Search results

  1. Q

    Tanzania ukijua kuongea Kiingereza unaonekana msomi

    Hapo umenena hata wanaofundisha kwa lugha zao, huwa wanakubali maneno ya kukopa kutoka lugha nyingine, sasa ukitaka kupata kichaa, waanze kufundisha sayansi kwa Kiswahili. Hata hivyo pia Kiingereza kwa watu EA kutoa Burundi na Rwanda ni funguo ya kufungua Elimu ya kujiendeleza zaidi kwa kuwa...
  2. Q

    Mbowe ajiuzulu mwenyewe la sivyo nitamshitaki Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

    Umenena vema katika maamuzi ya hapa tatizo la Mbowe ni msimamo wake, na maono yake, ambayo ni tishio kwa upande wa wasio na maono yote yanayo mtokea na kumzunguka Mh. Mbowe ni kwamba hana bei, je haya ulio weka hapa na shutuma za uongo na zakulishwa wewe ni bei gani? Mbowe angelikuwa duni na...
  3. Q

    Tamko la wazee Chadema: Mbowe ndiye kiongozi pekee barani Afrika asiyelipwa posho wala malipo yoyote na chama chake, anajitolea!

    Mungu alipomthibitisha Ayubu, aliwaonyesha marafiki kwamba walikosa walipodai kwamba kila shida ni matokeo ya dhambi za mtu binafsi. Pia alionyesha kwamba Elifazi alikosa alipodai kwamba watu wanamwabubu Mungu tu, kwa sababu anawapa mambo mema na fanaka. Ayubu alidumu kuwa mwaminifu kwa Mungu...
  4. Q

    Wananchi wa Kongwa wamkataa mbunge wao Job Ndugai, wamwambia Rais Magufuli asimtume kusikiliza kero zao

    Jamaa anapenda madaraka kushinda uhai wa watu kushinda hata familia yake mwenyewe, ni mtu hatari sana akiwa na njaa
  5. Q

    Hatutarudia makosa ya Mwalimu Nyerere kwenye kuunda Katiba mpya

    Labda ukiwa sio mtafiti utakuwa maisha yako yote ni mtu kulaumu. Kulikuwa ni usiku wa giza totoroo kiasi hata mwembe wenyewe hauonekani, kisha uruhusu wenye mawe waangue maembe. Wakati anachukua nchi haukua muda muafaka kwa vyama vingi
  6. Q

    Wasifu wa Peter Lijualikali

    Na Busara ameisomea wapi?
  7. Q

    Kuvunja katiba niliamini ni jambo kubwa mtu unaweza kupata hata laana kumbe lah!

    Unamaana gani? Mamlaka au Mawakala sijakuelewa, ikiwa kama Katiba ndio kitabu kitakatifu katika muongozo wa uendeshaji wa Mamlaka iliyopo pamoja na wale waliotoa dhamana ya kuongozwa, Je Katiba yenyewe inasema je kuhusu anayeivunja adhabu yake ni nini.
  8. Q

    COVID-19: Madagascar quits WHO, calls on other African nations to do same

    Umenena vyema sana, Africa tulishakuwa biashara yao tangu tulivyokubali kufuata mifumo yao, kujitoa ni vema kujua kuwa mashirika yote kama hayo uliyoyainisha ni mkono wa mtu mmoja. Wakati anapigwa Gadafi alikuwa apigwi kama yeye ilikuwa inapigwa Afrika, lakini wengine wakijua ni Gadafi tu, na...
  9. Q

    Baada ya Tanzania kuonesha kuwa inakubaliana na dawa za kienyeji, kila mtu anaibuka na kusema amegundua dawa

    Kwa miongo mingi a Africa ilikuwa na tiba ya mgonjwa mengi sana, lakini hakukua na tartibu kuhifadhi rekodi za utabibu na muonekano, saratani yawezekana lilikuwa gonjwa la kawaida sana, mbaya nipale tulipoingiziwa akili kuwa dawa zetu hazikuwa na vipimo sahihi, tartibu tukaondoka nakujikuta...
  10. Q

