Bashe Punguza Kuongea sana...

Kaongea ukweli, cdm wao kutwa kushinda kutoa matamko ktk social media ambayo hayana tija kwa wananchi,
 
Nilitegemea wewe
Mwenye lolote
Mwenye uzalendo
Uje na mawazo mbadala, cha kushangaza una mu-attack mtu.
Hakika kua na ulimi mwepesi haimaanishi una akili makini.
 
Tatizo naye ni kigeu geu hana analosimamia. Mara aseme wapinzani wapigwe, mara ajifanye mtetezi, mara ajifanye mtanzania mzalendo, mara msomali, mara ajifanye kumuuunga mkono Pombe, mara amuunge mkono EL nk nk
 
Wabunge wa CHADEMA wana hofu kubwa kuundwa kwa Kamati teule ya Bunge kuchunguza matukio mbalimbali yanayotishia pamoja mengine "usalama wa taifa letu", kwa kuwa wanajua yana mkono wa kisiasa, na wao ni wahusika wakuu.

Bashe ameamua kulivalia njuga ili kuthibitisha kuwa si Serikali au chama tawala, CCM, kinahusika na matukio hayo.

Tusubiri kusikia upande wa UKAWA utasemaje hiyo hoja ikijadiliwa Bungeni.
 
Hakuna kitu umeongea hapa
 
Simwamini mwana-CCM yeyote, hawa ni wanafiki sana. Bashe anaweza akawa na nia njema kweli, lakini hii kauli yake ya hivi karibuni imempunguzia sana kuaminika. Haiwezekani leo uchochee watu wapigwe kwakuwa Polisi wako upande wenu, halafu leo mtu huyo huyo upeleke hoja Bungeni ya uchunguzi wa jambo hilo hilo ulilolichochea. Bunge lenyewe ni hili la Mama Tulia, lililowekwa kibindoni.
 
Ni kweli kabisa waafrika wakiwa mezani wanakula kuongea mwiko sasa huyu jamaa hajafunzwa kwao inaonesha
 
Eti wapigwe tu..ona sasa.
pri_64093003.jpg
 
Acha aongee tu atakipata anachokitaka, hana msimamo kabisa, anangata na kupuliza, hafai kabisa
 
Wabunge wa CHADEMA wana hofu kubwa kuundwa kwa Kamati teule ya Bunge kuchunguza matukio mbalimbali yanayotishia pamoja mengine "usalama wa taifa letu", kwa kuwa wanajua yana mkono wa kisiasa, na wao ni wahusika wakuu.

Bashe ameamua kulivalia njuga ili kuthibitisha kuwa si Serikali au chama tawala, CCM, kinahusika na matukio hayo.

Tusubiri kusikia upande wa UKAWA utasemaje hiyo hoja ikijadiliwa Bungeni.
ndo mpango wenu mpya wa kuwabambikiza kesi wapinzani?
 
Back
Top Bottom