Mkulo na Prof. Ndulu nawaomba mnijibu swali langu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkulo na Prof. Ndulu nawaomba mnijibu swali langu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bakeza, Oct 21, 2011.

 1. B

  Bakeza JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Hivi nyie mnaendeshaje hii. Ebu nijibuni ni lini tutaanza kutumia currency moja mana sasa hv hatuelewi huu mfumo wa kutumia noti za aina mbilimbili utaisha lini? Wageni wanatuona nchi nzima kama hatuna akili na nyie mpo tu mnakifanya hakieleweki kila siku exchange rate ya shilingi inapaa tu nyie kimya. Ebu tupen ufafanuz inakuwaje hapo?
   
Loading...