Bakeza
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 348
- 192
Wana jm hivi hapa nilipo niko kwenye mkutano wa hiki chama cha mafisadi, nachoweza kusema ni kwamba wamechukua vikundi vya kina mama wazee wanaimba ngoma za vijembe na ku2kana CHADEMA 2. Kwa mtazamo wangu hiki chama kimefika mwisho wake, kwani walipita kila kata kutangaza huu mkutano wao na sisi ambao hatuna vyama tulidhani 2nakuja kuambia mambo ya maendeleo kwenye nchi ye2 ukizingatia sukari inapita hapa hapa mkoani kwe2 kwenda kenya kwa magendo na mahindi, sasa wao wamekali ku2onesha ngoma za zenye mipasho na vijembe kwa CHADEMA. Swali langu kwa wana jamii ni hili HIVI CHADEMA WAMEWAFANYA NINI CCM. Manake hawaongelei vyama vingine mbona kuna vyama vingi? Naombeni jibu. Nb. Hivi hawa wazee wanaoshabia siasa uchwara kama alivyosema LOST. Hawaoni mambo yalivyo kuwa magumu mimi binafsi kwa mchango wangu kwenye hizi siasa za umbea ningependa kuona huduma muhimu kama chakula ipande mara dufu ili watu wakome na siasa zao uchwara!! Haya ni maono yangu asante hadi sasa hawajaanza ku2eleza nini wame2itia hapa wao ni kutoa kikundi hiki weka kingine cha ngoma kwa lengo la ku2oa vijembe kwa chadema!!