Search results

  1. 1

    pata hii:4g lte,two days battery life smartphone kwa bei rafiki

    wanajf Nina Samsung Galaxy core prime lte toleo LA mwaka huu,ni simu nnayotumia binafsi na nimeweka tempered glass screen protector,ina 4g lte na good battery life,binafsi ni heavy user kama kucheza games na kuwa jf muda mwingi lakin huwa nafka nayo usiku bila tabu,uzuri ukiiweka kwenye saving...
  2. 1

    Askari apoteza maisha baada ya kupata ajali katika msafara wa Dk. Magufuli Ubungo mataa

    Wanabodi, Muda huu niko hapa Ubungo kwenye hizi taa, nimeshuhudia ajali mbaya baina ya polisi aliyekuwa na pikipiki akiwa kwenye msafara ambao nimeshindwa kufahamu ni wa nani, na muendesha bodaboda. Askari amekimbizwa hospitali muda huu. Mwenye picha na taarifa zaidi aweke hapa. Nimeshindwa...
  3. 1

    Elimu kuhusu Bruhm na TLC led TV

    Poleni kwa majukumu wadau wa jukwaa la teknologia, naomba tujadili ubora wa bidhaa za led tv kutoka brand hizi mbili,binafsi nlienda kununua sony led tv atleast ya kuanzia inch 40 pale game mlimani city lakini katika hali isiyo ya kawaida nkakuta brand mpya ya bruhm, Kiukweli nlipenda muundo...
  4. 1

    Guys,Your Smartphone Is Hurting Your Sperm

    though rate ni ndogo kwa simu zenye ubora, hii habari lengo lake ni kutoa angalizo kwa watumiaji wa michina kwani nyingi ya hizo ziko chini ya viwango Even while the debate over whether cell phones cause cancer rages on, researchers are starting to explore other potentially harmful effects...
  5. 1

    Never date an economist

    1They’ll only be into you if you have plenty of boom and bust 2.They’ll never say “I Love you” only that they say “You optimise my utility”. 3.They will rate your kids’ advancement into a Human Development Index. 4. If you ever get depressed, they’ll lower their interest rate to zero. 5.They...
  6. 1

    apple ipod touch inauzwa kwa bei ndogo

    kama una smartphone na inasumbua betry,basi unaweza kununua hii ipod ukawa unaitumia kwa ajili ya internet na music...pia hata kama huna smartphone ila ni mpenzi wa music basi hii kitu itakufaa,betry yake ina nguvu ya kuweza kudumu kwa matumizi ya music na internet kwa siku nzima...haina tatizo...
  7. 1

    Nahitaji kununua smartphone,budget yangu 200,000 tshs

    Nataka simu ila isiwe huawei,zte wala nokia asha or e-series,kwa anayeuza atoe offer yake au ani-pm Natanguliza shukurani
  8. 1

    kwai wachum,wahasibu na kada nyingine:nin chanzo cha note za zaman kushindwa kutoka kwenye mzunguko?

    heri ya x-mass wana jamvi,naomba nisitoe theory AU technical terms za aina yoyote ile ili kila mtu aanze mwanzo Tangu niwe na akili timamu nimeshuhudia kuchapwa kwa fedha(hapa namaanisha kubadilishwa note na si kuchapwa kwa kawaida kwani ni kawaida kwa benki kuu kuchapa fedha mpya kulingana na...
  9. 1

    askari wawili wa north korea walivyosumbua troops za wa-south

    In September 1996, a North Korean submarine was stranded near Kang-nung and the crew were forced to abandon the ship and land on South Korea. The sub had two special forces agents who had finished a mission in South Korea and were picked up by the sub before the sub ran into a...
  10. 1

    Nahitaji tablet pc

    Habari wanajamii,nahitaji tablet pc ya kununua,either ipad,android based or playbook,betry iwe inaweza kuvumilia matumizi mazito,natanguliza shukurani
  11. 1

    an help please:field attachement place

    habari zenu wanajamvi,mimi ni mwanafunzi wa bsc economics mwaka wa tatu mzumbe,tunatakiwa kuwa field kuanzia mwezi wa kumi mpaka mwakani mwezi wa pili.nmeomba sehemu tofauti tofauti lakini kwa bahati mbaya sijafanikiwa kupata..kama kuna mwanajamvi ambaye ofisini kwake kuna nafasi naomba ani-pm...
Back
Top Bottom