Dah- kuna jamaa aligongwa hapo akadondoka bila kujua mguu umekatika, ile kunyanyuka tu akadondoka chini.
Binadamu wenzetu wengi wameumizwa na wengine kwa kutofuata sheria za barabarani.
Anachokisema kwa sehemu fulani kina ukweli. Mara nyingi watoto wa KIUME huwa na ukaribu sana na mama zao, na wa KIKE ni karibu sana na baba. Exceptions ni chache sana.
Kiufupi tuwapende watoto wote kwa usawa, na watu wote pia. Mtu anaweza kuhudumiwa pia hata na mtoto asiye wake.
Mkuu habari,
Najua hili swala lipo nje ya muktadha kidogo.
Is it possible kudraft word documents kwenye simu na zikakaa vizuri kabisa? And how?
Manake najaribu kuziandika alafu zinakaa shaghalabaghala.
Kwanza pole sana mkuu.
Ndo maana mkwere alisema "akili za kuambiwa changanya na za kwako"
Wengi humu ni teenagers, uelewa wa haya mambo unaweza usiwe mkubwa kiivyo.
Mkuu,
Huyo jamaa ameongea vyema sana.
HIV/AIDS ni hatari mno.
Binafsi nilishuhudia watu wangu wa karibu wakiugulia huu ugonjwa hadi umauti. Mmoja alikuwa mke wa mwalimu wangu, watatu walikuwa majirani zangu.
Hawa niliowashuhudia walikuwa hawana tena nywele kwa kunyonyoka, miili ilikuwa...
Inategemea mkuu,
Yote ni magonjwa mabaya sana.
UKIMWI inaonekana ni ugonjwa wa kawaida nw days sababu ya dawa, ila bila uwepo wa dawa usiombe kuusikia wala kuuona.
Wanapaswa kutumia busara tu, bei ya korosho haijawahi kuwa fixed, na haitokuwa fixed milele.
Wakikaa na hizo korosho halafu misimu ikakutana na ya nchi nyingine wategemee makali maumivu mnoo.
Consumption ya korosho inaweza kuwa imeathiriwa pakubwa na Corona hivyo walaji kuwa wachache. Petrol...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.