manyubhu wa manyubhuke
Member
- May 5, 2018
- 56
- 37
HV kwa mtu aliyepangiwa mwalimu nyerere SAA moja anaweza kuwahi usaili udsm saa tatu? Naomba mniambir kwa wale wazoefu was dar
Asante mkuuKwa uzoefu wangu na kama nmeelewa vyema,nmeelewa kwamba unataka kufanya usaili uliopangiwa mwalimu Nyerere saa moja na pia uwahi usaili wa udsm,Kwa uzoefu wangu sasa,ukiambiwa usaili mwalimu Nyerere saa moja huenda ukawa saa tatu na katika mazingira hayo huwezi kuwahi udsm huo muda tajwa. Ila pia maajabu hutokea unaweza ukawahi.
Ha ha ha kama kubeti viletamaa mbele and the two feast...
Sawa kakaHapo kuwahi ni ngumu.
Labda uwe umemuandaa dereva wa taxi kwamba ukichomoka tu interview ya kwanza akukimbize kwa mwendokasi hadi UDSM na uombee kusiwe na foleni njiani.
Unawahi ndugu kikubwa uandae pesa ya bodaboda...ratiba za interview za utumuishi hawaendi na muda Kama sa 3 apo ongeza Lisaa moja na nusu
Chuoni pale kigamboni,Mwl nyerere chuo, ukumbi wa mikutano, darajani kigamboni au airport? Msomi wetu mbona unatuangusha
Asante, mkuuUnawahi ndugu kikubwa uandae pesa ya bodaboda...ratiba za interview za utumuishi hawaendi na muda Kama sa 3 apo ongeza Lisaa moja na nusu
hio mkuu ni zamani na kilichokua kinachelewesha watu ni ile kila mtu kuanza kutafuta namba ya mtihani anapofika eneo husika lakini sasa hivi kila mtu anaenda na namba yake kabisa kinachobaki ni kukagua vyeti tu zoezi ambalo halichukui mda .Unawahi ndugu kikubwa uandae pesa ya bodaboda...ratiba za interview za utumuishi hawaendi na muda Kama sa 3 apo ongeza Lisaa moja na nusu
SawaWe Nyumbu wa nyumbuke,, Kwanza andaa hela ya Boda boda.. Bila boda boda hutoboi
Nenda Mwl Nyerere saa moja,, hakikisha saa 2:20 uwe umeshatoka na boda,, hapo UDSM utawahi,, haijalishi kuwe na foleni au kusiwe na foleni. labda pikipiki iharibike.
NJIA: Tumia njia ya Daraja la Nyerere,, ukivuka na pantoni UMEFELI
Thank me later
Cyo kweli moja itafanyikaunakosa zote sasa
Kwan kama una vigezo so unaruhusiwa kuomba mkuuunaweza ukaona mmeitwa wengi kumbe kuna watu wameapply kazi mara mbili kama hawa sasa