Habari wandugu, ninaomba msaada kuhusiana na visa ya Spain, mchakato waanzia wapi? na tips gani ni muhimu? nishawahi kwenda USA, UK, RUSSIA AND UKRAINE.
Najaribu tafuta information online inakuwa ngumu kupata, nipo Tanzania Dar Es Salaam, mwenye chochote kuhusu hili jamani hemu tupia.....
Haya ndo matatizo:
- Wanajijua ni wazuri, full kiburi.
- Wakiwa wa Mama wa Nyumbani ni wavivu ku keep up na urembo.
- Wakiwa wafanya kazi lazim wamegwe, hakuna namna.
- Ukiona kafanya kazi miaka 2 bila kunung'unika ujue bocy anammega, hawaze vumiliwa.
- Uzuri sio fahari yako, ni ya wote mpaka...
- Huna lolote.
- Huna uzalendo wowote.
- You are simply emotional.
- Mikakati, maneno yako, matamko na Barua hazijawahi kuwaletea wa Tanzania Maendeleo.
- Kaa Meza ule... ustaarabu wa Meza, usiongee wakati unakula.
Huu ni wito kwa Mabinti wote wa first year Katika vyuo vikuu na vocational trainings ambao wameeingia kwenye uhuru wa Kujisimamia baada ya Kumaliza Secondary School. Mimi nimeoa na nina mke na watoto kwa hiyo ninaamini nina uwezo wa kuwashauri, mnisikilize kwa makini, mnaweza mkapata kitu cha...
Mi ninapenda tu kujua kwamba, Serikali inaposema kwamba wazazi wasitoe michango yeyote Shuleni ina maana wanafuta lunch and Uji kabisa kwa wanafunzi wa kutwa, au serikali itakuwa inatoa na HUDUMA IPO PALE PALE?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.