Search results

  1. gidume

    Umasikini Mbaya, Unaogopesha, Unatisha

    Unamvuta kwa nia nzuri tu..utashangaa hakai hata mwezi mara kakutombea mkeo,mara kaiba pesa katembea mbele [emoji23]
  2. gidume

    Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

    Hapa tena amna sababu ya kurudi nyumbani kwenye makelele..ni kubaki mchepukoni tu [emoji28][emoji28]
  3. gidume

    Msaada: Dawa ya manjano kwa mtoto

    Mnyonyeshe kupita kiasi…pia tumia maziwa ya SMA..yani unamnyonyesha pia unampa na formula inatoka yote…hata wangu ilikua hivyo hatukumpa dawa yoyote..ni kumnyonyesha more and more..
  4. gidume

    Mnawezaje kumiliki michepuko zaidi ya Miwili na kuweza kukidhi mahitaji yao pamoja na Familia zenu?

    Kibaya ni kwamba haupo pekeako..mnajikuta mpo zaidi ya watano..mnapangwa..kila bwana mmoja anakula kwa purpose..single mothers noma sana [emoji2]
  5. gidume

    Tutayamaliza yote kumhusu Albert Mangwair au tutayataja machache na kuyasahau mengi?

    Ana album pekee niliotoa ela yangu nikanunua na kuifadhi kanda adi ilipoibiwa miaka mitatu mbele..katika kila playlist yangu haiwezi kukosa nyimbo yake..katika simu yangu nna nyimbo zake zote adi sasa..kwangu bado anaishi kijana wangu ngwear [emoji1373][emoji1373]
  6. gidume

    Nahisi mke wangu hanipendi

    Usiwe na wasiwasi..hao wanaopigiwa ni kwamba wake zao wanataka wahakikishe kwamba ni kweli wameondoka? Ili wajiachie vizuri na mababy zao baby akiwa mkoa mwengine…kupigiana simu sio ndo mapenzi..
  7. gidume

    Pitia hii picha japo kwa dakika 1, kisha uendelee kumwomba Mungu azidi kukupa uhai

    Hiyo sio bill..hiyo ni proforma invoice…dhumuni la hiyo karatasi ni maulizo ya bei endapo watachukua vinywaji hivyo…ata ww kapuku unaweza kupata hiyo…wangepiga picha ya bill ikiwa attached na receipt tuappreciate wanywaji..
  8. gidume

    Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Kama ni kweli wewe ni moja kati ya wale wanaume wazembe sana..unakaaje ndani ukisubiria kuletewa na mwanamke..mwanaume mwiko kukaa ndani ata kama unaumwa ndo iwe principle..toka nje katafute shughuli ya kufanya ata ukirudi bila pesa kesho toka tena na tena..fanya ata udalali
  9. gidume

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Ungekua unatokea mkoani ndo ningeshangaa..[emoji3]…we ni gey
  10. gidume

    Once a friend always a friend

    Wenzako huwa wanatafuta washkaji wa kiume alaf wana ndo wanatoa connection za madem ambao ni mseleleko..ukitegemea demu aje PM utalala siku zote 7 hotelini pekeako [emoji23]
  11. gidume

    Uchumi wa Miji yetu mingi mfano Kahama ni hatari tupu

    Hoja nzito sana hii na fikirishi kwa watu wenye akili kubwa..ela ya mtanzania investment yake nyepesi sana..ni vitu vitatu tu..frame,hotel na transport.. Nadhani serikali ina kazi kubwa sana kusupport ukuaji wa viwanda vidogo kuwa na kati na vya kati kua vikubwa.. Wafanyabiashara wakubwa wengi...
  12. gidume

    Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

    Tunawaachia haters mnaopadis dodoma mpambane na mjionyeshe kua akilo Zenu ndogo..hivi kamji kadogo ambako kamejengeka sehem moja kama iringa unapafananishaje na dodoma..nyie wehu..kataeni mkubali,ukitoka dsm,mwanza,arusha inayofata ni dodoma,toeni upuuzi wenu,,wengine ata hamjawahi kufika,amna...
  13. gidume

    USHUHUDA: Dunia, uchawi umeniacha hoi. Mungu nikumbuke

    Ndani ya miaka miwili ya law firm lorry 10..apo ndo nikaacha kusoma muendelezo wa hii habari [emoji23]
  14. gidume

    Mume wa Maunda Zoro ni mfano wa Wanaume wa hovyo wa Dar es Salaam

    Labda alikua hana hela ya usafiri msimlaumu[emoji3]
  15. gidume

    Msidharau mishaara wakuu..hatimae laki 200,000 imedondoka leo advance ya mshahara

    Nimeshapokea ela ya kazi yangu niliyoifanya ndani siku 13,leo advance ya laki 2 tayari imeanguka.. Apa najifkiria nikaimalizie wapi usiku leo.. Cha kwanza elfu 50 naenda kuitoa sadaka sitajali..laki na hamsini nikatumbue pole pole kujipongeza kwa vitu vitam tam ata ikiisha usiku huu wa leo haina...
  16. gidume

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Kwani lazima ufanye biashara? Sioni umuhimu wa biashara
Back
Top Bottom