Search results

  1. SIMBA mtoto

    BWAMA Kisarawe: Mapigano kati ya wakulima na wafugaji yameanza.

    Polisi wa wilaya ya Kisarawe wamefika eneo la tukio mara tatu, na kila wakienda wanasema wanafanya uchunguzi kwa kuwahoji wafugaji bila kushirikiana na mtendaji au mwenyekiti wa kijiji, hawa wafugaji huwa wanatembea na kiwango kikubwa cha pesa za kuhonga, polisi wakirudi ofisini kwa mtendaji...
  2. SIMBA mtoto

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Wakuu, shayiri inalimwa mikoa gani nchini Tanzania? Soko gani ninaweza kuipata?
  3. SIMBA mtoto

    Mtoto wangu amenyolewa nywele usingizini naomba ushauri

    Pole, wafunga mafundo wapo kazini. Unaishi mitaa ipi mkuu.
  4. SIMBA mtoto

    Taarifa kwa umma

    TAARIFA KWA UMMA KUKOSEKANA HUDUMAYA MAJI KWA SIKU MBILI JIJINI DAR Dawasco inawatangazia wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kuwa mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa saa 48 kwa siku za Ijumaa na Jumamosi ya tarehe 23 na 24...
  5. SIMBA mtoto

    UKAWA kutoshiriki mchakato kura za maoni Aprili 30, 2015

    Kumbuka walivyopata idadi ya watu wa Zanzibar wakati wanaipitisha hiyo katiba yao ya chama tawala. Ndugu hakuna uwezekano wa kuiondoa ccm kwa kutumbukiza kura yako ndani ya sanduku la kura.
  6. SIMBA mtoto

    Maiti za watoto wachanga zauzwa kwa waganga wa kienyeji!

    Pia maji yalioshea maiti huuzwa kwa bei mbaya sana.
  7. SIMBA mtoto

    CHADEMA kufuatilia majina ya waliopata fedha za Escrow kupitia Stanbic bank

    Chanika ameacha kijiji kinachojulikana kama Marekani, majumba aliyojenga chanika ni mengi sana na mazuri, pia anayo baa kubwa sana kwa sasa imefungwa, anayo yadi iliyojaza mafuso yake mengine ni mpya kabisa yote yamefungiwa.
  8. SIMBA mtoto

    Kiwanja kinauzwa Kawe Dar es salaam

    Vipo lugalo jeshini?
  9. SIMBA mtoto

    Muhongo: Sikuomba uwaziri nilibembelezwa kuwa Waziri. !

    Alibembelezwa kuwa waziri. Kisha akabembelezwa ajiuzulu uwaziri Hiyo ndiyo historia fupi ya S. Muhongo
  10. SIMBA mtoto

    Muhongo: Sikuomba uwaziri nilibembelezwa kuwa Waziri. !

    Pole mzee. Safari ya South Africa itakuwa lini babu?
  11. SIMBA mtoto

    Jukwaa kwa ajili ya tamasha

    Yapo Mwananyamala Komakoma nyuma ya Biashara Complex
  12. SIMBA mtoto

    Viwanja vya bei nafuu vinauzwa Mbezi Mpiji Magoe

    Maji ya dawasa au ya kisima
  13. SIMBA mtoto

    Kama unahitaji chumba na sebule Mwenge DSM vipo

    Kina Luku yake pekee
  14. SIMBA mtoto

    Wafugaji wanavyolisha mifugo katika mashamba ya wakulima Kilosa

    Bado umejificha !! Mbona wanachokula ng'ombe ni majani? Rudia tena kupiga picha bila kujificha tuone hayo mazao.
  15. SIMBA mtoto

    Makumbusho bus terminal imekua kero kwa wauza maduka maeneo hayo

    Ni kituo cha muda, wakati wowote kitahamishwa.
  16. SIMBA mtoto

    TIC, TAN-TRADE, EPZA, TTB & BRELA: Mrundikano wa Taasisi zinazofanya kazi zinazofanana

    Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) VIS Shirika la majisafi na majitaka Dar es salaam DAWASCO (DSM imeundiwa mamlaka na shirika, lakini maji hayatoki)
Back
Top Bottom