Vision 2030
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 407
- 250
"Umuhimu wako ni pale ulipoonekana fisadi ukiwa ndani ya CCM ukasemwa na kutukanwa sana na wanasiasa wenzako ndani ya CCM ,ukachafuliwa na upinzani,Ukasafishwa na upinzani huku ukichafuliwa na wanaCCM wenzako na sasa unasafishwa na wanaCCM wenzako na tegemea kuchafuliwa tena na Upinzani" ni maisha Fulani amazing,andika kitabu kuelekea 2020 tujifunze mengi kupitia kwako kwa vizazi vya watanzania vijavyo.