Search results

  1. Bakeza

    Tetesi: Pikipiki alizotoa waziri mkuu Arusha ulikuwa ni mradi wa mtu kuwakopesha vijana

    KUMBE WAZIRI MKUU AMEINGIZWA KWENYE MRADI WA KITAPELI ARUSHA. Siri imefichuka kuhusiana na pikipiki 200 zilizogawia kwa vijana wa Arusha, mwishoni mwa wiki iliyopita WAZIRI MKUU Majaliwa K Majaliwa alizindua pikipiki 200 waliokopeshwa vijana wa Arusha, Jana nilikutana na mmoja wa...
  2. Bakeza

    CHADEMA baada ya M4C PAMOJA DAIMA Tunaomba itengenezwe Documentary Mtuuzie

    Naomba kwa wahusika wote wa M4C PAMOJA DAIMA Itengenezwe Documentary ya mikutano yote kwenye DVD na isambazwe kwenye Ofisi zote za mikoani ili na sisi tuweze kupata kilichojiri kwa undazi zaidi sio tu picha. Naamin hiyo itaongeza kipato kwa chama maana zitauzwa na pili itaongeza mwamko zaidi kwa...
  3. Bakeza

    Ombi/msaada

    Jaman mi ninaomba link ya pro. LIPUMBA wakati anaokoa jahazi la ccm. Nimetafuta nimeshindwa msaada tafadhari
  4. Bakeza

    Maji Moshi kama Singida

    Jaman mamlaka ya maji mosh vp? Leo ni siku zaidi ya tano maeneo mengi mjin moshi hayana maji. Leo ni siku ya tatu binafsi kabla sijaenda kwenye mihangaiko yangu naishia kupiga passpot size badala ya kuoga. Kwa hakika maji ni tabu sana wahusika jaman tusaidien
  5. Bakeza

    Hawa Tigo wataacha lini huu upumbavu

    Jana mi nimejikakamua kwa huu uchumi mgumu nikaweka kisalio cha sh 2000 ili niwasiliane na jamaa zangu. Kama kawaida yetu tuliowengi baada ya maongez kuangalia salio nikakuta 1500 na ushee. Pasipo kumpigia mtu yeyote tena leo naangalia salio nakuta sh 6.0 na sijajiunga na promotion yoyote mana...
  6. Bakeza

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Niko katika viwanja vya NHC arusha mvua inanyesha mno. Lissu anatoa ufafanuz wa kisheria ili Dr. Slaa atoe msimamo wa chama ambao ni kuhakikisha Lema lazima atolewe. Naona kuna Libya inanukia...
  7. Bakeza

    Ngeleja na Malima achen upuuzi

    Nyie juzi tu hapa mmetutangazia mgao umeisha mpaka january leo moshi mjin hapa siku ya pili hamna umeme na hakuna taharifa zozote za maana. Mnataka sisi tuwaeleweje au tuwatukanie wazazi ndo mjue mnatukwaza kiasi gani? Achen mambo ya ajabu bana!!!!??
  8. Bakeza

    Mkulo na Prof. Ndulu nawaomba mnijibu swali langu

    Hivi nyie mnaendeshaje hii. Ebu nijibuni ni lini tutaanza kutumia currency moja mana sasa hv hatuelewi huu mfumo wa kutumia noti za aina mbilimbili utaisha lini? Wageni wanatuona nchi nzima kama hatuna akili na nyie mpo tu mnakifanya hakieleweki kila siku exchange rate ya shilingi inapaa tu nyie...
  9. Bakeza

    Moshi halmashauri mishahara ni utata

    Jaman naomba kuwasilisha kwa wadau ambao labda wanaoweza kufahamu tatizo ni nini mana mpaka leo mishahara ya wafanyakaz wa halmashaur ya moshi vijijin bado haijatolewa na hakuta taharifa zozote za msingi zinazotolewa maana halmashauri zinazoizunguka wameshapata kama vile manispaa, hai, rombo...
  10. Bakeza

    "Mkutano wa magamba moshi leo"

    Wana jm hivi hapa nilipo niko kwenye mkutano wa hiki chama cha mafisadi, nachoweza kusema ni kwamba wamechukua vikundi vya kina mama wazee wanaimba ngoma za vijembe na ku2kana CHADEMA 2. Kwa mtazamo wangu hiki chama kimefika mwisho wake, kwani walipita kila kata kutangaza huu mkutano wao na...
Back
Top Bottom