"Rais Magufuli tafuta mtu mwingine wa kukuunga mkono 2020 kutoka upinzani kwa gharama yoyote lakini sio Edward Lowassa"

1.lisu usiniulize kwa nini nitakwambia kesho.
2.Zito usiniulize kwa nini nitakwambia kesho.
3.Mbowe usiniulize kwa nini nitakwambia kesho.
4.Maalim Seif Hamad usiniulize nitakwambia kesho.
5.Lowasa usijaribu kama nilivyoshauri nitakwambia kesho.
Wewe vipi akili yako. Magufuli 2020 hahitaji support ya mtu yeyote wa upinzani kushinda. Yeye anahitaji ccm tu ambayo ndiye mwenyekiti. Watz wanamkubali kabisa wala hahitaji kina zitto au lissu hao si chochote kuhusu ushindi wake 2020.
 
SEMA Mimi namkubali,na wala sio wa Tanzania,ukome usitusemee eboooh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe vipi akili yako. Magufuli 2020 hahitaji support ya mtu yeyote wa upinzani kushinda. Yeye anahitaji ccm tu ambayo ndiye mwenyekiti. Watz wanamkubali kabisa wala hahitaji kina zitto au lissu hao si chochote kuhusu ushindi wake 2020.
Once game likiwa fair hamtaamini macho yenu.
Mark ma word

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sharia iliyopitishwa hakuna chama kitashindana na dola, wapinzani wakishiriki uchaguzi ujao kuanzia wa huu wa serikali za mitaa nitaamini HAKUNA upinzani Tanzania ni ghiriba tunafanyiwa.
Huwezi kutungiwa sharia ya kumsifu adui wako kwenye kampeni za uchaguzi nawe ukakubali kushiriki. Ndia maana hata haisemwi kama imesainiwa au la tangu imepitishwa bungeni.
Vyote wanavyolalamikia kila siku hakuna hata kimoja kimerekebishwa sasa wanashiriki kuisindikiza ccm?! na kwani lazima washiriki? mbona chaguzi ndogo kadhaa hawakushiriki?!
Huu ndio muda kuishinikiza serikali iondoe ukandamizaji wa katiba na sharia za uchaguzi, hawamuhitaji Membe wala yeyote kushindana na ccm, hawatoshinda kwa mazingira yaliyoandaliwa utakuwa ni UJINGA wa kiwango cha SG.
 
Wewe vipi akili yako. Magufuli 2020 hahitaji support ya mtu yeyote wa upinzani kushinda. Yeye anahitaji ccm tu ambayo ndiye mwenyekiti. Watz wanamkubali kabisa wala hahitaji kina zitto au lissu hao si chochote kuhusu ushindi wake 2020.

Atujamkosea sana Mungu kiasi hicho hadi atuache
 
Nadhani Lowassa bado ana nguvu sana ccm,kiukweli kama ccm hakupitishwa kipindi kile ili kuua makundi,na bado kulikua na kundi lililokua likimuunga mkono likawa limebaki ccm,na hakuweza kufanya siasa nje ya ccm kwa sababu imezuiliwa,na hakufukuzwa upinzani,counter attack ya kundi lake na alikotoka wakiungana itaigharimu sana ccm kuanzia 2021,in suala la muda tu,ni maoni yangu,nisihukumiwe jamani
 
Back
Top Bottom