Bakeza
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 348
- 191
Jaman naomba kuwasilisha kwa wadau ambao labda wanaoweza kufahamu tatizo ni nini mana mpaka leo mishahara ya wafanyakaz wa halmashaur ya moshi vijijin bado haijatolewa na hakuta taharifa zozote za msingi zinazotolewa maana halmashauri zinazoizunguka wameshapata kama vile manispaa, hai, rombo, etc. Nimejaribu kuongea na baadhi ya wafanyakazi kama madaktari, walimu na wahudumu wamesema kama hali itaendelea hivi kuna uwezekeno wa wao kuanzia jumatatu kutoenda kazin kwa kuwa walikuwa hajajipanga na hali na taharifa za maana hamna. Kwa wadau wanaoweza kutoa ufafanuzi hebu wasaidien hawa watu maana wameanza kupungukiwa morali ya kazi na kuongeza chuki kwa serikali. Nawasilisha