Search results

  1. said rashid

    Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Miezi minne mbona mapema sana? 🥳🥳🥳🥳 Anyway, peleka shauri lako kwa mshenga na wazee utapata msaada mzuri. By the way, hakikisha na yeye hajutii kuolewa na wewe
  2. said rashid

    Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

    By the way vijana wa siku hizi jifunzeni kutongoza jamani. Yaani mnapwaya mno! Wenzenu tulitongoza hata bila ya simu na maisha yalikuwa fresh tu 😂
  3. said rashid

    Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

    Miaka mitatu unaendelea kunyonyesha nini? Au ndo unapenda kukojoa???
  4. said rashid

    Ulaji wa ice cream mtaani kwetu unakosewa sana

    Na hii post haihusiani na ice cream 🤣🤣🤣
  5. said rashid

    Nimetangaza Rasmi vita na Wanaume wote Tanzania

    Umejoin jana, Leo una posts 77. Shida hata sio hao wanaume. Wewe ndiye Scammer 🛑🛑🛑
  6. said rashid

    Jinsi ya kununua iphone 15 pro max

    Sijajua tatizo ni muda au competence ni ndogo, ila darasa limekuwa ni rough sana.
  7. said rashid

    Je, ni siri gani yoyote ya Mafanikio unayoijua tofauti na kuroga?

    Hangaika na soko kubwa au wateja wakubwa. Kazi za Elfu hamsini, laki mbili na kadhalika zitakupa kula tu ila hamna kutoboa. Mafanikio makubwa yapo kwenye wateja wakubwa na miradi mikubwa ya serikali, mashirika na makampuni makubwa size za Millioni 10, Millioni 100, Billioni na kadhalika.
  8. said rashid

    Nishaurini usiku huu kuhusu huyu binti kabla hakujakucha

    Mali safi kabisa hiyo kaka weka ndani chap chap
  9. said rashid

    IPO haja Kwa taasisi za watanzania kununua hisa kwenye haya makampuni

    Sasa hizo mbona sio biashara? Na haziwezi kujisajili DSE.
  10. said rashid

    Kujiajiri bila mtaji inawezekana

    New motivation speaker in Town?
  11. said rashid

    WanaJF nisaidieni nimechepuka na mke wa mtu

    😂😂😂 Watu wako serious na stress za maisha yao hata hawajui kama umepost jukwaa la Chit Chat and Jokes
  12. said rashid

    Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

    Mwambie mwenyeji wako. Funguka atakuelewa. Utapigiwa na kupakuliwa kiasi cha kutosha kwako.....
  13. said rashid

    Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    UMUGHAKA ni Five Stars Fighter 🙌🙌🙌
  14. said rashid

    Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Alama ya kwanza huwa ni AHADI NONO BILA KUVUJA JASHO. Hakuna RISK, hakuna kufanya KAZI Kubwa. Pia hakuna mchujo wala Vigezo na Masharti. Yaani ukiwa na pesa ya kiingilio tu basi UNAINGIZWA.......
  15. said rashid

    Siyo siri siku hizi wanawake wameota mapembe

    Kwamba Tit For Tat? Au sio..... 🤣🤣🤣🤣
  16. said rashid

    VACANCY: MARKETING MANAGER

    PALM TREE RESORT is looking forward to hire a competent Marketing Manager who will be responsible for all of its marketing activities. All interested and qualified personnel are welcome to apply. Job Title Marketing Manager Department Sales & Marketing Department Reporting To General Manager...
  17. said rashid

    Tuongee kiume: Kwanini mipango inayowekwa mwaka mpya haitimii?

    Mipango Mingi ni vichekesho 😂 Eti mwaka ujao nina mpango wa kununua Gari 😠 Ukitaka kuwini panga mambo utakayofanya, utakayoongeza au utakayopunguza ili ufanikishe lengo lako fulani. So kama ni kuacha pombe basi usipange mwakani naacha pombe, bali panga kuacha mazingira yanayokufanya unywe...
  18. said rashid

    Mshahara wa mwezi wa 10 umetoka?

    Maisha ya hatari sana haya.... Kimsingi unatakiwa mshahara ukukute na pesa za kuishi vizuri mwezi ujao wote. Yaani akaunti yako iwe na akiba kutosha mshahara wa mwezi wako mmoja, so mishahara iwe inagongana. Bongo kugonganisha wanawake/wanaume mnaweza, ila kugonganisha mishahara hamuwezi 🤣🤣🤣🤣
  19. said rashid

    (Kipori/ Kamsitu)Njia ya vumbi kuelekea South Beach Hotel, Kigamboni, ina vibaka wanaopora simu

    Tangu miaka ya 2013 kile kipande ndo kipo hivyo. Hata kule beach public karibu na Sunrise Beach Resort ukiwa unatoka peke yako giza likishaingia kuja Road unaweza kukabwa
  20. said rashid

    Mwaka 2021 unaupokea ukiwa wapi?

    Home sweet home..... Na MTV
Back
Top Bottom