Search results

  1. M

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
  2. M

    Naomba kuuliza swali

    HV kwa mtu aliyepangiwa mwalimu nyerere SAA moja anaweza kuwahi usaili udsm saa tatu? Naomba mniambir kwa wale wazoefu was dar
  3. M

    Natafuta kazi/mahala pa kujishikiza

    habari zenu wana jamii forum, mimi ni kijana wa kitanzania. nmehitimu chuo kikuu na ujuzi wangu ni katika fani ya uchumi (development economics) ninaouwezo wa kufanya research na hapa nina uwezo wa kutumia SPSS, lakini pia kipindi flani nilijitolea mahala kama cashier, ninauwezo wa kufundisha...
Back
Top Bottom