"Magufuli 1=wana CCM wote"

Vision 2030

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
407
250
1.P1= P2 (Pascal's Principal ).
Where P1 = Pressure 1
P2 = Pressure 2
2.d1A1= d2A2
Where d1 = Distance kubwa
d2= Distance ndogo
A1 =Cross sectional area ndog
A2=Cross sectinal area kubwa
3.To every action there is an equal and opposite to reaction 3rd Newton's law of motion.
4.Science raha sana Kiongozi anatumia Knowledge ya Kidato cha 1& 2 tu cha science na mambo yanaenda bado hajaanza kutumia Knowledge ya kidato cha nne,kidato cha 6,degree ya 1,degree ya 2 na degree ya 3.
"MUNGU NIPE MAISHA MAREFU ILI NISHUHUDIE KIPINDI CHOTE CHA MAISHA YA UONGOZI WA JPM"
 
Thats right. Au wataanza kuuponda uongozi. Na hapa ndipo wananchi waelewe kuwa asilimia kubwa ya vipngoz wa ccm ni njaa..
Its all about vyeo na madaraka.. wapo tayari hata kunywa mkojo wa mheshimiwa ili wabaki kwenye hizo nafasi.
Na wakikosa wananuna kama Nape, vijana wa Lumumba kuwaelewa inahitaji moyo wa chuma
 
Mwenyezi Mungu angekuwa anasifiwa hivi hakika hata ukame usingekuwepo, uzuri Rais anajua pumba na mchele katika sifa anazopewa, maana kuna nyingine za kinafiki
Nguvu kubwa mnayotumia kumponda ndio nguvu kubwa inayotumika kumsifia.
 
Kama hujui Magufuli ni mdogo kama piriton anapohojiwa na Mkapa,
Umejiuliza kwanini ile ya report ya wezi wa Mali za CCM haikusomwa?
 
1.P1= P2 (Pascal's Principal ).
Where P1 = Pressure 1
P2 = Pressure 2
2.d1A1= d2A2
Where d1 = Distance kubwa
d2= Distance ndogo
A1 =Cross sectional area ndog
A2=Cross sectinal area kubwa
3.To every action there is an equal and opposite to reaction 3rd Newton's law of motion.
4.Science raha sana Kiongozi anatumia Knowledge ya Kidato cha 1& 2 tu cha science na mambo yanaenda bado hajaanza kutumia Knowledge ya kidato cha nne,kidato cha 6,degree ya 1,degree ya 2 na degree ya 3.
"MUNGU NIPE MAISHA MAREFU ILI NISHUHUDIE KIPINDI CHOTE CHA MAISHA YA UONGOZI WA JPM"
Magonjwa ya akili yapo mengi sana aise!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom