Search results

  1. V

    "Magufuli is very strategic person indeed never happened in Tanzania"

    1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini. 2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi! 3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika. 4.Ukiwa...
  2. V

    "Magufuli 1=wana CCM wote"

    1.P1= P2 (Pascal's Principal ). Where P1 = Pressure 1 P2 = Pressure 2 2.d1A1= d2A2 Where d1 = Distance kubwa d2= Distance ndogo A1 =Cross sectional area ndog A2=Cross sectinal area kubwa 3.To every action there is an equal and opposite to...
  3. V

    "Rais Magufuli yupo smart sana kama Mwenyekiti wa Chama na Rais wa nchi"

    1.Alimpa kazi Bashiru Ali ahakiki Mali za CCM nchi nzima. 2.Akapata ripoti ya madudu ya viongozi wakubwa wachama. 3.Akakaa kimya ,hakuchukua hatua hash ambazo zingeleta mtafaruku ndani na nje ya chama. 4.Akarudisha Mali zote za chama chamani. 5.Kwa maana hiyo mirija ya watu ikawa imekatwa...
  4. V

    "Makonda +Wadau wengine wa Taifa stars + Taifa stars+ maombi ya watanzania wengine wazalendo = Taifa stars 1,Harambee stars 0"

    1.Mfumo wetu wa elimu hauturuhusu kukosea. 2.Anayepata A nyingi darasani ndio anayebebwa na mfumo,anayepata B mfumo unambeba mpaka anayepata C pia. 3.Tuliosoma bila vikwazo mpaka tunafika vyuo vikuu kwa kufuata mfumo huu mtakubaliana na Mimi. 4.Kundi kubwa ambao Mara nyingi ndio wanafanya...
  5. V

    "Watanzania 40 milioni wanaweza kujenga barabara zenye urefu wa km 835(Mbeya-Dar) kupitia vitambulisho kwa mwaka 1"

    Hbr za Jumapili wanajamii forum. Nimemfuatilia Waitara na takwimu za mapato yaliyotokana na vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo. 1. Watanzania 1.8 + walioweza kupatiwa vitambulisho wamewezesha upatikanaji wa shilingi za kitanzania bilioni 22+. 2.Kati ya hao 1.8+ hata Mimi nipo kupitia...
  6. V

    Namheshimu sana yeye ambaye huwa tayari kutofautiana na sisi wote anapotoboa

    "A picture speaks more than thousands words"
  7. V

    Mkakati wa kuwafanya watumishi watumie TTCL unaweza kuua sekta binafsi za fedha na mawasiliano nchini

    1.Mheshimiwa Rais kawataka watendaji wake wakuu kutumia line za ttcl ndani ya mwezi mmoja. 2.Watendaji wakuu wanaweza kuhakikisha waliochini yao wote wakatumia ttcl. 3.Kimkakati Serikali inaweza kwa mfano ikaamua kupitishia mishahara ya watumishi wote TCCL kupitia T-PESA na ikafanikiwa...
  8. V

    "2020 will depend upon who is indebted to whom,that is the rule of the game"

    1.Wanasiasa dhidi ya wasiowanasiasa 2.wakulima dhidi ya watunga sera 3.wafanyakazi dhidi ya watunga Sera 4.wafanyabiashara dhidi ya watunga sera 5.CCM dhidi ya upinzani 6.Viongozi wa dini dhidi ya viongozi wa kisiasa. 7.waliokatwa mikia dhidi ya wenye mikia. 8.wanaojulikana dhidi ya...
  9. V

    "Mtanange ulipofikia mfitinishe Ndugai iwe kwa wema au ubaya,CAG achana nae Twende na Tulia 2020/2025"

    "Huu ulikua Uzi wangu wa tarehe 15 April 2019". Kutokana na hizi hoja 3 za karibuni,Ndugai kajifitinisha mwenyewe,nazirejea hoja (3). 1.Uamuzi wa Serikali kusitisha mradi mkubwa wa bandari ya Bagamoyo VS Mradi wa SGR na maoni ya Spika. 2.Suala la makamu wa kwanza wa Rais wa PAP ndugu yetu...
  10. V

    "Serikali ipeleke muswada Bungeni kupunguza umri wa utumishi kutoka miaka 60 mpaka 45,watumishi wanakufa masikini"

    1.Ieleweke kwamba hakuna Serikali yoyote duniani yenye uwezo wa kumtimizia kila hitaji lake mwananchi.Hata kule tulikoiga hii mifumo ya kuendesha nchi zetu wanakwama katika hili. 2.Awamu zote zilizopita tumekuwa tukifanya mambo kwa njia zilezile tukitegemea matokeo tofauti 3.Mtumishi...
  11. V

    "Aliyemshauri Magufuli kupandisha madaraja badala ya kuongeza mishahara ana akiri za kutosha"

    "Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani 2015 sehemu kubwa ya watumishi ambao walikuwa wanapaswa kupandishwa madaraja walikua wamepandishwa,ambao walikuwa hawajapandishwa madaraja ni kwa sababu ya uzembe wa maafisa utumishi au watumishi husika kutofuatilia ipasavyo.Kimsingi kipindi hicho Mkwere...
  12. V

    "Strengths,weaknesses,opportunities and Challenges za watanzania na Tanzania kama nchi"

    Tanzania kama nchi tulipaswa muda mrefu sana kuwa mbali lakini kuna mambo yanayotukwamisha kwa kuanzia nianzie hapa 1.Strengths - Tuna watu zaidi ya 50 millioni. -Tuna madini ya dhahabu ya kutosha. -Tuna madini ya chuma. -Tuna madini ya Tanzanite -Tuna gas ya kutosha -Tuna mafuta ya kutosha...
  13. V

    "Mtanange ulipofikia mfitinishe Ndugai,iwe kwa wema au ubaya CAG achana nae muandae Tulia kwa 2020-2025"

    Sababu ni nyingi lakini tumia hizi chache: 1.Ndugai ni mbabe kupita kiasi anatumia zaidi ugali. 2.Hajui siasa (hata kama unamtumia anaonyesha anatumika,tofauti na unavyomtumia Zitto Kabwe" 3.Prof.Assad ana msimamo kama wako na anafanya justifications, walio wengi wanamuelewa sio ndugai. 4. Kwa...
  14. V

    Magufuli kama vituo vyote vya Afya nchi nzima ngazi ya kijiji vinajengwa kama hiki cha Sumbawanga,huna sababu ya kukimbizana na wapinzani

    "Jana nimekuwa sehemu ya waliojitokeza kwa wingi katika mbio za mwenge wa Uhuru zilizokuwa Sumbawanga Manispaa mkoani Rukwa. Nimejifunza mambo makuu nane (8.) 1.Wananchi waliojitokeza ni wengi mno na hili kwa maoni yangu ni kutokana na ubora wa miradi inayotekelezwa katika awamu hii.Mfano ni ule...
  15. V

    "Nakukumbusha Magufuli when things get tough,tough people gets going"

    "Kuongoza nchi ni jukumu zito sana na asilani si lelemama,wapo wanaoshindwa :- 1. Kujiongoza wao wenyewe 2.Kuongoza familia zao 3.Kuongoza koo zao 4.Kuongoza jamii zao 5.Kuongoza makanisa yao. 6.Kuongoza Misikiti yao 7.Kuongoza taasisi zao ambazo wamepewa dhamana. -Hata hivyo una jukumu LA...
  16. V

    Rais Magufuli nikuombe tena,usiongeze mishahara ya watumishi bajeti ya 19/20 ongeza bajeti SGR,S.t Gorge"

    "Kwa kipindi cha 2016/2017,2017/2018 na 2018/2019 pale ambapo kimsingi ndio bajeti yako ilianza ulijipambanua vizuri kwamba sehemu kubwa ya bajeti yako utaielekeza katika maendeleo,hoja ambayo ilikuwa ikipigiwa kelele na watanzania wengi wa kada mbalimbali wakiwepo...
  17. V

    "Nakuagiza Magufuli nimekuweka madarakani,nunua ndege ya mzigo kwa ajili ya kusafirisha tonnage za mahindi Mbeya,Iringa,Rukwa ,Ruvuma to DRC"

    "Kifupi kuna vikwazo vingi kusafirisha mahindi toka nyanda za juu kusini to Congo,na mahitaji ya Mahindi/unga wa ugali Congo yapo juu,zingatia ushauri wangu .Zambia wanatoa vikwazo vingi sana kupitisha mahindi kupitia nchi yao to Congo,Kupitia Kasanga pia miundo mbinu haijaimarishwa Ku...
  18. V

    "Rais Magufuli tafuta mtu mwingine wa kukuunga mkono 2020 kutoka upinzani kwa gharama yoyote lakini sio Edward Lowassa"

    1.lisu usiniulize kwa nini nitakwambia kesho. 2.Zito usiniulize kwa nini nitakwambia kesho. 3.Mbowe usiniulize kwa nini nitakwambia kesho. 4.Maalim Seif Hamad usiniulize nitakwambia kesho. 5.Lowasa usijaribu kama nilivyoshauri nitakwambia kesho.
  19. V

    "Lowasa andika kitabu kuhusu maisha ya upinzani miaka 3 kuelekea 2020"

    "Umuhimu wako ni pale ulipoonekana fisadi ukiwa ndani ya CCM ukasemwa na kutukanwa sana na wanasiasa wenzako ndani ya CCM ,ukachafuliwa na upinzani,Ukasafishwa na upinzani huku ukichafuliwa na wanaCCM wenzako na sasa unasafishwa na wanaCCM wenzako na tegemea kuchafuliwa tena na Upinzani" ni...
  20. V

    Rais Magufuli shughulika na changamoto za nchi,sio changamoto za wananchi

    "Changamoto za watanzania ni nyingi" 1.Kupenda starehe kuliko kazi(Hii Mbunge wa Mikumi Professor Jay aliwahi imba miaka ya nyuma kidogo naamini alitafiti kabla. 2.Wanafunzi kujihusisha na shughuli zisizohusiana na uanafunzi na kupelekea kupata ujauzito-Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi...
Back
Top Bottom