Search results

  1. Mwiyuzi

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Wanajituma katika kufanya kazi, kwa sababu wanalipwa vizuri. Mwajiri asipokujali, hata ile bidii ya kufanya kazi, inakata. Maana ukikaa unawaza utatokaje kwenye lindi la umasikini
  2. Mwiyuzi

    Mishahara kulipwa na Benki Kuu,je wana uzoefu au ndio issue za kuchelewesha mishahara?

    Hata mi nashangaaga wanavyong'ang'ania mpaka tarehe fulani ilihali urefu ndo ule ule! Hata ukipewa tarehe 10 si utasubiri mpaka 10 nyingine ya mwezi mwingine? Ni yale yale yaani
  3. Mwiyuzi

    Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

    Nimekuelewa mno mkuu!
  4. Mwiyuzi

    Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

    Aliyesema mtoto ni tatizo ni nani?
  5. Mwiyuzi

    Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

    Oh pole sana dear...I can feel it!
  6. Mwiyuzi

    Moja ya Sababu zinazopelekea mkulima kuangukia pua kwa kilimo cha mwanzo

    Hahahahaha dah mkuu kama unaniona vile! Mi ndo mara yangu ya kwanza kulima ufuta, nikaanza na ekari mbili. Nikawa nalima kwa simu. Nimeamua kuachana na kufuatilia maana nimeambiwa mazao yameharibika...siwezi kuongeza gharama kwenda shamba kukagua wakati naona nshapata hasara tayari
  7. Mwiyuzi

    Ninunue HP au dell

    Iko fresh. Ni nzuri kuliko window 7. Usiogope vitu vipya. Ukiizoea utamfuata jamaa kumuomba msamaha [emoji2]
  8. Mwiyuzi

    Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

    Sasa kwa nini ulimtenda? Yaani sijui hata wanaume mnatakaga nini jamani! Loh! Saaaaaad!
  9. Mwiyuzi

    Ninunue HP au dell

    Mi niko na HP mwaka wa nne inaCHAPA kazi. Inachonikeraga ni kuunguruma ikipata moto sana hahaha. Otherwise iko poa
  10. Mwiyuzi

    Ipad Mini 16gb Wifi+SIM inauzwa

    Imashapata mteja?
  11. Mwiyuzi

    Amepoteza cheti cha kidato cha nne, ana copy of the original

    Mwambie afanye hizo process ulizoambiwa. Wala asiogope kwenye usahili huwa wanaelewa tu hizo issue za kupotelewa na vyeti. Mi niliitwa interviews nyingi na ajira nikapata. Kwa hiyo kama hakufoji mahali hakuna shida. Ni jambo linaloeleweka na taasisi yoyote ikitaka kujiridhisha NECTA watawatumia...
  12. Mwiyuzi

    Je, una mwanaume unampenda amekupa mimba amekimbia wala usilie fanya hivi

    Acknowledge source....hii umeicopy kutoka insta...abbythebest
  13. Mwiyuzi

    What do you miss about your ex?

    Tehtehteh nimecheka kwa sauti
  14. Mwiyuzi

    Kwanini wadada wengi wanamchukia Zari?

    Hata mi nashangaaga wanaoshinda insta kumtukana! Wakati the lady is cute, smart, hardworking, very inspiring...ukimchukulia kwa mtazamo chanya haukosi cha kujifunza kwake!
  15. Mwiyuzi

    Tukio lililo mtoa machozi

    Hata mi niliishia kati...maana niliona natumia nguvu nyingi kumuelewa mwandishi [emoji2]
  16. Mwiyuzi

    Tukio lililo mtoa machozi

    Umejibu kiungwana mdogo wangu...I lyk yu
  17. Mwiyuzi

    Tukio lililo mtoa machozi

    Dah iko shida mahali aisee....hebu jifunze namna nzuri ya kuandika! Angalia thread ya wengine na ya kwako, kisha edit na kuweka vituo, mkato na aya.
  18. Mwiyuzi

    Ni simu zipi zenye application za Microsoft office?

    Shukrani Mkuu...nimeweza kuinstall hiyo application
  19. Mwiyuzi

    Ni simu zipi zenye application za Microsoft office?

    Nimeinstall imekubali...thanks
Back
Top Bottom