Search results

  1. Adrian Stepp

    Ufafanuzi wa Tuhuma Dhidi ya DC wa Urambo, Said Mtanda

    Kuna taarifa toka Ofisi ya (aliyekuwa) Mkuu wa Wilaya ya Nkasi niliileta humu kama kanushi 2017 Kwa niaba ya Ofisi wakati huo na ikafafanua tuhuma ambazo zimeibuliwa jana kwamba (Aliyekua Dc) Mtanda alitumia vijana wa JKT kutandika wananchi..Mods mliiweka humu na mkai merge na taarifa iliyoletwa...
  2. Adrian Stepp

    Wafahamu watu 20 Matajiri zaidi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam

    Mfanyabiashara wa Kitanzania, Aunali Rajabali. The richest Tanzanian investors on the Dar es Salaam bourse have amassed a total wealth of $81.77 million, according to data gathered at the end of trading on Aug. 20. This is far lower than the wealth local individual investors in other African...
  3. Adrian Stepp

    Wanaharakati walalamika kunyanyaswa Tanzania

    Imebainika kwamba wanaharakati wa asasi za kiraia kutoka sehemu mbali mbali za bara la Afrika, wamelalamikia kitendo cha kuhojiwa na kuonywa na watu wanaodhaniwa kuwa ni kutoka vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania, wakati wa mkutano wa 39 wa Marais na Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo...
  4. Adrian Stepp

    Dkt. Abbas: Serikali inaendelea na majadiliano ujenzi bandari ya Bagamoyo

    Serikali Imesema inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania. “Serikali haijasema kuwa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni hatari, tunaendelea na majadiliano ya utekelezaji wa mradi huo...
  5. Adrian Stepp

    Tanzania yaporomoka nafasi 25 viwango vya Uhuru wa Habari Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Uhuru wa Habari duniani,Tanzania imeporomoka kwa nafasi 25 katika viwango vya Uhuru wa Habari Duniani hadi nafasi ya 118 kwa mwaka 2019 kutoka 93 mwaka 2018 kati ya nchi 180. Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (Reportes Without Borders)...
  6. Adrian Stepp

    Ziara ya Rais Mtwara; Natabiri yafuatayo!

    Kichwa cha habari chajieleza! Kwanza, tofauti Na wengi mnavyodhani Na kuichukulia "kawaida" ziara hii.. Hii ni moja ya ziara muhimu na ya kimkakati kuliko wakati wowote ule! Kama ilivyokua Kwa Serikali ya awamu iliyopita ambapo suala La gesi nilikua La kimkakati Kwa maana ilikadiriwa Mkoa wa...
  7. Adrian Stepp

    Kwanini Serikali ilimpuuza Zitto Kabwe wakati hoja zake zina mashiko?

    Huenda serikali ingelichukulia kwa makini hoja za ZZK pengine tusingefika tulipofika juu ya sakata la Korosho. Tatizo ni ZZK, Chama Anachotoka ama Hoja zake? Maslahi ya taifa yanapewa kipaumbele kwa kiasi gani? Uzalendo tunaoimba ni kweli unatoka rohoni? Bandiko hili niliandika February 14...
  8. Adrian Stepp

    Baada ya mkutano wa CPC, Rais wa China Ziarani barani Afrika

    Rais wa China Xi Jinping anaanza ziara yake ndefu ndani ya bara la Afrika, ziara inayotajwa ni kuzidi kuimarisha mahusiano yaliyopo kati ya Nchi hiyo na Bara hili Safari hii rais huyo atatembelea nchi za Senegal, Rwanda, South Africa and Mauritius na inaarifiwa kwamba ziara hii inakamilisha...
  9. Adrian Stepp

    Polisi kuanza 'doria' mtandaoni!

    Jeshi la polisi Tanzania limeandaa kitengo maalumu kitakacho fanya 'doria' mtandaoni kufuatilia wasanii pamoja na wale wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya kutuma picha za utupu na video zisizo na maadili. Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo, Msemaji wa jeshi la polisi Tanzania...
  10. Adrian Stepp

    Delta ni kampuni ya nani?!

    Katika pita pita mtandaoni nikaamua kupitia mtadao wa bank ya maendeleo ya Afrika, AFDB ili tu kujiridhisha ni miradi gani wanayo i-finance hapa nchini. Nikavutwa zaidi na mradi wa mabasi ya haraka ambayo kwa wakazi wengi wa DSM ni wanufaika.. Jumla ya Gharama za mradi huo USD 103,384,648 kwa...
  11. Adrian Stepp

    Serikali isimpuuze Zitto, ana hoja ya msingi!

