Search results

  1. Commander Dalton

    Kioo cha LG G3

    Hii simu ilikaliwa kioo kikavuja wino kwa hiyo kinahitajika kubadilisha. Mwenye nacho tuwasiliane ama fundi wa kurekebisha. Nipo Mwanza. 0754995752
  2. Commander Dalton

    Nguvu ya muziki katika maisha yangu

    Habari za jioni wakuu, Katika maisha yangu mimi ni mpenzi wa kusikiliza muziki kwa kusikiliza tu japo sijui kutumia chombo hata kimoja achilia mbali kuimba. Ila hiki ninachokihisi kwangu nahisi sio kitu cha kawaida, kuna aina fulani ya muziki nikisikiliza unanibadilisha attitude yangu hata...
  3. Commander Dalton

    Wanawake mkome kutusingizia mimba

    Salaam wakuu Mida hii ya lunch wacha niwape kastory kidogo. Tarehe 05.02.2018 kwa mara ya kwanza nikala papuchi ya mrembo safi kabisa niliyekuwa nafukuzia kwa kipindi fulani ila katika purukushani nikahisi kuwa binti ni mjamzito ndipo nilipoamua kufanya uchunguzi kwa kifupi mimi...
  4. Commander Dalton

    Ninauza Hp noteboom ila ina tatizo kidogo

    Imeshanunuliwa. Mods ninaomba mniondolee huu uzi.
  5. Commander Dalton

    Mwanamke hataki maelewano

    Habari zenu wakuu. Ni miezi sasa nipo na huyu binti kwenye mahusiano, ikatokea kwenye kurupushani za kwichi kwichi akapata mimba, akaniuliza utailea? Nikasema yes nitailea usitoe, basi nikaanza kuilea kidogo kidogo mpaka sasa ina miezi mitatu. Kilichonifanya niandike post hii ni kutaka ushauri...
Back
Top Bottom