    Dkt. Mashinji kuchangiwa faini na chama (CCM)

    Unamaanisha ni kweli kuwa Mbowe tu Tajiri ila wivu fitna na uongo dhidi yake vimeshindwa, je kama waovu wauchukia ukweli na hupenda vitu dhaifu ila bado mwenye haki hakika hukaa juu ya waovu wafitini na wanafki wachumia tumbo huendea makombo na hujisifu na kumsifia aliyeacha makombo.
  11. Q

    Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

    Sheria nyingi za ndoa zinatamka mali mlizo chuma pamoja, au yale maendeleo yote yaliopatikana ndani ya ndoa na sio mali mwanandoa alizozikuta kabla ya ndoa, na hata hivyo kuna sheria ya mirathi, kama mwenye mali aliacha wosia kuhusu mgawanyo wa mali zake. Mara nyingi mada huja kwa hisia na sio...
  12. Q

    Zari the boss lady, Breaking the internet again.

    Zari ni mwanamke mzuri tangu mwanzo nilipomwona akiwana Dai, japo sijawahi kumwona kwa karibu kwa mtizamo wa nje ya picha, inawezekana kabisa huyu mama si mwingi wa maneno kama walivyo wabongo wengine ndicho wengine humchukulia poa tu. Hata hivyo "She is not the cheap one" bado ni mwanamke...
  13. Q

    Sabaya piga kazi,endelea kuwatetea wananchi wanyonge,tupo nyuma yako na rais anaimani sana na wewe.

    Tungelikuwa tunajenga umoja na nyie kuachana kupigania makombo, hii nchi ingelikuwa mbali sana, ila sasa wanaokula makombo wanakelele na kejeli ambazo utadhania wao ndio hula vinono... Kama kuna mtu anayekula makombo asituletee hapa baki na mabwana zako. kwakuwa unajua akiiba makombo hayapungui...
  14. Q

    MSAADA JAMAN NAOMBAKULIZA

    Wi-Fi ni namna ya kifaa kinachoruhusu kompyuta, simu za Android, au vifaa vingine kuunganika kupokea au kutuma kwenye njia ya kimtandao au kuwasiliana na vifaa vingine bila waya ndani ya eneo fulani. kuna tofauti kubwa kati ya Internet na Wi-Fi. Wi-fi inaweza kufanya muunganiko kwa sehemu...
  15. Q

    Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

    Naomba kuuliza, kwa kuwa kwenye faida huwa pia kuna hasara, iwapo migodi hiyo haitaweza kuzalisha kiasi tarajiwa kukawa na uendeshaji kwa hasara je 50/50 inagawanywa vipi? Ni jambo la kushangilia pale tutakapo ona manufaa ya hiki ambacho kinafanyika leo.. tusichanganye hisia za kuanza kutajana...
  16. Q

    Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

    Naomba kuuliza, kwa kuwa kwenye faida huwa pia kuna hasara, iwapo migodi hiyo haitaweza kuzalisha kiasi tarajiwa kukawa na uendeshaji kwa hasara je 50/50 inagawanywa vipi? Ni jambo la kushangilia pale tutakapo ona manufaa ya hiki ambacho kinafanyika leo.. tusichanganye hisia za kuanza kutajana...
  17. Q

    Iran claims to have Father of all bombs greater than US MOAB

    Kama niliivyoelewa mimi uzito wa bomu ni kilo 9,800 wastani wa tani 10 pia inawezekana kurushwa toka ardhini ni kiasi cha kuyapa uwezo wa kufanya hivyo kutoka na shabaha iliyokusudiwa.
  18. Q

    Iran claims to have Father of all bombs greater than US MOAB

    Marekani na Russia wapo karibu sana kuliko Iran na Marekani kutoka pana umbali wa kama km4 kutoka eneo la Russia kwa magharibi kuelekea mashariki mpaka eneo na Marekani ingelikuwa sio bahari kugawa visiwa vidogo vidogo kungekuwa na uwezo wa kuingia eneo la Marekani kwa kutembea kwa miguu. ila...
Back
Top Bottom