    Heri ya Kwaresma na siku ya wapendanao wanajamvi! February 10,2018 Mh.Zitto kupitia ukurasa wake wa kijamii wa facebook alikuja kutoa mrejesho wa kilichokua kinajadiliwa bungeni (Feb,9) ambapo bunge lilikua likijadili taarifa ya mwaka ya kamati ya Bunge ya Ulinzi , Usalama na mambo ya nje...
  12. Adrian Stepp

    Prof. Joseph Mbele arusha jiwe gizani

    Nimeona niseme neno kuhusu tamko la Lawrence Masha kujitoa CHADEMA, mimi raia ambaye sina chama. Kwanza, ni muhimu tukumbushane kuwa kwa mujibu wa tangazo la kimataifa la haki za binadamu, ni haki ya kila binadamu kujiunga na wenzake katika kufuatilia au kufanikisha malengo halali, kama vile...
  13. Adrian Stepp

    Makinikia: Nilisema..Na ninasema!

    Wakuu, Tarehe 26 August niliandika niliweka bandiko kuhusu sakata la makinikia: [emoji116] Kinacho endelea hivi sasa juu ya "Sintofahamu" kati ya wawekezaji na serikali kila mfuatiliaji anakijua.. Nitoe rai kwa serikali na watunga Sera kuamka na kuanza upya ili huko mbeleni tuepukane na...
  14. Adrian Stepp

    Si-hasa!

    Kwa namna moja ama nyingine "tumedhibitiwa kifikra" (kama jamii ama Watanzania)! Tuna aminishwa kwamba matatizo na changamoto zetu zinatatuliwa na wanasiasa pekee (Rejea vipigo vya walemavu na msaada wa RC DSM kwa hao hao kwa namna nyingine). Endapo Watanzania wenzetu hasa wale wa Kindimba...
  15. Adrian Stepp

    Swali chokonozi: Viongozi 'Jamii' ya Jerry Rawlings wanahitajika?

    Katika historia kuna aina kadhaa za mawakala wa mabadiliko yoyote Yale duniani ( Change agents). Kwa mfano, kuna The Negotiators ndani ya kundi hili wamo Martin Luther King, JK Nyerere, Nelson Mandela na wengine wengi. Lakini katika mlolongo huo huo kuna kundi la wale wenye mioyo ya simba ama...
  16. Adrian Stepp

    Makinikia: Tujiandae kisaikolojia, Kuanza upya si ujinga!

    Wadau, Nimeona nyuzi nyingi sana jukwaani zikizungumzia juu ya mazungumzo kati ya serikali na "wanaume" wa Canada. Awali kama taifa tulifarijika sana na msimamo uliotolewa na Mh.Rais baada ya uwasilishwaji wa zile ripoti mbili. Wanasaikolojia hasa wabobezi wa majanga wana kauli mbiu zao...
  17. Adrian Stepp

    Usahihi wa taarifa toka Nkasi

    Wakuu, Kuna Uzi umepandishwa jukwaani ukiwa na taarifa kwamba Mkuu wa Wilaya ya Nkasi amewaamuru askari kuwaadhibu wananchi. Ufafanuzi wa taarifa hiyo ni kama ifuatavyo: Jana, Wananchi, Mbunge na Mkuu wa Wilaya hiyo Ndg Said Mtanda walikubaliana kufanya kazi ya kujenga zahanati ya kijiji...
  18. Adrian Stepp

    Mugabe hints on retirement, on his own terms!

    Kwa mara ya kwanza Rais wa Zimbabwe Robert G. Mugabe amedokeza mpango mkakati wake wa kung'atuka madarakani japo hakuweka bayana. Rais Mugabe alikua akizungumza na kundi la askari waliopigania uhuru wa taifa hilo miaka ya 1970. Katika mazungumzo yake na maveterani hao yaliofanyika mwishoni mwa...
  19. Adrian Stepp

    Wabunge wa Kenya ziarani kujifunza Mapishi!

    Wakati serikali ya awamu ya Tano ya Tanzania ikipiga marufuku safari za nje ya nchi kwa maafisa wa idara na taasisi mbali mbali za serikali, huku wizara ya fedha ikifuta posho za vikao vya kamati za bunge na vikao vya vya bodi za taasisi za umma nchini. Wabunge nchini Kenya wameibua mijadala...
  20. Adrian Stepp

    Taarifa ya CC inanichanganya?

    Habari wanabodi, Bila shaka kila mfuatiliaji wa mambo yanaendelea hapa nchini amekwisha ipitia taarifa ya kamati kuu ya halmashauri ya taifa ya chama cha mapinduzi. Pamoja na mambo mengine naomba nigusie swala moja tu kati ya matatu yaliojadiliwa (kwa mujibu wa taarifa). Taarifa sehemu ya...
Back
Top Bottom