Search results

  1. A

    250-300K bajeti simu aina gani?.

    Thank you so much Sir/Madam, nimeangalia google ni nzuri
  2. A

    250-300K bajeti simu aina gani?.

    Ijumaa Kareem Viongozi, Technologia imekuwa kubwa nahofia kununua famba(fake). Kwa wataalam,simu gani ina afadhali kidogo kwa hiyo pesa? Kuna zingine ukitoka tu nje ya mji net work inakata,ikae na chaji ata kama ni siku 1,ubora wa picha pia. Napendelea Sumsang ila sina uelewa zaidi,ipi sio...
  3. A

    Aliyewahi kutapeliwa na rafiki wa karibu uliye mwamini sana njoo ulichukua hatua gani

    Tulikua pamoja,tukasoma wote,badae me nikaendelea na shule ye akasema anaanza maisha,baada ya ya me kumaliza shule,nikapata kakibarua,tukakubaliana nmtumie pesa anunue gunia 500 za alizeti,wakti wa kununua katika kila gunia moja nazidisha elf 2 matumizi yake,nikamnunulia boxer ya...
  4. A

    Kufutwa kwa usaili TANESCO Kanda ya Kaskazini

    Mmesema ni 13/07/2019 saa 1.30 asubuhi,hamjasema venue ya kufanyia tena interview,. Mkikamilisha taarifa itatusaidia,wengine ni wageni Tanga,kuanza kutafta venue asubuhi,itaongeza frustration.
  5. A

    Unaweza kumuachia mke wako simu yako aitumie kwa siku nzima?

    Asubri kwanza niwajulishe kuwa leo simu ipo kwa adui yao.wasinitafte wataharibu.
  6. A

    Kinachomponza Prof. Palamagamba J.A.M.Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mbona hujasema pia alisimamia mkataba wa korosho na kampuni ya Kenya? Huyu mpumbavu unaanzia wapi kumtetea eti? kwa akili yake ilivyo ataweza kuisimamia serikali kweli kama mbunge?? Na linavotoaga mimacho wakati linaongea!
  7. A

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Huyu ni Mwanaume wa Dar bila shaka, Mwanaume wa mkoani hawezi kuwa na akili ya kijinga kiasi hichi.
  8. A

    Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    Miaka miwili namwambiaga tu ata kama umechafukwa usiongee sana,ongea kidogo tu nyamaza,hiyo siku hataisahau nilidisconect waya, kesho yake kilikuwa kikao kikubwa tu. Sifikir kurudia tena, lakini huwa inatokea gafla sana,ndani ya sekunde 60 yameharibika.
  9. A

    Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Hahahaa me na demu wangu,tupo mikoa tofauti yaani anaweza kufanya hiyo mara mbili kwa siku,ata akiwa kazini hasa kama zamu ya night,akipata upenyo tu analoo, cha ajabu ye ni expert wa mambo ya afya,Nilidhani ni peke yake kumbe mpo wengi.
  10. A

    Tanzania Human Rights Defenders Coalition(THRDC) wamtunuku Abdul Nondo zawadi kwa kupigania Haki za Binadamu

    Hii itamfariji sana kwa kuona hayuko peke yake.Ata hiyo kesi uchwara ataishinda tu.
  11. A

    Makao makuu ya Halmashauri ya Singida Kaskazini

    Hiyo ndio poindi ya Msingi mkuu,Ila ukienda pale Ilongero ukatamka hayo maneno,kupigwa na wazee wa kwenye Gahawa sio kitu cha ajabu
  12. A

    Makao makuu ya Halmashauri ya Singida Kaskazini

    Mkuu wa mkoa kwa maana ya serikali wamesema yaende Ilongero,CCM imesema yaende Ilongero,sasa nani mwingine anakataa? We unaasume watu wote wanaujua huo mgogoro.Siku nyingine fafanua vzr. Ilongero imedumaa kimaendeleo ni ya mda mrefu lakini mabadiliko ni kidogo sana, Pia ipo ndani ya 30kms...
  13. A

    David Kafulila akosoa watu kujipa mamlaka ya CAG

    Kafula ameshaharibu brand yake,no body trust on him.
  14. A

    Mdogo wangu anahitaji mpenzi

    Ameshapata au bado?
  15. A

    Shy-Rose Bhanji awapa makavu CCM

    Hahaa huyu mama si nasikia alipigana bungeni,mara kwenye ndege khaaaaa
  16. A

    Asante mme wake alokuwa shemeji yangu narudishiwa gharama zote nilizogharamia demu

    Hivi hiyo ni kesi aina gani sasa,Madai au wizi wa kuaminika? Kwa kifupi ni uoga wao na kutokuelewa ndio inawafanya wanakubali mfungue hizo pamplet zako.Hakuna kesi hapo.Ni chenga tu. Na kwa akili zako hiyo kesi ikienda mbele itakushinda tu,huezi kugharamia hizo makitu zote as if mmefunga ndoa.
  17. A

    Msaada: Ananiumiza kila siku ila nashindwa kumuacha kwa jinsi ninavyompenda

    Hamna haja ya kufanya haraka nenda taratibu huku ukikumbuka changamoto anazokupatia,time will tell yani kuna mda utafika nafisi yako itakubali na siku ukisema una move on hautapata shida. It is just matter of time wala usilazimishe. Me huwa nasema kama watu maarufu wana break asa me nitashindwa...
  18. A

    Naomba maoni yenu katika kufungua kiwanda cha kukamua Mafuta ya Alizeti

    Mara nyingi wenye viwanda huwa wanakamua mafuta ya wateja yaani mtu mwenye alizeti analeta kiwandani kwako unakamua,hapo utamuuliza,kama anaacha mashudu mashineni, atakamua bure,we unakusanya hayo mashudu utauza,kama anataka aondoke na mashudu basi atalipa sh.elfu 5.(kwa kila gunia,kama ni chini...
Back
Top Bottom