waanze kuwashughulikia hao panya road!!
Washirika kivipi?
 
..
SHOOT TO KILL ndiyo jawabu,na wala wasiuawe in the long range,kamata kwanza,peleka nyumbani kwao,funga kamba barazani kwao,ita wananchi washuhudie jinsi unavyouwa kwa risasi.
Kule NBO yule Reserve Police akiitwa Shaw aliwa kill hao panyaroad saana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Inaweza kusaidia? Tunawapataje???
 
Wewe unaposikia hao panya road wanasafirishwa kwa magari kuelekea maeneo ya tukio unahisi nini??
Si kwamba kuna watu wanaratibu harakati zao??

Panya road na mioto kila uchao sijui ni kitu gani kiko nyuma ya haya matukio. Anyway tuna amini serikali ina mkono mrefu haishindwi kitu kirahisi rahisi nina haki watapata jawabu lake. Je wamachinga walio paangwa wamepangika vizuri panya road hawezi kuwa ni wale wamachinga ambao hawakupangika?
 
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka kundi la vijana wadogo maarufu kama Panya Road wakijihusisha na uhalifu wa kuvunja nyumba za watu na kuiba vitu vya ndani kama radio, tv, pesa na vinginevyo. Aidha limekuwa likiwadhuru na kuwajeruhi watu kwa vitu vyenye ncha kali. Wakike kwa wakiume wamekumbana na kadhia hii.

Kundi limezua hofu na mashaka makubwa kwa raia wema hususani wanaorejea majumbani nyakati za usiku wakitoka makazini mwao pamoja na wale wanaokwenda makazini nyakati za mchana huku nyumba zikiwa hazina uzio wala walinzi.

Dar es Salaam kama mji wa kibiashara ni lazima suala la uhakika wa ulinzi na usalama likawa kipaumbele cha kwanza. Hili linawezekana kwa sisi raia au jamii kutoa ushirikiano wa kutosha kwa vyombo vya dola hususani jeshi la polisi kupitia kwa viongozi wa mitaa katika maeneo yetu, wajumbe/mabalozi na vikundi vya ulinzi shirikishi.

Ukitazama wahusika katika kundi hili la Panya Road ni vijana/watoto jambo linalotoa ujumbe mpana kuwa wazazi/walezi/viongozi wa dini/jamii hatukutimiza wajibu wetu wa malezi kwao kikamilifu. Vile vile ni kiashiria kuwa serikali inapaswa kujenga mazingira rafiki na wezeshi kwa makundi mbalimbali katika jamii yaweze kujitafutia kipato kwa njia halali kwa maana ya kurahisisha mazingira ya ufanyaji shughuli za kiuchumi.

Swali ni kuwa kundi hili lipo na linaendelea kufanya uhalifu kwenye jamii toka eneo moja kwenda jingine. Ikiashiria kusambaa kwake, Je jamii na jeshi la polisi tunashindwa kulidhibiti na kurejesha hali kuwa shwari?? Unashauri nini mwana jukwaa kama njia ya kusaidia mawazo ya kukabiliana na kundi hili baya kwa mustakabali wa usalama hapa Dar es Salaam!

Karibu sana.

#DarUsalamaKwanza #PanyaRoadSasaBasi
Piga vidole wote na kuwabaka tu kabla ya kuwaua maana serikali imewashinda.
 
..
SHOOT TO KILL ndiyo jawabu,na wala wasiuawe in the long range,kamata kwanza,peleka nyumbani kwao,funga kamba barazani kwao,ita wananchi washuhudie jinsi unavyouwa kwa risasi.
Kule NBO yule Reserve Police akiitwa Shaw aliwa kill hao panyaroad saana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hii ndiyo njia sahihi, kingine wazazi wanaotegemea kulishwa au kupewa vitu na hivyo vitoto wafungwe jela miaka 30.
 
Imarisha ulinzi shirikishi, kuwasaka wazazi wao na kuwapa onyo, kukamata viongozi wa panya na kuwapa mfano
Hakuna kuwapa onyo wazazi wao ni kifungo tu, hao wazazi wanafurahia vitu wanavyopewa na hao panya road.
 
Back
Top Bottom